Iran vs. US military capabilities

Umemsahau US ni member wa NATO
 
Hakuna lolote ndo maana USA Trump anaropoka ropoka tu,Iran wanamsoma tu.Ila tuombe amani.Fikiria raia wa Iraq ,Afghastan wanavyoishi.Kila binadamu anadeserve maisha katika sehemu yenye amani.
Iran alikuwa na nafasi nzuri sana kumpiga MMarekani sababu wameuwa mtu mhimu sana kwao, tatizo linakuja uwezo hana pamoja na kuwa anajua sana kubwabwaja maneno mengi!!!!!!!
 
Iran alikuwa na nafasi nzuri sana kumpiga MMarekani sababu wameuwa mtu mhimu sana kwao, tatizo linakuja uwezo hana pamoja na kuwa anajua sana kubwabwaja maneno mengi!!!!!!!
Na vikwazo vyote hivyo vya uchumi.Ila Iran lazima atalipa tu tena kupitia Hezbollah au alshabaab,atawapiga marekan popote pale,tena nahisi anataka patulie tu kwanza.
 
Saudi visima vyake vya mafuta vilipigwa na Iran saudia yupo nyuma ya mmarekani kuipa kichapo Iran
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu britanicca asante Kwa data hii maana wengi wetu tunashabikia Kwa mrengo wa Imani Fulani ya dini bila kujua uwezo na historia ya US hasa Kwenye mambo ya vita.
Tukumbuke kuwa hawa US hawafanyi vitu vyao Kwa kukurupuka hata siku moja ndiyo maana Kwa muda mrefu wamemfanyia Iran trade sanctions ili adhoofike kiuchumi,miezi 3 iliyopita wananchi wa Iran walikuwa wanaandamana kushinikiza raisi wao ang'atuke madarakani Kwa sbb ya Hali mbaya ya uchumi wao.

Hata Saudi Arabia nao Wana mgogoro na Irani juu ya mapigano ya nchini Yemen na wanatamani Iran ipigwe na kusambaratika Kutokana na Imani zao za kidini,ukiona mpaka huyo kamanda wa Iran anauwawa tujue kabisa kuwa nchi ilishajipanga Kwa matokeo yoyote yale
 
Kama Iran itajichanganya itapigwa mpaka itachakaa!!!!!
Nafikiri US wanaitafuta Afghanistan nyingine kwani huko Taliban wameshindikana sasa Iran itakuwa ni shida ingawa itabomolewa vibaya miundo mbinu lakini Marekani hatshinda vita kama Syria ambako wameamua kuondoka kimya kimya.
Anachofanya Mmarekani ni kuvuruga tu stability ya Waarabu ili waendelee kuwa ATM yake.
 
Umenena
 
Irani kacholozwa aache kubwabwaja alipize kisasi sisi tujue nani yuko ngangari!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…