Iran: Vitisho vya netanyahu dhidi ya Uwepo wa Iran syria ni kituko na dhihaka

Houthi wa yemen sio magaidi,ukitaka kujua asili ya hii vita ya yemen,nenda reddit,kuna jukwaa la yemen subreddit,kuna thread za mwanzo juu,zitakupa idea ya ishu ya yemen
 
Tatizo unachanganya mada umekimbia suala la Israel sasa umehamia huku kwenye udini how shithole ur?ndo maana nikakwambia ni karibu asilimia 20% sijasema ni 20% tatizo umejawa na mihemko ya hao miungu yako ya kizungu halafu cha kuchekesha sasa huyo mwisrael unayempigia upatu anabomoa makanisa israel,hamtambui yesu, na bado wakristo wanabaguliwa wanaonekana kama 2nd class tu......halafu hiyo mizungu unayoishobokea sasa ndo hao wanaowabagua usiku na mchana na kuwapunguza duniani kupitia sera za depopulation na bado utapata tabu Sana mwafrika wewe!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sithole mwenyewe ambaye unaongea bila takwimu. Mimi sio mshabiki wa Israel na suala la kutowataka wakristo nalijua Sana. Nami sio mshabiki wa Israel Lakini Kwa taarifa yako Israel is already considered as developed country wakati Iran is considered as still developing countries.Dynamic Link Not Found
Top 25 Developed and Developing Countries - Investopedia Israel. Israel is considered a developed country, although it has substantial poverty and large income gaps. The International Monetary Fund (IMF) ranked Israel as 23rd in the world by its per capita GDP of $35,432. Israel has a highly developed technology sector.search good uelewe utajifunza Mengi kabla ya kuanzisha mada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huoni wanavyoiendesha Duniani. Nyie waislam Nani aliwaroga. Mwarabu alikuwa mkoloni mbaya kuliko mzungu.alianzisha biashara ya utumwa . Akawapeleka watu uarabuni . Anawahasi yaani castration. Ndio maana leo hutaona watu weusi uarabuni. Walileta dini ya uislam na kuendesha biashara ya utumwa. Wana roho mbaya Sana waarabu. Mzungu alipotutawala alituletea ukristo, alijenga mashuleni, mahospitali na miundombinu. Pamoja na mabaya ya mzungu lakini alitusaidia. Waislam wanaongelea maxuri ya mwarabu bila kuongelea ubaya aliotifanyia

Sent using Jamii Forums mobile app

Chuki zako dhidi ya uislamu na waarabu utakupeleka pabaya wewe, wazungu washaharibu akili zako mkuu.
Una uhakika waarabu walitesa babu zetu? Ebu 2naomba huo ushaidi unao onesha kama ni kweli walifanya huo unyama! Najua hutoleta coz hakuna icho ki2.

Vile vile una ushaidi kuwa hakuna watu weuc nchi za kiarabu! Dah unackitisha sana,,Nauhakika wewe hutembei nchi zao na ukajionea yaliyomo. Icpokua umemezeshwa na mashoga wako.
 
Mpaka leo Mayotte kisiwa cha waislam wamekataa kujiunga na wenzao wa Comoros wameona Bora waendelee kutawaliwa na mzungu wa kifaransa . Wameona shida wenzao wa Comoros wanazopata baada ya kupewa Uhuru mwaka 1975. Mayotte imekuwa mbele kimaendeleo kuliko visiwa vyenzie vya Comoros. Kura ya maoni walipiga asilimia yote walikataa kuwa nchi ya Comoros. Nchi zetu za Africa tulipewa Uhuru kabla hatujaweza kujitawala ndio hivyo viongozi wanajinufaisha kuliko tuu wao huku wananchi wakiendelea kuwa Maskini. Waarabu wanachoweza ni kufatyafadhili makundi ya kigaidi sio kutoa misaada ya kibinadam. Nchi kama Kuwait, UAE, kwata, na Iran na kibao ni nchi tajiri but wameshindwa kuwachukua wakimbizi wa mashariki ya Kati Mpaka wamepokelewa na kukaribishwa na wazungu katika Umoja wa Ulaya na Marekani Kwa miaka nenda Rudi . Ulaya wanapewa misaada ya kibinadam na makazi. Kwaharaka ivi wale waarabu waislam na wazungu Nani mzuri. Marekani ni sasa Tu Trump kazuia wakimbizi Ila kipindi cha nyuma wakimbizi wengi wameingia Marekani na kupewa uraia

Sent using Jamii Forums mobile app

Maelezo yako hayahusiani na mada hucka, ila Udini tu ndio unakusumbua. Pole sana mkuu! Naam8ni ipo cku utaujua ukweli
 
Katika wakoloni,sidhani kama mwarabu anahesabika kuwa mkoloni hasa kwa Tanzania bara na kenya bara,undefinedkuna wakati mwarabu wa oman alihamishia makao makuu ya ufalme wa oman,zenj,sultan kwa upande wa bara alimiliki km 16 kama sikosei za ukanda wa pwani,maeneo ya bara yaliendelea kutawaliwa na machifu wa kiafrika kama kina munyigumba,mkwawa,mirambo,isike etc
 
Chuki zako dhidi ya uislamu na waarabu utakupeleka pabaya wewe, wazungu washaharibu akili zako mkuu.
Una uhakika waarabu walitesa babu zetu? Ebu 2naomba huo ushaidi unao onesha kama ni kweli walifanya huo unyama! Najua hutoleta coz hakuna icho ki2.

Vile vile una ushaidi kuwa hakuna watu weuc nchi za kiarabu! Dah unackitisha sana,,Nauhakika wewe hutembei nchi zao na ukajionea yaliyomo. Icpokua umemezeshwa na mashoga wako.
Inaonekana we mbishi Sana . Nawasiwasi na level yako ya shule . Inawezekana hukusoma secondary au kama ulisoma ulikuwa kilaza Kwa maana mambo ya utumwa wa Africa huyajui. Inshort Mwarabu ndio alikuwa mkoloni wa Kwanza Africa mashariki. Ktk kipindi cha mwarabu soko lilikuwa Zanzibar na maeneo mengine ya pwani ya Africa mashariki .Yaani watu waliteswa, waliuawa, walipelekwa uarabuni kufanya kazi. Kule uarabuni waliwahasi wanaume ili kizazi kisiendele. Watu walikatwa mikoni , miguu ,walitobolea miguu na walifungwa nyororo ili wavute mizigo na kulima kama ng'ombe. Tena Africa mashariki slave trade ilichukua miaka mingi Sana. Kasome why abolishen of slave trade took so long time in East Africa. Kasome pia kwanini hakuna watu weusi uarabuni ilihali watumwa walipelekwa kufanya kazi. Africa kulikuwa hakuna nchi inayotambulika. Baada ya hapo katika mwaka 1884 berlin conference Wazungu waliligawa bara la Africa ktk nchi mbalimbali. Sisi Tanganyika alipewa Mjerumani. Baada ya Mjerumani kupewa aliwatawala babu zetu pamoja na mwarabu ndani. Ikatokea vita ya Kwanza ya dunia kuanzia 1914 Mpaka November 1918. Katika hiyo vita mjerumani na washirika wake walishindwa na mjerumani akanyanganywa makoloni yake yote ikiwa pamoja na Tanganyika. Tanganyika akachukua mwingereza akawa mkoloni wa tatu. Katika kipindi cha Mjerumani na mwingereza walianzisha makanisa, kujenga mahakamani na magereza, walijenga miundombinu ili kusafirishie Mali, walianzisha mashamba makubwa walijenga mashule na mahospitali hayo. Ingawa mwingereza hakuiendeleza Tanganyika Sana kwasababu haikuwa koloni lake. Ndio Hilo gape unaloona Uganda na Kenya na nchi zingine wametushinda kwasababu wao walianza kutawaliwa na mwingereza kipindi kirefu. Kenya + Uganda walijengewa mashule na vyuo vingi . Vyuo vikuu Sisi hatukuwa navyo Hata Nyerere alisomea makerere kwasababu Sisi hatukuwa na university. Kutuacha kiuchumi Kenya kuna mambo Mengi pamoja na historia ya ukoloni. Mwarabu ni mkoloni wa Kwanza aliwatesa Sana babu zetu Sana tuu bila huruma .watumwa Wengine walifia njiani wakati wakisafiri . Kama hujui historia kasome kwanza. History nmesoma ya olevel tuu na primary Baba. Ninaifahamu vilivyo. Sikuwa kilaza hata siku moja piga mabanda ya kutosha. Kajifunze Kati ya biashara ya utumwa na ukoloni. Wewe Nina wasiwasi hujasoma au kama ulisoma ulikuwa kilaza. Nakuwekea na pdf kasome usipoelewa uliza unaweza tena na tena usaidiwe . Acha kusujudu watu waliowatesa babu zetu. https://www.researchgate.net/publication/283055675_SLAVERY_AND_THE_SLAVE_TRADE_IN_EASTERN_AFRICA
(PDF) SLAVERY AND THE SLAVE TRADE IN EASTERN AFRICA

The East African Slave Trade: Slavery in Zanzibar - YouTube
The East African slave trade | The East Indies | The Places Involved | Slavery Routes | Bristol and Transatlantic Slavery | PortCities Bristol
The East African slave trade | The East Indies | The Places Involved ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika wakoloni,sidhani kama mwarabu anahesabika kuwa mkoloni hasa kwa Tanzania bara na kenya bara,undefinedkuna wakati mwarabu wa oman alihamishia makao makuu ya ufalme wa oman,zenj,sultan kwa upande wa bara alimiliki km 16 kama sikosei za ukanda wa pwani,maeneo ya bara yaliendelea kutawaliwa na machifu wa kiafrika kama kina munyigumba,mkwawa,mirambo,isike etc
Mwarabu nae ni mkoloni alikuja kuwatawala babu zetu na kuanzisha biashara ya utumwa. Kwenye biashara ya utumwa wa Africa mashariki mwarabu hakwepi Asilimia100 ni zake. Wakwanza ni mwarabu kufika Africa mashariki , baada ya hapo alikuja Mreno. Mreno hakukaa Sana aliondolewa na mwarabu tena. Mjerumani akaondolewa na mwingereza . Mwingereza ameendelea Mpaka tunapata Uhuru 1961. Sultan alimiliki kanzia hizo Pwani za Kenya Mombasa malindi , pwani ya Tanganyika yote pamoja msumbiji na visiwa vya Zanzibar na Mafia. Zanzibar Kwa kipindi hicho ilikuwa ukanda wa pwani yote ya Tanganyika na Kenya pamoja na visiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninajua ila nimesema majority ya Waarabu (population structure yao) ni waislamu...so najua kuwa majority ya waislamu siyo Waarabu. OK!

Sent using Jamii Forums mobile app
Vilevile unapaswa ujue

1.Vita ya Iran na Iraq ilikuwa ni vita kati ya Iran na West. West walimtumia Saddam kudhoofisha Islamic Révolution vita iliposhindikana kwa miaka 8+ Saddam akaonekana hana ushirikiano ndipo na yeye alipoanza kuchokonolewa mpaka kunyongwa
2.Biashara ya utumwa kwa kiasi kikubwa ilifanywa na Wazungu wakishirikiana na Waarabu na Machifu wa Kiafrica
+ Waarabu hawakuwa na plantations kubwa ambazo zikihitaji watumwa wengi ukiacha domestic servants ambao wanawachukua hivi sasa mpaka Wazungu
+Mwarabu 1 au 10 anaweza kweli kutoka Congo mpaka Bagamoyo akiwa na watumwa 5,000 bila support ya Machifu huko njiani ?
Hivi unajua Tippu Tip kwa Chifu Fundikira ni ujombani kwao ?
Hivi unajua kwamba Waarabu walikuwa Middlemen mnunuzi mwenyewe mkubwa alikuwa Smith Mackenzie ?

3.Hivi unajua dunia nzima kuwa inafahamu kuwa vikundi vya kigaidi vyote hakuna hata kimoja kimeanzishwa na Iran. Fuatilia hata matokeo ya 911 hakuna hata Muiran 1 alishiriki ? Kwa nini ? Hivi unajua kuwa 80% walitokea Saudi Arabia na sio Iran ?
Wao hawana vita vya kuvizia wana vita vya wazi kwa mfano ni jambo la wazi kabisa hata UN wanajua kuwa (Wana mgambo sio Magaidi) wa Hizbullah na Hamas wanafadhiliwa na Iran. Na hakuna kikundi duniani ambacho kimewahi kuwasumbua Waisrael kama Hizbullah na Hamas mgoogle mtu anaitwa Lieberman aliyekuwa waziri wa vita wa Israel anavyokiri kubanwa kwa Israel na hivyo vikundi

4. Hivi unafahamu kwanini US imetoa team Syria Na Urusi iko bega kwa bega na Iran kumsafishia njia Assad ??
Hii vita ni ya kufa na kupona kwa Urusi kwa sababu ili iweze ku survive biashara kubwa ni Gesi kwenda nchi za Ulaya, Qatar hivi karibuni imegundua hazina kubwa ya Gesi ambayo ili aiuzie Ulaya lazima mabomba yapitie Syria kitu ambacho kitaiuwa Russia kiuchumi. Njia pekee ya kuinusuru Russia ni kumsaidi Assad ili akiwa madarakani alipe fadhila kwa kutoruhusu mabomba ya Qatar kupita Syria kuelekea German na nchi nyingine za Ulaya.
Katika hali kama hiyo Trump lazima atoe majeshi kwa sababu iwe iwavyo Russia lazima ainusuru Syria

5.Iran ya 1990s siyo ya 2019 Iko mbali saana kimaendeleo
Hebu angalia Vikwazo vyote ilivyowekewa + Vita ya miaka 8 na Saddam ambaye alirundikiwa silaha na nchi zote za Magharibi lakini bado inakuwa threat kwa Israel ambayo wa enjoy ulezi toka US. Hivi unajua kwamba nchi ya kwanza duniani kwa kupata misaada yenye thamani kubwa toka US ni Israel ??

6. Hivi unafahamu kuna campaign iliyoanzishwa na Wapalestina inaitwa BDS =Boycott + Divest + Support ya kuwasaidia Palestine dhidi ya Israel ambayo imepata support kubwa Europe kuliko kutoka Arabia na ambayo kwa kiasi ishaanza kudhoofisha uchumi wa Israel ??

Baadaye

Huyo Al assad na DASM ni vichwa maji kabisa, na ndivyo ilivyo Duniani wajinga hawatoisha. Watu wa namna hiyo unaojaribu kuwatoa tongotongo Kiongozi Adili na Nduguze sidhani kama watakulewa hao.

Kuna fact nyengine ameiandika Elungata wanaweza wakaisoma hapo kama wanataka kuelimika.
 
Ardhi Ile sio ya waarabu pale na waislam. Mataifa zaidi ya 50 ya waarabu yanahangaika kuitoa Israel pale lakini wanashindwa. Miaka inavyokwenda ndio Israel anazidi kumsogeza Palestine pembeni. Toka vita vya waarabu na Israel Mpaka sasa Nani kashinda . Israel amezidi kusogeza mipaka ya Mpaka Palestine kwenye Ramani haionekani. Ndio ujue nguvu ya Israel. Waisrael ndio watu wenye high iq, akili nyingi zaidi duniani pia ni matajiri zaidi. Wanaicontrol dunia

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni kweli waisrael ni watu wenye iq kubwa , akili nyingi ulimwenguni ,Huu hapa ushahidi, ONA MWENYEWE

Tel Aviv, the new LGBT capital of the world! - Gooster
 
Inaonekana we mbishi Sana . Nawasiwasi na level yako ya shule . Inawezekana hukusoma secondary au kama ulisoma ulikuwa kilaza Kwa maana mambo ya utumwa wa Africa huyajui. Inshort Mwarabu ndio alikuwa mkoloni wa Kwanza Africa mashariki. Ktk kipindi cha mwarabu soko lilikuwa Zanzibar na maeneo mengine ya pwani ya Africa mashariki .Yaani watu waliteswa, waliuawa, walipelekwa uarabuni kufanya kazi. Kule uarabuni waliwahasi wanaume ili kizazi kisiendele. Watu walikatwa mikoni , miguu ,walitobolea miguu na walifungwa nyororo ili wavute mizigo na kulima kama ng'ombe. Tena Africa mashariki slave trade ilichukua miaka mingi Sana. Kasome why abolishen of slave trade took so long time in East Africa. Kasome pia kwanini hakuna watu weusi uarabuni ilihali watumwa walipelekwa kufanya kazi. Africa kulikuwa hakuna nchi inayotambulika. Baada ya hapo katika mwaka 1884 berlin conference Wazungu waliligawa bara la Africa ktk nchi mbalimbali. Sisi Tanganyika alipewa Mjerumani. Baada ya Mjerumani kupewa aliwatawala babu zetu pamoja na mwarabu ndani. Ikatokea vita ya Kwanza ya dunia kuanzia 1914 Mpaka November 1918. Katika hiyo vita mjerumani na washirika wake walishindwa na mjerumani akanyanganywa makoloni yake yote ikiwa pamoja na Tanganyika. Tanganyika akachukua mwingereza akawa mkoloni wa tatu. Katika kipindi cha Mjerumani na mwingereza walianzisha makanisa, kujenga mahakamani na magereza, walijenga miundombinu ili kusafirishie Mali, walianzisha mashamba makubwa walijenga mashule na mahospitali hayo. Ingawa mwingereza hakuiendeleza Tanganyika Sana kwasababu haikuwa koloni lake. Ndio Hilo gape unaloona Uganda na Kenya na nchi zingine wametushinda kwasababu wao walianza kutawaliwa na mwingereza kipindi kirefu. Kenya + Uganda walijengewa mashule na vyuo vingi . Vyuo vikuu Sisi hatukuwa navyo Hata Nyerere alisomea makerere kwasababu Sisi hatukuwa na university. Kutuacha kiuchumi Kenya kuna mambo Mengi pamoja na historia ya ukoloni. Mwarabu ni mkoloni wa Kwanza aliwatesa Sana babu zetu Sana tuu bila huruma .watumwa Wengine walifia njiani wakati wakisafiri . Kama hujui historia kasome kwanza. History nmesoma ya olevel tuu na primary Baba. Ninaifahamu vilivyo. Sikuwa kilaza hata siku moja piga mabanda ya kutosha. Kajifunze Kati ya biashara ya utumwa na ukoloni. Wewe Nina wasiwasi hujasoma au kama ulisoma ulikuwa kilaza. Nakuwekea na pdf kasome usipoelewa uliza unaweza tena na tena usaidiwe . Acha kusujudu watu waliowatesa babu zetu. https://www.researchgate.net/publication/283055675_SLAVERY_AND_THE_SLAVE_TRADE_IN_EASTERN_AFRICA
(PDF) SLAVERY AND THE SLAVE TRADE IN EASTERN AFRICA

The East African Slave Trade: Slavery in Zanzibar - YouTube
The East African slave trade | The East Indies | The Places Involved | Slavery Routes | Bristol and Transatlantic Slavery | PortCities Bristol
The East African slave trade | The East Indies | The Places Involved ...

Sent using Jamii Forums mobile app

Hizi ni hadithi za makanisa ambao wanajaribu kuwapakazia waarabu kuwa waliuza watu wakati hiyo biashara ya utumwa waliianzisha wao na wao ndio wanunuzi
 
Kweli kabisa. Huyu kijana bwana ndio maana ckutaka hata kumjibu, anajifanya mjuaji/msomi sanaa kuliko wenzie, mara oh History nimesoma ya olevel na primary,ninaifahamu vilivyo" Nimecheka sana 🤣🤣🤣

Mizungu imewaharibu akili awa wa2 wakawaaminisha uongo kuwa biashara ya utumwa/kuteswa babu ze2 zilifanywa na waarabu wakat co kweli. So sad kwakweli.
 
Vilevile unapaswa ujue majority of muslims are not arabsundefinedSent using Jamii Forums mobile app
Israel’s Iron Dome missile defense system intercepted a projectile launched from Syria after Damascus accused Jerusalem of carrying out a rare daytime attack on the south of the country on Sunday.undefinedPictures from Israel’s popular Mount Hermon ski resort, which was full of tourists enjoying the snow-filled hill, showed two trails from Iron Dome missiles while screams from children were heard in a video from the scene.undefinedThe interception came shortly after the Syrian regime accused Israel of carrying out airstrikes in the south of the country, triggering air defenses that intercepted several of them.undefined“A military source said that our air defenses had successfully engaged an Israeli aerial attack targeting the southern region and prevented it from achieving any of its objectives,” read a report by the official Syrian news agency SANA.undefinedAl-Manar, Hezbollah’s media network, reported the attack near Damascus but gave no further details. Syrian regime supporters said that a total of nine Israeli missiles were intercepted by regime air defenses. Russia's Ministry of Defense, according to RIA news agency, said four Israeli jets fired seven missiles at the international airport, causing no injuries to Syrian nationals.undefinedThe Syrian regime used the Buk and Pantisr systems to intercept the missiles, according to Sputnik, the Russian news agency.undefinedVideo footage from #Israel’s Mount Hermon showing launch of two Iron Dome missiles against a #Syrianprojectile. pic.twitter.com/mCXJCUgfSc— Anna Ahronheim (@AAhronheim) January 20, 2019The Syrian air defenses were alerted on Sunday afternoon as a Mahan Air flight from Tehran to Damascus was about to make its approach to Damascus. At 1:30 p.m. the flight turned around and headed away from the city. A Syrian L-76 cargo lifter from Tehran was also en route to Damascus on Sunday morning. These kinds of flights have been seen as suspicious over the last year amid allegations that Iran delivers weapons to Syria and Hezbollah using different airlines as cover.
 
Back
Top Bottom