Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,622
- 10,262
Mkuu Wairan wanajua zaidi ya ww, linapokuja suala la kitaifa ata kama ni nchi yako basi umakini unahitajika zaidi, Unajua kuwa Iran ina maadui especially ulaya na marekani, dunia ya sasa umakini unahitajika sana, kama kweli Marekani anawapenda na kuwatakia wema Iran basi angeondosha vikwazo kwanza thn akawapatia hizo dawa, sio mbaya kukataa hiyo midawa coz u never know what whats going to happenIran iliaandaa tuzo na zipo kwa mda mrefu wakampa ugur sahin mwaka 2019, ugur sahin kampuni yake na ubia wa Pfizer kampuni ya marekani wakawa wakwanza kuja na Kinga ya covid-19
Ayatollah anadai nchi yake haitatumia chanjo za nchi za magharibi, kumbuka ugur sahin kampuni yake imesajiliwa ujerumani kwa maana hiyo ni kampuni ya nchi za magharibi
Swali la kujuiliza kulikua na haja gani ya kumpa tuzo ugur sahin huku bidhaa yake hamtaki kuitumia, haya ndo maajabu ya irani
Ugur sahin anahusika vip na vikwazo, na mwaka 2019 walivyompa tuzo walikua hawajewekewa vikwazoMkuu Wairan wanajua zaidi ya ww, linapokuja suala la kitaifa ata kama ni nchi yako basi umakini unahitajika zaidi, Unajua kuwa Iran ina maadui especially ulaya na marekani, dunia ya sasa umakini unahitajika sana, kama kweli Marekani anawapenda na kuwatakia wema Iran basi angeondosha vikwazo kwanza thn akawapatia hizo dawa, sio mbaya kukataa hiyo midawa coz u never know what whats going to happen
Uguru sahin sio mmarekaniWamegundua wamarekani watawachanganyia sumu,,wanatengeza chanjo yao wenyewe ama wataagiza Russia,,nchi zenye utu,,
Mabeberu sio wa kuamini sana
wataagiza ile ya putinWamegundua wamarekani watawachanganyia sumu,,wanatengeza chanjo yao wenyewe ama wataagiza Russia,,nchi zenye utu,,
Mabeberu sio wa kuamini sana
Wamegundua wamarekani watawachanganyia sumu,,wanatengeza chanjo yao wenyewe ama wataagiza Russia,,nchi zenye utu,,
Mabeberu sio wa kuamini sana
Tofautisha kati ya kupewa tuzo na Suala la usalama wa taifa, leo unaweza kupewa tuzo but kesho tunaweza kukataa mchango wako, siku hazifanani, USALAMA KWANZAUgur sahin anahusika vip na vikwazo, na mwaka 2019 walivyompa tuzo walikua hawajewekewa vikwazo
Kama walishawahi kupelekewa magonjwa ya ukimwi na Ufaransa ni wajibu kukataa hizo chanjo, wenzetu wanaakili nyingi sana sio wajingaUgur sahin anahusika vip na vikwazo, na mwaka 2019 walivyompa tuzo walikua hawajewekewa vikwazo
Swali langu Kama walikua wanajua hilo kwanin walimpa tuzo mwanascience mwislamu ugur sahin ambaye anaishi ujerumaniKama walishawahi kupelekewa magonjwa ya ukimwi na Ufaransa ni wajibu kukataa hizo chanjo, wenzetu wanaakili nyingi sana sio wajinga
“Importing vaccines made in the US or the UK is prohibited. They’re completely untrustworthy. It’s not unlikely they would want to contaminate other nations “Given our experience with France’s HIV-tainted blood supplies, French vaccines aren’t trustworthy either.”
Labda walimpakwa vigezo vingine. Mbona kuna jamaa hapa Makonda alimweka ndani kwenye harakati zake za dawa za kulevya halafu siku wanazindua mradi wabomba la mafuta Magufuri akamsifia kwa kampuni yake kufanya kazi vizuri. Kwa hiyo unaweza kupondwa kwa hili ukasifiwa kwa lile.Iran iliaandaa tuzo na zipo kwa mda mrefu wakampa ugur sahin mwaka 2019, ugur sahin kampuni yake na ubia wa Pfizer kampuni ya marekani wakawa wakwanza kuja na Kinga ya covid-19...
Walimpa tuzo ya kuwa mwanasayansi lakini hilo halina uhusiano na ukubali chanjo ya kampuni anayofanyia kazi. Ni sawa kuna watu wanamkubali steve jobs lakini hawazikubali simu za iPhoneSwali langu Kama walikua wanajua hilo kwanin walimpa tuzo mwanascience mwislamu ugur sahin ambaye anaishi ujerumani
Irani hiii inayotumia IOS, Android, Symbian, iPhone, Twitter, Facebook, Coca-ColaBeberu muamini wewe tu beberu ni atari kuliko ukoma!
Sababu ya kumpa tuzo ni kutoka na harakati zake kutafuta tiba ya kansa kupitia messenger RNA, na ambayo imetumika kutengeneza chanjo ya covid-19Walimpa tuzo ya kuwa mwanasayansi lakini hilo halina uhusiano na ukubali chanjo ya kampuni anayofanyia kazi. Ni sawa kuna watu wanamkubali steve jobs lakini hawazikubali simu za iPhone
Iran hata magari wanayotengeneza wazungu wanatumia but sio chanjoIrani hiii inayotumia IOS, Android, Symbian, iPhone, Twitter, Facebook, Coca-Cola
Mkuu ulivyo viorodhesha sio chanjo! Kama ulikuwa hujuwi juwa leo chakula ni sumu soda ni sumu! Chanjo ni uchawi sijuwi umenielewa chanjo ndio unaweza kuwa uchawi wa laboratory!Irani hiii inayotumia IOS, Android, Symbian, iPhone, Twitter, Facebook, Coca-Cola