Iran kimenuka huko

ELI COHEN

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
9,460
Reaction score
28,832


Your browser is not able to display this video.


Your browser is not able to display this video.

Tangu jana kuna maandamano ya kupinga mamlaka ya IR

Uchumi umekuwa mkali mnoo lakini zaidi manyanyaso ya agents wa ayatollah ni ya kiovu sana.

Its funny kwamba iran ina pesa ya kufadhili jihad na ugaidi middle east ila haina pesa ya kulisha waajemi
 
Kama utawala wa Shah ulianguka sababu ya kimapiduzi na kuweka utawala wa ayatollah Khomeini madarakani, basi naye atakinywea kikombe cha mapinduzi
Hakika, walidhania wanakombolewa kumbe walikuwa wanawekwa kati, bora hata ya shah aliwalegezea kidogo
 
Chanzo cha habari ni wapi???????????????????????????
 
Ayatollah atokee hadharani na awaulize ..."who are you"...?Watatulia Tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…