Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,730
- 47,006
Wale wanaosema Vikwazo vya Marekani kwa Iran havijaleta madhara makubwa someni hii.
Aya tukubaliane na wewe Iran inaathiriwa na vikwazo vya marekani.
Lakini mpaka sasa uchumi wa Iran ni pili kwa ukubwa pale mashariki ya kati baada ya saudia na ndio nchi yenye nguvu za kiviwanda kuliko zote mashariki ya kati.
Lakini we we nchi yako ambayo haina vikwazo na inapokea misaada ya mabilioni ya pesa mpaka sasa uchumi wake haujaweza kufikia angalau 8%ya uchumi wa Iran.
Ni wapi kaiponda Iran?Nchi yako mpaka juzi kati ilikua ikipokea misaada ya miradi ya majikutoka Iran (kujengewa vyanzo vya maji yakiwemo mahodhi makubwa ya kuhifadhia maji) sehemu mbali mbali za Tz, tena Iran imewapa misaada hio bila ya masharti yyte, sio kama white pig [emoji201] wanawapa masharti ya kukubali kuowana wanaume kwa wanaume, Alafu unakuja apa unaanza kuiponda Iran