I don't care what are you talking about ignorant seem to me. kwa hiyo mnaniona mimi tu humu ndio mjuaji, hao wengine hawajui? mnanipa sifa za ajabu sana ambazo sina. Mmeambiwa Trump kaikejeli iran kuwa imeipiga vema israel na nyie koboza wa mchambawima mnakenua tu kuwa kobazi mkuu duniani kaibonda israel. Someni saikolojia za matamshi na kauli za watu mtaelewa wanachomaanishaWewe Pimbi ulishageuka kituko humu JF ila hujajishtukia tu,
Rais wa US amekubali kua Israel kachapika hasa,halafu wewe Pimbi unakuja na ngonjera hapa! Kwa hiyo wewe una taarifa zaidi kuliko Trump?
Sometimes jaribu kuficha ujinga wako kwa kukaa kimya.
Unatembea na kichwa kitupu wewe,uwe unafuatilia International events,ndio maana hua mnaitwa Kondoo.I don't care what are you talking about ignorant seem to me. kwa hiyo mnaniona mimi tu humu ndio mjuaji, hao wengine hawajui? mnanipa sifa za ajabu sana ambazo sina. Mmeambiwa Trump kaikejeli iran kuwa imeipiga vema israel na nyie koboza wa mchambawima mnakenua tu kuwa kobazi mkuu duniani kaibonda israel. Someni saikolojia za matamshi na kauli za watu mtaelewa wanachomaanisha
huoni kuna uzi unaambiwa trump kakejeli uwezo wa iran, hajasifia, hebu kausome shaikh. Na mimi nina maoni yangu kuhusu mambo mbalimbali yanayojadiliwa humu, huwa sifuati mkumbo kama nyieUnatembea na kichwa kitupu wewe,uwe unafuatilia International events,ndio maana hua mnaitwa Kondoo.
Kwani huo uzi umeanzishwa na Trump ndio kasema alimaanisha nini?huoni kuna uzi unaambiwa trump kakejeli uwezo wa iran, hajasifia, hebu kausome shaikh. Na mimi nina maoni yangu kuhusu mambo mbalimbali yanayojadiliwa humu, huwa sifuati mkumbo kama nyie
kabla ya uzi huo haujaletwa tayari mi nilishaona kauli ya trump ni kichekesho tu. Amekuja mwingine kudadavua zaidi kauli ya trump na kuonekana ni ya mzaha na kejeli kwa iran. Usipende kunidharau maoni yangu husaidia wengine kuchimba na kudadavua zaidi katika nyuzi zao, mi huandika kidogo tu, wapo wanaoandika in deep and wide, parallel and perpendicularKwani huo uzi umeanzishwa na Trump ndio kasema alimaanisha nini?
Kwahiyo kama mtu mwingine akianzisha uzi mwingine na akasema Trump alimaanisha kweli hakufanya mzaha,wewe utamuamini yupi kati ya hao waleta nyuzi wawili?
Wewe jamaa mbona unakua mjinga kiasi hicho? Kumbe reference yako ni uzi ulioanzishwa JF na kafiri mwenzako aliyeamua kujifariji sio?
Kauli za mzaha wakati Tel Aviv na Haifa zimevunjwa vunjwa?kabla ya uzi huo haujaletwa tayari mi nilishaona kauli ya trump ni kichekesho tu. Amekuja mwingine kudadavua zaidi kauli ya trump na kuonekana ni ya mzaha na kejeli kwa iran. Usipende kunidharau maoni yangu husaidia wengine kuchimba na kudadavua zaidi katika nyuzi zao, mi huandika kidogo tu, wapo wanaoandika in deep and wide, parallel and perpendicular
Afghani-Stan.......Stan( Shetani)Lengo la Israel ni kutaka kutengeneza fitina ndani ya Iran ili kutengeneza mazingira ya utawala wa sasa kupinduliwa.
Utawala huu wa Kiislam uliingia kwa mapinduzi ya 1979 (wakati sisi tuko busy na Idd Amin). Kabla mwaka 1953 Marekani na ulaya walisaidia mapinduzi yaliyo uweka utawala wa kifalme. Hivyo kabla ya 1979 Iran haikuwa Taifa la Kiislam kama sasa.
Ndio maana Israel haui raia wala hashambulii makazi ya raia. Ndio maana wachambuzi wengi wanafikiri Israel anapigwa. Hapana, Israel anataka kuwatumia watu wa Iran kama mtaji wake wa kuitoa serikali ya sasa madarakani.
IRAN KWENYE BIBLIA.
Wanaitwa Waajemi. Hapa ndipo Haran na Mesopotamia. Ndipo nyumbani kwa Ibrahim. Lakini Mungu alimuondoa Hapa Ibrahim na kumpeleka Kanaan (Palestine).
Kiufupi Iran ni miongoni mwa mataifa maarufu ndani ya Biblia.
- Daniel, Nehemiah , Esther walikuwa hapa uhamishoni. Ndipo vitabu vyao viliandikwa.
- Nebkadneza, Belshaza na Dario ndio wafalme wa hapa.
- Meshak Shedrak na Abednego walitupiwa tanuruni wakiwa hapa!
Nakukumbusha IRAN SIO WAARAB BALI NI WAAJEMI. Wanachukua asili ya Ulaya mashariki (wana mfanano na waturuki). Nyongeza: Ukiona nchi za Ulaya Mashariki zinaishia na Neno "Stan" mwisho hao ni waajemi (mfano afghani-Stan).
UWEZO WAO WA KIVITA
Hawa waliishawahi kuitawala Dunia.
Hawa ndio waliwapiga Israel na kulivunja hekalu kabla halijajengwa Upya (kabla ya Kuja kwa Bwana Yesu).
Ni watu wa Vita. Vita yao huwa haiishi mpaka wamepigika kwelikweli. 1980 -1990 walikuwa busy kupigana na Iraq. Miaka kumi! Na baada ya kuchoka kupigana (mshindi hakupatikana) wakaamua kugeukia kupigana na mataifa mengine. Iraq akimchokoza Marekani na Iran akianzisha vikundi vya kigaidi.
Makundi yote makubwa ya Kigaidi mfadhili wao ni Iran.
Migogoro ya Kidini.
Iran ni Taifa adui na nchi nyingi za kiislam. Mojawapo ni Saudi Arabia. Aina ya uislam ulioko Iran ni Shia. Hawa wanaaminika ni 10% tu ya waislam wote. Hawa ndio wale imani kali. Saudia ni Sunni. Hawa wapole. Kwa hiyo popote ukisikia Waislam wenye msimamo mkali jua ni Shia kutokea Iran. Ndio maana usishangae SAUDI ARABIA NA JORDAN kuwa upande wa Israel.
Ni taifa adui wa Uislam
Kuna kitu cha ajabu kuhusu Iran. Mataifa yasiyotaka dini au kuamini katika Mungu ndio marafiki wakubwa wa Iran. Korea Kaskazini, China, Urussi hawaamini katika Mungu. Utengenezaji wa silaha zake unapata usaidizi kutoka kwa hawa wapagani. HUWEZI SIKIA TAIFA LA KIISLAM LIKIMSAIDIA IRAN TOFAUTI NA VIKUNDI VYA KIGAIDI! Hivyo yawezekana ndio maana Shia wa Iran wanaongoza kwa kuua Waislam wenzao.
Tayari Iran wamejaa kwenye mfumo, Trump anakwenda kumnyakuwa AyattollahLengo la Israel ni kutaka kutengeneza fitina ndani ya Iran ili kutengeneza mazingira ya utawala wa sasa kupinduliwa.