Iran imekua ikitengeneza ndege zake tokea 2006 walianza na:-
1. Azaraksh
2.Saeqh 1
3.Saeqh 2
4.Dorna Training jet
5.Kowsar-88 Training jet
6.Qaher-313 Stealth fighter jet still underdevelopment
7. Kowsar
NB: Hizo ndege za Azaraksh,Saeqh 1&2 and Kowsar zimebase kwenye model ya US F-5 fighter jets ambazo Iran alinunua kabla ya Mapinduzi ya 1979....Kuna Watu walidai Iran hana uwezo wa kutengeneza Ndege maana ndege ni very complicated hasa Engine na Radar maana nchi zote ukiacha US,France Sweden na Russia zilizobaki zinashirikiana mfano UK/Germany wana Euro fighter, Nk nk So wakasema Iran atakua anafanya painting tu za zile ndege zake lakin Iran waliweza Ku reverse engineering na wakaonesha zilivyokua zinatengenezwa kiwandani....Ndo watu wakaamini....Iran baadae wakazindua Turbofans Engine hii ni very complicated Ku master so Hii ndege ni Iran Made though muonekano wake unafanana na US-F5 lakin cockpit waliyo install ni 4 or 5th generation hivyo kuifanya hii ndege kuweza kurusha makombora tofauti....Qaher stealth fighter inayosubiriwa kwa hamu kuruka mwakan maana imeshafanya Taxing testing hii ni tofauti kabisa na dizain zilizopo....
Sent using
Jamii Forums mobile app