Yusomwasha
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 2,092
- 844
SIDANGANYIKI2015
Jee unajua.
Kipindi cha Pharaoh Waisrael walikuwa Watumwa Misri.hawakuwa na Nchi walipata mateso hadi wakachanganyikiwa.
Ahmed Najad aliutangazia ulimwengu kuwa ikiwa Israel itaishambulia Iran Kijeshi basi atawapiga mabomu ya ajabu hadi mifupa yao isionekane.na sio awapige Bila sbb kama usemavyo we we.
N.B
Iran ipo karibu sana na Israel.kuna mizinga isiopungua 380 yote imeelekezwa Israel.na pia ufahamu Technologia iliotengenezewa Mizinga hio hadi sasa Wayahudi hawajajua wataizuiaje maana ukiipangua kwa vyombo maalum haiwezi kudetect ila inaacha chemical za Nyuklia ukinusa harufu tu ngozi yote kwenye mwili inatoka.
Msaadizi wao USA akiingilia atasababisha vita ya tatu ya Dunia.maana kuna Russia na China zote ni watiifu kwa Iran.
Hata Sadam Hussein alisema ataifuta Marekani kwenye uso wa dunia, matokeo yake walienda kumwokota kwenye mtaro ktk siku 21 tu. only twenty one days ameshamalizwa na amejificha kwenye mtaro. Saddam alikuwa na uwezo wa kusavaivu muda mrefu kwasababu alikuwa Sunni, ambaye angeungwa mkono na waarabu walio wengi hata Saudia.
Ukija kwa Iran, imezungukwa na maadui wa Kiarabu kuanzia Saudia yenyewe inatamani Iran ifutwe leo kwasababu Iran ina mpango kuiteka Saudia na maeneo matakatifu yawe chini ya Washia in the future, ndio maana Saudia siku zote ananunua madege kwaajili ya kujilinda na Iran.
Hakuna nchi hata moja ya kuisaidia Iran isipokuwa Hezbolah na Hamas. Hata Urusi hana uwezo wa kuisaidia, hawezi kutia mguu pale, Russia, Syria alijifanya kuwasapoti lakini ona aina ya sapoti ya Russia kwa rafiki zake, hadi leo Syria is no more, ndivyo itakavyokuwa Iran.
Israel peke yake wanao uwezo mkubwa sana kuimaliza Iran. Saudia ilishatoa maeneo ya kuipatia Israel itue ndege zake kama inataka kuishambulia Iran, ndio utaona mgawanyiko wa Waarabu, mwisho wa siku sisi tunawashinda kama wamesimama vile.
SIDANGANYIKI2015
Jee unajua.
Kipindi cha Pharaoh Waisrael walikuwa Watumwa Misri.hawakuwa na Nchi walipata mateso hadi wakachanganyikiwa.
Ahmed Najad aliutangazia ulimwengu kuwa ikiwa Israel itaishambulia Iran Kijeshi basi atawapiga mabomu ya ajabu hadi mifupa yao isionekane.na sio awapige Bila sbb kama usemavyo we we.
N.B
Iran ipo karibu sana na Israel.kuna mizinga isiopungua 380 yote imeelekezwa Israel.na pia ufahamu Technologia iliotengenezewa Mizinga hio hadi sasa Wayahudi hawajajua wataizuiaje maana ukiipangua kwa vyombo maalum haiwezi kudetect ila inaacha chemical za Nyuklia ukinusa harufu tu ngozi yote kwenye mwili inatoka.
Msaadizi wao USA akiingilia atasababisha vita ya tatu ya Dunia.maana kuna Russia na China zote ni watiifu kwa Iran.
SOMA Bible, Israel walikua watumwa Si kwa kutekwa na misri bali, walizaliana misri walipoenda enzi za yusufu, alipokua Waziri mkuu wa misri. Na mda wakuondoka ulipofika walienda kwenye Nchi waliyoahidiwa na Mungu
Nani kakudanganya hakuna mzungu ana urafiki na mwarabu hata siku moja zaidi ya bishara. Russia atachekelea kuuza silaha tu hataingia ng'O nadhani unaona syria ynayojiri huko Wapi Russia wapi chinaSIDANGANYIKI2015