Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,222
israel ilifanya mashambulizi ya anga leo mida ya saa nane mchana ikilenga damusca airport,walitime wakati ndege ya abiria mahan airbus ikiwa na abiria ikijiandaa kutua pale uwanjani,ndege hiyo iligeuza na kurudi iran,ndege ya abiria ilitaka kutumika kama ngao iwapo syria ingetumia lile kombora lilodungua ndege ya urusi kujibu mashambulizi,saa hizi tungekuwa tunaongelea kudunguliwa ndege ya abiria ya iran na syria air defence,kwa sasa hiyo ndege ya abiria iko njiani tena kutoka iran kuelekea damusca