I cant tell you, ila itakuwa maeneo hayo sorrounding river jordan, a nation back then maybe was as much tiny as a village.Could you please give me the meaning of the word NATION when the Bible was written?
Nakubaliana na unachosema, ila amini usiamini, hao kina Russia,China et al, hawataingilia kama ni Israel peke yake ndo wanaambana, only kama NATO na US wataingia, then maybe.Sasa hili litakua Tifu la aina yake watu msifikirie Iran ni mjinga, yeye ana mabomu mengi tu makubwa haya Intercontinental ballistic missile ambazo anaweza kabisa kupiga miji kadhaa ya US na pia Israel bila shida...na kila leo anazidi kujiweka sawa kijeshi wakorea ya Kaskazin wanamsaidia na pia Russia kwa hiyo come what may if they set foot on the battle field...itakua vita kubwa sana wala si mchezo na hat haya mambwa ya US yanajua Iran sio Iraq wala Libya...ina jeshi kubwa na la kisasa kabisa..wait u see hilo tifu...
Mkuu, kwa wanaoamini bible, Israel ina vipindi vyake vya ups and downs ambazo ziko recognized na Mungu na si bahati mbaya, zipo kwenye historia ya bible, kama wewe ni muumini wa dini ya kikiristo, basi ukweli ndo huo, kwamba Israel kuna nyakati ambazo Mungu huwa ana waderstroy na nyakati ambazo anawajenga, na yote hiyo inasemekana ni kama wakienda njia mbaya,basi mara zote Mungu huwa anawaacha wafanyiwe mambo kama kutawaliwa nk ili warudi kwenye msitari, na hapo ndipo kunakuwa na remnants, again, i stand to be corrected.
Show me a nation that has always moved ups. It seems to me that the GOD you know has always used carrot and stick when dealing with the Israelis. He protects them when they obey him, and punishes them when they don't.
Tell me what they did wrong to deserve the mass execution of the Second World War, and then tell me what they have done differently since the end of the war?
Also I would like to know why GOD has to use agents of Evils such as Hitler to punish the Jews?
I cant tell you, ila itakuwa maeneo hayo sorrounding river jordan, a nation back then maybe was as much tiny as a village.
Nasubiri kwa hamu kubwa siku Israel(Taifa la Mungu) litakapowapiga hao mashetani(Irani)
OK let put this was. If they are indeed taifa la Mungu, why don't they pray and let God shut down Iran's nuclear plants mysteriously? Do you think God created diversity of Nations and races in order to make others superior?
Think about this. Every time they have a problem in the Middle East, the price of oil goes up significantly. In that kind of situation, poor nations like Tanzania pay heavy price. My question is what have we done wrong to receive God's wrath?
Nakubaliana na unachosema, ila amini usiamini, hao kina Russia,China et al, hawataingilia kama ni Israel peke yake ndo wanaambana, only kama NATO na US wataingia, then maybe.
And it is a big maybe since hakuna historia kama hiyo.
Shida ilipo kwa upande mwingine ni kuhusiana suala la imani.
Kwa mfano bible ina claim kwamba kuna wana wa Isarel 40, 000 watakaoingia peponi for free!
Uko Iran nako, wanaamini kabisa kuwa kwa mujibu wa dini yao, vita hivi ni vile vya armagedeon, wanaamini kwa mujibu wa Allah, vita hivi ni lazima vitokee na mwisho wake ndo kama alivyosema Ahmedinejad, siyo kwamba wanatisha nyau, bali ndivyo wanavyoamini, so given all those issues, unaweza kuona kuwa imani pia nazo zinachangia conflicts kwa kiasi kikubwa sana kwenye maisha ya wanadamu.
Hao Russia na China wao hawawezi kuingia moja kwa moja ila wao wanakerwa na ubabe wa US kila wakati msisahau Marekani bila vita haipo...kwa ufupi ni Taifa linaloishi na kustawi kwa kutumia damu za watu!!! ndio maana wana laana, sasa wanataka sana hiyo vita na hata kibri chote cha Israel kinatoka huko..kumbukeni wala FBI wote karibu ni hao hao waisrael sasa tifu litakuja kuwa kubwa mana wale Korea kaskazin wana Nyuklia na wale wana maelewano mazuri na Iran...
Ndio maana nasema hata Iran anaweza kabisa kupambana na Israel tena akamudu vizuri sana na ndio maana hasa unaona kinachofanyika Syria ni kuhakikisha eneo hilo linakaliwa na watu wao na Yule Assad sio mtu wao wanaogopa... akiendelea ataleta shida au kuhujumu Israel...kwa ufupi niwambieni hiyo Vita itakua mbaya sana kuliko watu wanavyofikiria wala sio rahisi kwa wote wawili...
Let me agree that I don't believe. But let me tell you this you have a very narrow definition of God, and I don't blame you because enlightenment isn't an easy feet to achieve.
si washangai watu kama wewe,kwasabubu mupo wengi sana.usilete hoja za kiimani eti wana wa mungu.taifa la mungu linaonea watu?????????????
Mkuu, ninavyoelewa, dunia iliyokuwa inaelezewa kipindi kile cha karne a kwanza, ni tofauti na dunia inayozungumziwa sasa.You are making a guess. Aren't you?
Mkuu fuatilia vyema, anza na hapa...Hakuna anayetumia imani hapo...kwasababu Israel hawana dini wala hawatumii bible, wairan wenyewe wako mbio kupanua persina empire midlle east wakati israel nayo iko ina struglle ku-control waarabu na resources zao (wao wanakula halua washamba)..
It is about power struggle no religion my friend; no religious person will intimadate anyone or cause harm to others
Mkuu, ninavyoelewa, dunia iliyokuwa inaelezewa kipindi kile cha karne a kwanza, ni tofauti na dunia inayozungumziwa sasa.
Kwani Afrika ni kweli iligunduliwa na Mango Park long time after the bible was written?
Ramani ya dunia karne ya kwanza ni sawa na hii ya sasa?
Tuanzie hapo...