Mkuu uko sahihi japo sio sana kuhusu ana na Iran [emoji1130]...
Labda nieleze tu ‘sio sana’ kivipi :
*Ukiongelea swala la missles,Explosives,radar technology na defense systems..ni ishu ‘mtambuko’ kwani kila kimoja kinajitegemea kivyake..na hapa Iran hajafanikisha kutegemeza kila kimoja kivyake(specialization) ili viwepo na mantiki ya kimfumo na utendaji.
*Kwenye hizo programu(scards,engine,Long range explosives za 2000km..etc) kuna kitu kinaitwa ESSENTIAL COMPONENT(s) ambacho kukosekana kwake kwa kunaathiri moja kwa moja kufanikiwa au kutofanikiwa kwa hii mipango..pia Quality ya vifaa hivyo.
- - Hiyo ‘essential component’ mara nyingi(zote) inakuwa ni kifaa muhimu kwenye uundaji wa mashine au madini fulani(chuma au uranium) au pengine kemikali fulani za kuwezesha mfumo ufanye kazi...na hapa ndipo VIKWAZO VINAEGEMEA SANA.
*Hivo vyoote Iran [emoji1130] inavodai kugundua,ninavitilia mashaka juu ya ubora na uimara wake...na zaidi sidhani kama wanaweza kuviuza kwa mataifa(hata Haya masikini ya Africa japo),kwa kuwa havina credibility na havijawahi fanya utendaji kwenye ‘vita halisi’
Sent from my iPhone using JamiiForums