Range..400km
Anti-ballistic
Anti-cruise missiles
For this specifications it sounds like the S_400 triumph missile of Russia.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Na viwanda vikikamilika na WW3 imeanza...kombora moja tu viwonder vyote chali.Hatari sana...
Sisi tunahangaika kuijenga nchi iwe ya viwanda, wenzetu wanaijiandaa na WW3...
Cc: mahondaw
Nimeona hio Habari, hongera sana Iran, huku kiduku akirusha makombora yake mengine jana, Dunia tutaheshimiana tu sasa
Kama mtawala wenu wa miundombinu anavyoendelea kuwajengea reli ziszo na impact huku raia wakikimbilia maroli ya mafuta yaliyopinduka.
Sawa,wao waendelee kutengeneza makombora huku wananchi wao wakila nyasi
Ww usiotengeneza unakula nn iran hamna anaekula nyasi wala mjani ni akili mgando 2Sawa,wao waendelee kutengeneza makombora huku wananchi wao wakila nyasi
Range..400km
Anti-ballistic
Anti-cruise missiles
For this specifications it sounds like the S_400 triumph missile of Russia.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Iran na Korea naona hata kama wanaunda makombora gani bado ovyo tu! Dunia imepooza kweli tangu Osama akufe! Yaani kidogo alikuwa anatia amsha amsha [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
Uwafkye wap mkuu[emoji3][emoji3] au ww raia wa nchi gan ?!Kweli wako mbali cjui nasi tutawfkia.
Endelea kuota mkuuMkono wa Urusi ndani ya jangwa..
Vijana wanapiga kazi mpaka anaejiona mungu m2 anatia kidole kwa mdomo shenz taipu usIran yazindua mfumo wa kiulinzi wenye uwezo wa kuona na kuharibu cruise na ballistic missiles na drones kwa umbali wa 400km.
Yetu ni macho na masikio.
Iran unveils 'upgraded missile defense system'
Iran unveiled on Saturday what authorities said was a locally upgraded missile defense system with a range of 400 km (250 miles) and able to defend against cruise and ballistic missiles and drones.
[emoji810] @ReutersWorldChannel [emoji810]
Ulishawahi kufika Iran? Check hapo sio Tehran bali ni mkoani huko Mashhad (Azad grand square)Sawa,wao waendelee kutengeneza makombora huku wananchi wao wakila nyasi