Iran wamejitafutia matatizo

Acha kutulisha matango pori kana kwamba wewe mwenyewe ndiye unayeijua Biblia. Nebukadneza hajawahi kuwa Kiongozi wa Uajemi bali ya Babiloni. Pia Haran na Mesopotamia hazijawahi kuwa Iran. Haran ipo Syria na Mesopotamia ni Iraq ya leo au Babiloni ya Zamani. Pia katika Historia hata ya Biblia Iran na Israel hazijawahi kuwa maadui hata mara moja. Uajemi ndiyo waliowasaidia Wayahudi kuwanasua katika makucha ya ukoloni wa wababeli na kuwaruhusu kurudi Uyahudi na kujenja hekalu lao upya.
Acha kuleta mambo usiyoyajua.
 
Kumbe na Afganistan ipo Ulaya mashairiki. Nchi hii haiishi maajabu.
 
Duh kwamba vikundi vyenye Imani Kali ni vya kishia? Wasunni ni wapole! Kweli?
 
Safari hii mtakuja na kila ngonjera baada ya kupata kipigo kitatatifu toka kwa Ayatollah,

Bado hujaijua historia ya Dunia,nenda kaisome uielewe kisha njoo tena,haya matapishi uliyoyamwaga hapa,pelekea mazuzu wenzako,

Dunia ya propaganda haipo tena,kila kitu kipo wazi.
 
So what?
 
Unasemaje kua Iran wamejitafutia matatizo? Kwani wao ndio walioenda kuvamia nchi nyingine na kuipiga? Au wewe ulitaka wapigwe ila wao waangalie tu sio?

Kichwa chako ni mzigo mzito sana kwa miguu.
 
Mkuu umemsikiliza lakini Trump alivyosema jana na wakuu wa NATO? Alikiri vyuma alivyoshushiwa Israel kutoka Iran vilikuwa vizito sanaa. Sasa kama Israel ana ubavu wakabalishe huo utawala wa Iran
 
Wewe pimbi hua huna point yeyote hapa JF zaidi ya kuja kutingisha kalio zako hapa kila unapoona mada inayoongelea Nchi za kiislamu,pambana upunguze umasikini wako.
sheikh usipate taabu unisomapo humu, niweke kwenye orodha yako ya ignore ili usione ninacho comment. Naona unateseka sana mwanakobazi mpevu
 
Kwa kifupi iran kachapika vya kutosha, imebaki propaganda tu kusema imeshinda vita
 
Kwa kifupi iran kachapika vya kutosha, imebaki propaganda tu kusema imeshinda vita
Hii nchi haishi wajinga. Trump kwenye kakiri kwamba kichapo alichopewa Muyahudi SI ya kitoto halafu wewe unakuja na upimbi wako. Trump mwenyewe kakiri kwamba vyumba alivyoshusha Muajemi hakuwahi kuviona kabla halafu wewe unakuja na uharo wako hapa.
 
sheikh usipate taabu unisomapo humu, niweke kwenye orodha yako ya ignore ili usione ninacho comment. Naona unateseka sana mwanakobazi mpev
Wewe Pimbi ulishageuka kituko humu JF ila hujajishtukia tu,

Rais wa US amekubali kua Israel kachapika hasa,halafu wewe Pimbi unakuja na ngonjera hapa! Kwa hiyo wewe una taarifa zaidi kuliko Trump?

Sometimes jaribu kuficha ujinga wako kwa kukaa kimya.
 
Hii nchi haishi wajinga. Trump kwenye kakiri kwamba kichapo alichopewa Muyahudi SI ya kitoto halafu wewe unakuja na upimbi wako. Trump mwenyewe kakiri kwamba vyumba alivyoshusha Muajemi hakuwahi kuviona kabla halafu wewe unakuja na uharo wako hapa.
ushaambiwa ile kauli aliyoitoa ni kejeli kwa iran. Unasema nini we kobazi wa kibongo hapo manyema na kwa mtoro? Kobazi mna akili ndogo sana kudanganyika kirahisi
 
ushaambiwa ile kauli aliyoitoa ni kejeli kwa iran. Unasema nini we kobazi wa kibongo hapo manyema na kwa mtoro? Kobazi mna akili ndogo sana kudanganyika kirahisi
Nani amesema kua ile kauli ni kejeli? Mumeo ndio kakudanganya hivyo sio?

Hivi una umri gani wewe? Mbona una ujinga uliopitiliza?
 
Sahihi kabisa. Hata chanzo cha ugomvi wa Wayahudi na Wairan/Waajemi ni hiki; Waajemi waliwasaidia Wayahudi kurudi nyumbani kwao baada ya kutekwa na kufanywa watumwa na Babylon (leo ndio Iraq), baada ya kurudi kwao na kutulia, hawakuwahi hata kutoa neno ASANTE kwa mfalme wa Uajemi/Iran wa wakati huo, kuanzia hapo ndipo ilipo mea chuki kati ya hawa watu. Remember hakukua na Ukristo wala Uislam those years
 
I don't care what are you talking about ignorant seem to me. kwa hiyo mnaniona mimi tu humu ndio mjuaji, hao wengine hawajui? mnanipa sifa za ajabu sana ambazo sina. Mmeambiwa Trump kaikejeli iran kuwa imeipiga vema israel na nyie koboza wa mchambawima mnakenua tu kuwa kobazi mkuu duniani kaibonda israel. Someni saikolojia za matamshi na kauli za watu mtaelewa wanachomaanisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…