mr.dominick
JF-Expert Member
- Jun 21, 2012
- 244
- 29
Ndio maana wazenji wanataka kujitenga ili wawatumikie mabwana zao waarabu kikamilifu. Hata hivyo kwa upande mwingine hili suala huwezi kulitenganisha moja kwa moja kutoshirikishwa kwa viongozi wa serikali ya Muungano kwa maana CCM ni wale wale, wawe wa Zenji au Bara. Nina shaka hawa wanaweza wakawa ndo waliowawekea zile bin 300 kule Uswisi na ndio wanaowasaidia kundi la kigaidi la Uamsho.
kwani sisi Tanganyika si tumeungana tuwatumikie mabwana zetu ??? kwani nani aliulizwa huku Tanganyika kuhusu huu muungano???
Wanaowasaidia kundi la madaktari na walimu linalotaka kugoma ni nani CHADEMA?????
Tumewashika wazanzibari na ujinga wetu huku mafisadi wanapeta , amka kwanza zanzibari waende sisi tuwashughulikie mafisadi