na ukumbuke saudi arabia na iran ni paka na panya. na ujue kwamba marekani watepewa support nchi hizi hizi za middle east i.e saudi arabia, israel.Marekani hawezi enda vitani peke yake bila UK na wengine,Iran akiungana na mataifa mengine hapo middle east,USA ni zero tu.Aliondoka Vietnam mwenyewe bila kupenda.USA alone is zero zero.
NATO haiwezi fanya ujinga huo.Hapa USA yupo jeshi la mtu mmoja,najua UK anaweza muunga mkono ,lakini mataifa mengine makubwa kamwe hayawezi unga mkono USA hii ya Trump.NATO HAIWEZI KUPIGANA NA IRAN! NEVER. Iran mwenyewe anajua hilo...labda vita ya jihad na sio combat war
Watu hawataki vita.Ila watajua tu jinsi ya kudeal na USAIrani kacholozwa aache kubwabwaja alipize kisasi sisi tujue nani yuko ngangari!!!
Hahaha Saadam Hussein aliwahi kujificha kwenye hoja hizi za mafuta na uchumi wa dunia aliondoka akayaacha mafut yana tiririka.Vita katika eneo la Mashariki ya Kati si ya kuiombea ama kuishabikia kwa vyovyote vile. Kwa sababu ina athari kubwa sana za kiuchumi, hasa kupitia ongezeko la bei ya mafuta duniani. Ukigusia USA na washirika wake ama Iran na washirika wake wakubwa ikiwemo Russia, fukuto lolote lile lenye kuendana na ulipaji wa visasi wenye kulenga kushambulia vitega uchumi utaligusa kabisa soko la mafuta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa! Namwona Trump na mdomo wake na nywele zake akipokea breifing ya mpango kazi wa vita. Wakishambulia usiku kesho yake Alfajili tu anaamkia tweetermambo ya ‘fire and fury’ in Trump’s voice.
Shida Iran hawata enda front kivile. Ninavyo ona hawa jamaa wata wapa Wamarekani shida popote duniani.. Hata hii shida iliyo tokea Lamu Kenya leo unaweza kukuta kuna mkono wa IranTukiwaambia ukweli hawa ijumaa hawasikii wanaanza matusi, Irani ni mtoto wa chekechea ukilinganisha na US
Hatuondoki Iraq sababu tunalinda maslahi yetu. Mkituzingua tutamfungulia shetani awachinjeAngalieni Aljazeera muone waziri mkuu wa Iraq anaongea,kiongozi wa Hezbollah kishaongea.USA sasa inabidi wajitafakari.
Marekani hawezi enda vitani peke yake bila UK na wengine,Iran akiungana na mataifa mengine hapo middle east,USA ni zero tu.Aliondoka Vietnam mwenyewe bila kupenda.USA alone is zero zero.
Kati ya china, Russia, na Iran, hakuna nchi inayoweza kupambana na USA uso kwa uso "all out War "na kwa sababu wanalijua hilo wanachofanya ni kushambulia washirika wa US, au maslahi ya US,au kuzisaidia nchi ambazo US, anazipinga, Kama Russia na Syria.Iran vs. US military capabilities:
Budget
Iran: $6 billion
US: $716 billion
Troops
Iran: 523,000
US: 1.3 million
Aircraft
Iran: 509
US: 13,398
Navy vessels
Iran: 398
US: 415
Nukes
Iran: not known
US: 6,185
Missile range
Iran: 3,000 km
US: Any place on Earth
View attachment 1313146
Namna nzuri ya kudeal na USA ni kuufyata na kukaa kimya basi utakuwa umemaliza kazi,Kitu ambacho Iran hakiwezi maana naye anajifanya superpower wa Mashariki ya kati!!!Watu hawataki vita.Ila watajua tu jinsi ya kudeal na USA
Mimi ni mtu,halafu napenda vita hasa Marekani na Iran, pia Urusi.Watu hawataki vita.Ila watajua tu jinsi ya kudeal na USA
Kumbuka wataokufa ni wananchi wasio na hatia,mimi kusema ukweli naomba amani itawale.Mimi ni mtu,halafu napenda vita hasa Marekani na Iran, pia Urusi.
Tumechoka kuwaona hawa miamba gym, tunawataka ulingoni sasa.
Iran akinukishe atandikwe aache kelele,kawa na maneno kama mmakonde au mzaramo.
Kwani Iraq wakati wa Saddam ilipigwa vipi? Vita ya sasa ni anga na makombola ya masafa ya mbali infantry inakuwa mwisho mwisho labda kama unaongelea vita ya mwaka 47!!Kasome hotuba ya Mwalimu wakati wa vita vya Kagera inaitwa "Moyo kabla ya silaha" utajua kwenye vita kuna mambo mengi sana,ikiwemo jiografia kwa mfano ili Marekani iweze kuishambulia Iran inahitaji base,na je Iran imezungukwa na maadui au washirika? Kama ni washirika Marekani itapata wapi base,manake haiwezi kushambulia kutokea Marekani lazima kuwe na kituo kwa ajili infantry ili kuteka miji nk mashambulizi ya anga peke yake hayatoshi kuiangusha nchi,kama yangeweza leo tusingekuwa na Houthi pamoja na Bashar Al Assad
Wameshaanza cyber attacks Wizara ya Mambo ya Nje ya Austria pamoja na ofisi za serikali ya US.Kingine Iran hawezi attack USA wala base zake. Sana sana atawapiga washirika wake
Sent using Jamii Forums mobile app
anasemaje huku sitimbi hatuoni hayoAngalieni Aljazeera muone waziri mkuu wa Iraq anaongea,kiongozi wa Hezbollah kishaongea.USA sasa inabidi wajitafakari.
Kishamaliza,kwanza Marekani wameambiwa waondoe wanajeshi wao kutoka Iraq,then Kiranja wa Hezbollah kasema USA amekuwa chanzo cha chaos hapo middle east,na kifo cha Kassim Suleiman hakitapita bure.anasemaje huku sitimbi hatuoni hayo