Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 9,261
- 12,187
Unaongea nini mkuu wakati mashambulizi ya leo asubuhi imeuchakaza mji wa Beersheba vibaya na jengo la usalama wa Taifa katika mji huo limebadilishwa kuwa kifusi.Iran inasakiziwa na yenyewe inajaa kingi, wacha ichapwe ichapike utawala wa maayatolla utolewe
Unaongea nini mkuu wakati mashambulizi ya leo asubuhi imeuchakaza mji wa Beersheba vibaya na jengo la usalama wa Taifa katika mji huo limebadilishwa kuwa kifusi.Makobaz na maostaz hayanaga akili, acha yapigwe hadi yateme bungoo
Naona unachanfanya madesa. Utawala wa Nebukadneza ulikuwa ni Babeli ndio walitawala dunia enzi Israel/Yuda ilipopelekwa uhamishoni. Hao uliowataja Daniel, Shadrach, Meshach na Abednego walikuwa Babeli. Hata hivyo baadaye utawala wa Babeli ulipinduliwa na Wamedi na Waajemi. Hivyo eneo la himaya ya Waajemi ni Iran, Iraq na eneo lote la mashariki ya kati. Waajemi nao baadaye walipinduliwa na Wagiriki/Wayunani bao baadaye wakapinduliwa na Warumi.Lengo la Israel ni kutaka kutengeneza fitina ndani ya Iran ili kutengeneza mazingira ya utawala wa sasa kupinduliwa.
Utawala huu wa Kiislam uliingia kwa mapinduzi ya 1979 (wakati sisi tuko busy na Idd Amin). Kabla mwaka 1953 Marekani na ulaya walisaidia mapinduzi yaliyo uweka utawala wa kifalme. Hivyo kabla ya 1979 Iran haikuwa Taifa la Kiislam kama sasa.
Ndio maana Israel haui raia wala hashambulii makazi ya raia. Ndio maana wachambuzi wengi wanafikiri Israel anapigwa. Hapana, Israel anataka kuwatumia watu wa Iran kama mtaji wake wa kuitoa serikali ya sasa madarakani.
IRAN KWENYE BIBLIA.
Wanaitwa Waajemi. Hapa ndipo Haran na Mesopotamia. Ndipo nyumbani kwa Ibrahim. Lakini Mungu alimuondoa Hapa Ibrahim na kumpeleka Kanaan (Palestine).
Kiufupi Iran ni miongoni mwa mataifa maarufu ndani ya Biblia.
- Daniel, Nehemiah , Esther walikuwa hapa uhamishoni. Ndipo vitabu vyao viliandikwa.
- Nebkadneza, Belshaza na Dario ndio wafalme wa hapa.
- Meshak Shedrak na Abednego walitupiwa tanuruni wakiwa hapa!
Nakukumbusha IRAN SIO WAARAB BALI NI WAAJEMI. Wanachukua asili ya Ulaya mashariki (wana mfanano na waturuki). Nyongeza: Ukiona nchi za Ulaya Mashariki zinaishia na Neno "Stan" mwisho hao ni waajemi (mfano afghani-Stan).
UWEZO WAO WA KIVITA
Hawa waliishawahi kuitawala Dunia.
Hawa ndio waliwapiga Israel na kulivunja hekalu kabla halijajengwa Upya (kabla ya Kuja kwa Bwana Yesu).
Ni watu wa Vita. Vita yao huwa haiishi mpaka wamepigika kwelikweli. 1980 -1990 walikuwa busy kupigana na Iraq. Miaka kumi! Na baada ya kuchoka kupigana (mshindi hakupatikana) wakaamua kugeukia kupigana na mataifa mengine. Iraq akimchokoza Marekani na Iran akianzisha vikundi vya kigaidi.
Makundi yote makubwa ya Kigaidi mfadhili wao ni Iran.
Migogoro ya Kidini.
Iran ni Taifa adui na nchi nyingi za kiislam. Mojawapo ni Saudi Arabia. Aina ya uislam ulioko Iran ni Shia. Hawa wanaaminika ni 10% tu ya waislam wote. Hawa ndio wale imani kali. Saudia ni Sunni. Hawa wapole. Kwa hiyo popote ukisikia Waislam wenye msimamo mkali jua ni Shia kutokea Iran. Ndio maana usishangae SAUDI ARABIA NA JORDAN kuwa upande wa Israel.
Ni taifa adui wa Uislam
Kuna kitu cha ajabu kuhusu Iran. Mataifa yasiyotaka dini au kuamini katika Mungu ndio marafiki wakubwa wa Iran. Korea Kaskazini, China, Urussi hawaamini katika Mungu. Utengenezaji wa silaha zake unapata usaidizi kutoka kwa hawa wapagani. HUWEZI SIKIA TAIFA LA KIISLAM LIKIMSAIDIA IRAN TOFAUTI NA VIKUNDI VYA KIGAIDI! Hivyo yawezekana ndio maana Shia wa Iran wanaongoza kwa kuua Waislam wenzao.
Ndio, Israeli pale inatumika kama watchdog,kwa ajili ya maslahi ya nchi za magharibi zikiingozwa na USA,,lengo nchi zote za mashariki ya kati ziwasujudie, wachukue rasilimali kiubwete ( mafuta),, nyuklia na demokrasia vinatumika kama visingizio tu.,ili kuwaadhibu wale wasiowasujudia kama Iran.Porojo
Eti lengo la israel ni kuleta fitina.
Umeelezea kwanamna mtu anaelewa bila kutumia nguvuLengo la Israel ni kutaka kutengeneza fitina ndani ya Iran ili kutengeneza mazingira ya utawala wa sasa kupinduliwa.
Utawala huu wa Kiislam uliingia kwa mapinduzi ya 1979 (wakati sisi tuko busy na Idd Amin). Kabla mwaka 1953 Marekani na ulaya walisaidia mapinduzi yaliyo uweka utawala wa kifalme. Hivyo kabla ya 1979 Iran haikuwa Taifa la Kiislam kama sasa.
Ndio maana Israel haui raia wala hashambulii makazi ya raia. Ndio maana wachambuzi wengi wanafikiri Israel anapigwa. Hapana, Israel anataka kuwatumia watu wa Iran kama mtaji wake wa kuitoa serikali ya sasa madarakani.
IRAN KWENYE BIBLIA.
Wanaitwa Waajemi. Hapa ndipo Haran na Mesopotamia. Ndipo nyumbani kwa Ibrahim. Lakini Mungu alimuondoa Hapa Ibrahim na kumpeleka Kanaan (Palestine).
Kiufupi Iran ni miongoni mwa mataifa maarufu ndani ya Biblia.
- Daniel, Nehemiah , Esther walikuwa hapa uhamishoni. Ndipo vitabu vyao viliandikwa.
- Nebkadneza, Belshaza na Dario ndio wafalme wa hapa.
- Meshak Shedrak na Abednego walitupiwa tanuruni wakiwa hapa!
Nakukumbusha IRAN SIO WAARAB BALI NI WAAJEMI. Wanachukua asili ya Ulaya mashariki (wana mfanano na waturuki). Nyongeza: Ukiona nchi za Ulaya Mashariki zinaishia na Neno "Stan" mwisho hao ni waajemi (mfano afghani-Stan).
UWEZO WAO WA KIVITA
Hawa waliishawahi kuitawala Dunia.
Hawa ndio waliwapiga Israel na kulivunja hekalu kabla halijajengwa Upya (kabla ya Kuja kwa Bwana Yesu).
Ni watu wa Vita. Vita yao huwa haiishi mpaka wamepigika kwelikweli. 1980 -1990 walikuwa busy kupigana na Iraq. Miaka kumi! Na baada ya kuchoka kupigana (mshindi hakupatikana) wakaamua kugeukia kupigana na mataifa mengine. Iraq akimchokoza Marekani na Iran akianzisha vikundi vya kigaidi.
Makundi yote makubwa ya Kigaidi mfadhili wao ni Iran.
Migogoro ya Kidini.
Iran ni Taifa adui na nchi nyingi za kiislam. Mojawapo ni Saudi Arabia. Aina ya uislam ulioko Iran ni Shia. Hawa wanaaminika ni 10% tu ya waislam wote. Hawa ndio wale imani kali. Saudia ni Sunni. Hawa wapole. Kwa hiyo popote ukisikia Waislam wenye msimamo mkali jua ni Shia kutokea Iran. Ndio maana usishangae SAUDI ARABIA NA JORDAN kuwa upande wa Israel.
Ni taifa adui wa Uislam
Kuna kitu cha ajabu kuhusu Iran. Mataifa yasiyotaka dini au kuamini katika Mungu ndio marafiki wakubwa wa Iran. Korea Kaskazini, China, Urussi hawaamini katika Mungu. Utengenezaji wa silaha zake unapata usaidizi kutoka kwa hawa wapagani. HUWEZI SIKIA TAIFA LA KIISLAM LIKIMSAIDIA IRAN TOFAUTI NA VIKUNDI VYA KIGAIDI! Hivyo yawezekana ndio maana Shia wa Iran wanaongoza kwa kuua Waislam wenzao.
Hii ni Iraq,,, na pia ujue wayahudi hasa Baba yao Ibrahim alitokea Iraq..Hajawahi kuishi nchi ya waajemi...Asili ya wayahudi wote ni Iraq...Mesopotamia
Kumbe Mkuu wewe unataka Tuwe busy na nini wakati nchi yetu Ina amaniAcha ccm itawalee tu kama mpo busy na vita za watu πππ
Wew sio noreform no election ππKumbe Mkuu wewe unataka Tuwe busy na nini wakati nchi yetu Ina amani