Iran wamezitandika nchi zote za kiarabu!!

Iran wamezitandika nchi zote za kiarabu!!

IRAN noma kijesh anayatwanga mataifa 9+ yanayo nunua silaha za USA!

uku yakiamini yalikuwa salama chini ya ulinzi wa USA!!!

lkn ndio ivyo uyo mlinzi ndio mwenyewe anatafuta pakujificha popote penye usalama!!!

kambi zake kazikimbia mbioo!!! Wacha mvua inyeshe!!!!
 
Nilivyokua nawaambia muajemi sio muarabu muwe mnaelewa, Toka jumamosi nilichagua kukaa kimya maana nilijua kabisa kuwa time will Tell.
Mmejionea wenyewe ubabe Wa Iran

Jamaa wanapiga kila mahali

Yako wapi mairon dome?Iko wapi patriotic? Iko wapi David Sling? Iko wapi.

Iko wapi THAAD?

Inaonekana Iran alijiandaa haswa.

Israel wanaelekea kuishiwa na missile za kutungulia makombora sijui itakuaje

Hii bado ngoma mbichi

Safari hii muajemi kaamua

Walivyokua wanasemaga kuna wajinga wawili humu mlikua mnawaita mbwa koko!!

Sasa kiko wapi!!

Mmejionea wenyewe nguvu ya muajemi na bado ana mpango wa kuanza kutumia ndege za kivita kushambulia Israel na base za marekani hata jana kafanya hivyo

Hii vita ndo kwanza episode one mpaka Washington na vibaraka wake wasalim amri
 
Huenda Iran akashindwa hii vita...

Ila ametuonesha kwa vitendo, kuna mda panya akikomaa paka hugwaya...
 
Back
Top Bottom