Iran Jews in Israel Prefer Ahmadinejad | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Iran Jews in Israel Prefer Ahmadinejad

Discussion in 'International Forum' started by X-PASTER, Jul 15, 2009.

 1. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #1
  Jul 15, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Iran Jews in Israel prefer Ahmadinejad

  By CARRIE SHEFFIELD
  Despite unrest and violence following last month's presidential elections in Iran, some Jewish Iranians living in Israel and abroad say life in the Islamic republic is better under President Mahmoud Ahmadinejad than it would be under challenger Mir Hossein Mousavi.

  At a conference of Iranian Jews in Jerusalem on Monday, leaders of the Mashadi Jewish community said that despite Ahmadinejad's blustery rhetoric against Israel, Iran is a safe place for Jews to practice their religion.

  "Ahmadinejad speaks badly about Jews, but he is preferable to Mousavi," said Shlomo Zabihi, a Mashadi rabbi. The current g
  overnment is relatively stable and provides a safe environment for Jews, he said.

  Monday's event marked the first meeting of the Global Mashadi Jewish Federation, an umbrella organization of community and religious groups preserving the historical and cultural identity of Jews from Mashad, Iran's second largest city, with a population of about 2.5 million.

  During the 1979 Islamic Revolution, many Mashadi Jews fled to the United States, primarily New York City - where some 6,000 Jews with ties to Mashad now live. There are almost no Jews in Mashad today, though an estimated 25,000 still live in Iran, concentrated in Teheran.

  "They've found it very safe and pleasant, no problems," said Bahman Kamali, founder of the federation. "Actually, the regime during [the time of reformist president Mohammad] Khatami and the regime now have been very good with Jewish people. There has not been any problem."

  Kamali said Ahmadinejad's calls for the destruction of Israel were not the same as condemnation or encouragement of violence against Jews in the Diaspora.

  "There's a distinction between the two because Iranians, they respect the religions that have books, Christianity, Judaism," Kamali said. "They respect people freely going to the synagogues and praying there without any problems."

  He doesn't think the Jewish community in Iran will face persecution stemming from political unrest following the disputed elections.

  "I'm not concerned about that," said Kamali, who downplayed the political involvement of his group. "The purpose of this conference is not political. It's only our heritage, that we are proud of to be from Mashad, Iran, and we would like to preserve that."

  Source: Jerusalem Post
   
 2. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #2
  Jul 15, 2009
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  X-Paster,

  Sema mkuu mwenzangu.naomba unifafanulie hii ishu kidogo.
  Je hao jamaa wanaoitwa Iranian Jews wana-uraia wa wapi?
   
 3. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #3
  Jul 15, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Hii ni copy and paste, unafikiri atakufafanulia hapo?
   
 4. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #4
  Jul 15, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Ni vigumu sana kuwaelewa waarabu, wanauma na kupulizia! Mtu mwenye mpango wa kuiangamiza nchi ya jirani halafu akawa na upendo na wale anaotaka kuwaangamiza eti kwa sababu anawaruhusu kuabudu, does it make sense really? Is he not fooling them before he build his nuclear arsenal to annihilate them?
   
 5. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #5
  Jul 15, 2009
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  I was thinking the same thing when I asked the previous question.
  Ahmedinejad anawaona kama wayahudi tu and when he decideds to
  unleash in that direction hatojali eti they like him or what.
   
 6. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #6
  Jul 15, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  True!
   
 7. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #7
  Jul 15, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ukweli unabaki pale pale kuwa Jewish people hata kama wapo ndani ya Iran lakini siku moja watakuja kuona cha moto huko na pia kuna siku vita itakuja kutokea kati ya Irani na Israel
   
 8. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #8
  Jul 15, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,333
  Likes Received: 1,796
  Trophy Points: 280
  Mi na mashaka nao sana kwa hilo. Jews wana kitu wanakiita sayanism.Humo huwa wanakutana na kupanga mambo yao na nini wafanye kulinda maslahi yao. MOSSAD wamekuwa wanafanikiwa sana kwasababu ya kuwatumia hawa watu waliomo kwenye haya magroup karibu dunia nzima kwa information na clandestine operations.
  Kusema kuwa wanamuunga mkono Ahmadjeen ni kitu kimoja na kumuunga kweli mkono kwa vitendo ni kitu kingine. Inawezekana kabisa Israel ina plan na mitambo ya nyuklia ya Iran na hawa jamaa wakionyesha kutokukubaliana na raisi huyu wanaweza kuwapa wakati mgumu waisrael.
   
 9. B

  Bull JF-Expert Member

  #9
  Jul 15, 2009
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Wa-Irani si waarabu, niwatu tafauti sana, tumelieleza hili kwenye hii JF nashangaa mpaka leo watu hawaelimiki!!!

  Ahmadnajad alisema ataiangamiza Israel kama wao waisraeli wata attack iran, lakini western na israel media wanapotosha kwa kujenga chuki dhidi ya serikali ya Iran, Waliokuwa Brain washed na west wanaamini hivyo. Lakini walewanao angalia habari kiundani kama hawa Iran-Jews na wengineo wanaelewa Ahmedinajad alchoongea toka mdomoni mwake ni; wakiwa attacked na Israel (tunajua Israel inajiandaa) ataiangamiza israel
   
 10. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #10
  Jul 15, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mosad wanatisha sana kwa ajili ya ujasusi duniani hivyo
   
 11. M

  M-Joka JF-Expert Member

  #11
  Jul 15, 2009
  Joined: Dec 13, 2007
  Messages: 308
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Inaonekana humu ndani hatufahamu tofauti ya mayahudi (jews) na wazayuni (zionists) na kwamba Ahmedinajad (Shia) na waislamu Sunni walio wengi wana matatizo hasa na nani.

  Someni historia vizuri mtaona wayahudi, wenye kujua historia yao vizuri wanajua kwamba waliendelea na kunawiri sana na uhuru wa kuabudu dini yao wakati walipoishi chini ya uislamu, binamu zao, walipotawala mpaka baadhi ya sehemu za Europe.

  Hawa wanaojidai leo eti kuwapenda wayahudi na kulazimisha mifarakano kwa kuwasukumiza pale katika ardhi takatifu kimabavu ni kwa mitazamo na tamaa zao wenyewe zisizo na macho. Tatizo ni Uzayuni (Zionism) na misguided movement yao, sio believing jews.

  Natoa hoja
   
 12. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #12
  Jul 15, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Historia kubwa ya Israel iko kwenye Biblia na ile ambayo haipo kwenye Biblia kwa kuwa ni ya karibun mbona inaeleweka, wewe unayoifahamu ni ipi?
   
 13. S

  Shamu JF-Expert Member

  #13
  Jul 16, 2009
  Joined: Dec 29, 2008
  Messages: 511
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Crusaders (Rome Empire) wilpokuwa wanaua watu Mideast ikiwemo hao Mayahudi (Jews); kumbuka ilikuwa Jeshi la Waislamu ndiyo lilowaprotect Mayahudi wasiteketee from Crusaders.
   
 14. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #14
  Jul 16, 2009
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  kuna watu tuna matatizo ya udini tulizopewa, kwanza asilimia kubwa ya jews have no different in appearance na hawa waarabu wenyewe infact most jews have arabic features sio waarabu wetu wa bongo ambao wamechanganya. waarabu wenyewe ni weupe almost mediterranian looking wakitoa madevu.

  kitu kingine apart from just jews in most middle eastern countries kuna waarabu christians na wana practise christianity freely tu, Iraq former prime minister Tariq Aziz was a christian and many other held other position in Saddam administration. Egypt also has a large no of Arab christians, the term Palestine Arabs is used has their other Arab Jews, and also Palestinians christians Arabs. the man who is very vocal on the middle east , the syria President Bashar has a christian wife, Pakistan also has a large no of christina labda kwa sababu hawana majina ya moses ndio maana wengi hamuelewi, apart from Saudi Arabia many other, Arab societies have christians with names suich as ahmed etc. religion is just a political weapon on the region from the west to justify war, if any religion was that bad why would they allow it freely on their lands.

  Sunni, Shiia are just muslims but they played that card to divide Iraq's it worked. but why Africans should be soo concerned when we have so many bridges to build to create patriotism in our nation stop that slave mentality lets learn to respect other religions and face the battle that matters to us eradicate poverty in our nations.

  by the way has pope Benedict visited even a single nation in Africa has a gesture of good will to all Catholics in Africa. grow up you children
   
 15. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #15
  Jul 19, 2009
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  toka lini nchi ya wamedi na waajami wakawa watu wazuri, ( umedi na uajemi ni iran na iraq). tangu enzi hizo, ni nchi ambazo zimekuwa adui wa israel na adui wa Mungu mwenyewe. Mungu alishawahi kuwaadhibu sana wafalme wao wa enzi hizo, na ameahidi kuwaadhibu hata hawa wa sasa hivi. Mungu wa Israel ana nguvu kuliko nuclear na chochote kile, na atalitetea taifa teule la israel. waislam waabudu mizimu wa iran, wanaosifika hata kwenye Bible kwa kuabudu miungu mingine tangu enzi hizo, dawa yao inachemka, na atakayewanywesha hiyo dawa ni Mungu wa Ibrahim Isaka na Yakobo mwenyewe, pamoja na mataifa yote ya waarabu na Russia. ninyi nyote mnaoleta uzushi kwa taifa la israel, ninyi nyote mnaolilaani na kulichukia taifa la israel, mnameza ndoana, itawavua muda si mrefu. mwenye masikio na asikie.
   
 16. Gavana

  Gavana JF-Expert Member

  #16
  Jul 19, 2009
  Joined: Jul 19, 2008
  Messages: 17,995
  Likes Received: 1,566
  Trophy Points: 280
  KAMA Tanganyika inavyoiuma Zanzibar katika Muungano
   
 17. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #17
  Jul 19, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Acha kutojiamimi. Pamoja na kutamba kote kuwa Zanzibar ni nchi kamili malalamiko kila siku!
   
Loading...