Iran kwenye ubora wake...

Iran kwenye ubora wake...

Sawa,wao waendelee kutengeneza makombora huku wananchi wao wakila nyasi

Wewe Tata wambura unaongea nini banaa, Iran sio wale ndugu zako wanaouwa mifugo huko Tarime na kuchoma nyumba za watu 😁😁

Harafu mukuu, hao jamaa zako si ndio wanaokutambua wewe ni NYANI tu, sasa yanini unawashobokea watu wanaokutambua wewe ni SOKWE! ungana na sisi kumsapoti mwanaume wa shoka
 
Iran na Korea naona hata kama wanaunda makombora gani bado ovyo tu! Dunia imepooza kweli tangu Osama akufe! Yaani kidogo alikuwa anatia amsha amsha [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
Dah kweli mkuu nimemis kusikia mauji uwanja wa medani
wp1982179.jpeg
chinook.jpeg
 
hiyo ni Bavar-373,kama sijakosea spelling,ilikuwa imeingia stage ya mass production na tarehe 22 august ndo itaingia rasmi kwenye matumizi,sasa hii ina component ya phased array rada yenye uwezo wa kumonitor umbali wa km 400,hii rada ndo imekuwa exposed jana lakini full component ya hii air defence itazinduliwa hiyo tarehe,hii air defence inataka kufanana na S-400 ya Russia,kwani hata hii hutumia makombora ya kudungulia ndege ya aina tatu tofauti in range
 
Hahahahahahaha jibu Muruwa
Wewe Tata wambura unaongea nini banaa, Iran sio wale ndugu zako wanaouwa mifugo huko Tarime na kuchoma nyumba za watu [emoji16][emoji16]

Harafu mukuu, hao jamaa zako si ndio wanaokutambua wewe ni NYANI tu, sasa yanini unawashobokea watu wanaokutambua wewe ni SOKWE! ungana na sisi kumsapoti mwanaume wa shoka
 
Iran na Korea naona hata kama wanaunda makombora gani bado ovyo tu! Dunia imepooza kweli tangu Osama akufe! Yaani kidogo alikuwa anatia amsha amsha [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
HV MKUU WW3 ITAONYESHWA LIVE KTK KIDEO NATAKA NIWEKE BANDO KABISA NAIISI ITAKUA BONGE LA SIZONI
 
HV MKUU WW3 ITAONYESHWA LIVE KTK KIDEO NATAKA NIWEKE BANDO KABISA NAIISI ITAKUA BONGE LA SIZONI
Itaoneshwa kwenye Deathrow channel [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Itaoneshwa kwenye Deathrow channel [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Mkuu mie napenda wapasuane maana wanatuletea dharau wanatutupia magonjwa mengine yamekaa pabaya inafikia hatua mpaka mkeo unamuogopa unamgegeda na ndom.
 
Back
Top Bottom