Iran to recount disputed election votes | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Iran to recount disputed election votes

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Oxlade-Chamberlain, Jun 16, 2009.

 1. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #1
  Jun 16, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Iran's election authority has agreed to recount the votes.
  Wana jamii mnachukulia aje hili swala la kuandama la kudai haki? inaonesha nchi nyingi raia wao wanatumia na inasaidia kulete mabadiriko au kusikilizwa.mbona sisi tunakuwa kimya sana kwenye mambo makubwa mengi yanayo gusa nchi yetu?
   
 2. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #2
  Jun 16, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  The question is hiyo recount ni formality tu au kuna chance of anything significant happening? They might just be recounting to please the masses. I do not see how Ahmadinejad could have stolen votes mpaka zifike about 66% anyway let's wait and see. Mimi naona Ahmadinejad's opponent is using the passion of his supporters for his own personal gain. On the other hand it is a plus for democracy. The people have voiced their opinion and the authorities have head. Let's hear the Western media complain now.
   
 3. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #3
  Jun 16, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  tatizo ni kwamba zilipigwa kura millioni 40 na baada ya masaa mawili tu watu kupiga kura matokeo yakatangazwa.na kumbuka hizi kura zimepigwa kwa karatasi sio electronic.swali linakuja,unawezaje kuhesabu kura millioni 40 kwa mda wa masaa mawili?
   
 4. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #4
  Jun 16, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Hapo njia rahisi ya kuwa unbiased ni tuangalie wahesabu kura walikuwa wangapi? Na tukisha jua wangapi ndiyo walikuwa wana hesabu tuangalie ina chukua muda gani kwa mtu mmoja kuhesabu kura moja.
   
 5. N

  Nsaji Mpoki JF-Expert Member

  #5
  Jun 16, 2009
  Joined: Nov 5, 2007
  Messages: 396
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Tatizo la watanzania ni la kihistoria.Fikra zao bado zina kumbukumbu ya kuongozwa na Mwasisi Mwalimu Nyerere ambaye aliwazoesha kufikiri kwa niaba yao.Hizo fikra kwa watanzania wengi nikiwemo na mimi mwenyewe,tunafikiri kuwa viongozi tunaowachagua ni watawala hawastahili kuhojiwa.Tumejiwekea msingi mbovu wa kutohoji viongozi tuliowachagua wenyewe na kuwafanya miungu watu.Ndiyo maana si ajabu kwa wananchi wetu Kiongozi akisha toa tamko tunakuwa watu wa kutii bila kuhoji mantiki ya maamuzi hayo!
   
 6. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #6
  Jun 16, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  mwanafalsa1, mimi simpingi ahmadejad,sema kama kuna sehemu haki haijatendeka na inaonekana wazi sio lazima watu wakubali tu.najua vyombo vya habari vya western matokeo hayakwenda kama walivyotaka na ndio maana wakaanzisha yote.swala la kura millioni 40 kuhesabiwa kwa masaa mawili haiwezekani kabisa hata uniambie walikuwa na wafanyakazi wangapi.kura millioni 40 uzihesabu ndani ya sekunde 7,200? na kwanini wafanye haraka hivyo?
   
Loading...