Iran imejichokea kupitiliza

Iran haijaanguka na bado ipo imara,wameshaanza kukarabati miundombinu yao iliyoharibika tena kwa haraka mno na mengine imeanza kufanya kazi.
-Hamas sio kundi la kigaidi bali ni wapigania uhuru wa Palestina ambao walianzishwa 2004 na Mossad wenyewe ili waiangushe PLO mwishowe ikawageuka Israel yenyewe.
-Hizbollah sio kundi la kigaidi ni political organization ambayo ilianza miaka ambayo Iran ni rafiki wa Israel. Na imeanza kufadhiliwa pesa na Iran miaka ya 2000s baada ya Iran kuwa adui wa Israel kuanzia 1990s.

Uache upotoshaji.
Iran imara ni kitisho kwa mataifa yote ya middle east ndio maana mataifa yote ya mashariki yakati yakumbana na makombora ya Iran.Sasa hapo ukitia udini ni kijizima data na kuendeleza ushabiki wa kijinga.
Iran haijawahi kuwa tishio kwa mashariki ya kati,Iran ni tishio kwa Israel na maslahi ya Marekani. Iran haijawahi kuvamia taifa lolote na ndilo taifa pekee linalozuia kujitanua kwa Israel. Kama ingekua tishio Saudi Arabia isingeanzisha ushirikiano nao,Qatar isingeanzisha ushirikiano nao wa kibiashara na Bahrain wasingeandamana katika hii vita kutaka kujiunga na Iran.Pia wasingekua na urafiki na Oman
Ill informed man. Iran ni miongoni mwa nchi zenye nishati ya uhakika ya umeme kupitia vinu yake vyak nuclear vya Natanz na Isfahan. Miundombinu ya maji iliwekezwa isipokua hali ya ukame inayosababishwa na majanga ya asili vilichagiza matatizo ya ukosefy wa maji.
Na inasemekana radar za USA pale mid east zilikua zinafanya weather manipulation kuharibu hali ya hewa maana baada ya kulipuliwa mvua zinanyeesha na mabwawa yanafurika maji.
Iran inakwenda Islamabad ikiwa haina kadi ya maana labda mlango wa Hormuz ambayo pia USA kashauziba.
Iran ya Ayatollah 1979 imejifia kifo cha Mende.kauli mbiu yake kifo kwa Israel kifo kwa USA imegeuka kichekesho imewarejea wenyewe.
USA ameziba gulf of Oman sio Hormuz. Analenga kuzuia meli zitakazolipa ushuru Hormuz zisipite na kuzuia meli za mizigo za Iran zisipite Oman gulf,bahati mbaya mshirika mkubwa wa Iran ni China na daily hupakia mafuta na kuondoka nayo. Kwa Iran kuna CASPIAN SEA ambayo Iran anaitumia kusafirisha mahitaji baina yake na Urusi,Uzbekistan,Kazakhstan na Azerbaijan. Pia amepakana na Pakistan ambako mipaka ishafunguliwa biashara zinafanyika.
Mashabiki wa Iran ni wakati wa kukubali bila hiyana zama za kutamba na kufadhili makundi ya ugaidi umefika mwisho wa mwisho.
Iran ijayo itakuwa kama Iraq.

Ngongo kawasasa Tehran.
Iran haijawahi kufadhili magaidi maana Hamas na Hizbollah sio magaidi.
Ndio maana Hispania ilichukua uamuzi wa kumuunga mkono Iran kimatamshi katika vita na imefungua upya balozi yake nchini Iran.
Nchi za gulf ikiwemo Qatar zimefutilia mbali mikataba ya kiulinzi na Marekani.

NAKUSIHI KAMA HUJUI KITU USIJE ANDIKA UTUMBO HUMU.
 
Hiyo siyo hoja kwani hata India GDP yao ni zaidi ya mara thelathini ya ile ya Tanzania lakini bado India kuna watu maskini kuliko Tanzania.
 
Hiyo siyo hoja kwani hata India GDP yao ni zaidi ya mara thelathini ya ile ya Tanzania lakini bado India kuna watu maskini kuliko Tanzania.
Tofautisha GDP na gdp per capita Kwanza, GDP per capita ya India ni kama mara 2 ya Tanzania na cost za maisha si ndogo

mafuta India zaidi ya 3000, Tanzania zaidi ya 3000 Iran chini ya 100

Umeme Tanzania unit kama zaidi 300 India zaidi ya 200 Iran kama sh 10 etc.

Kila unapogusa Iran ni bei rahisi.
 

 
MKuu mada nyingine zinakushushia heshima. Kuwaga makini.
 
 

Attachments

  • 20260408_080650.jpg
    154.3 KB · Views: 16
Na ongezea hapo nchi zote za kiarabu zinategemea vegetables kutoka iran


Waarabu ukiwaondolea tende na mafuta hawana kingine cha kujivunia
Sio kweli, ni maarufu pia Kwa biashara za beach&hoteli mf Burji Alifa ambayo nayo iliathirika kidgo na vita, biashara ya Usafiri wa anga na ajabu biashara mbolea japo wao kilimo hawafanyi Kwa sehemu kubwa zaidi tu ya huyo Iran (km ulivyosema) na Lebanon sbbu sehemu kubwa ardhi Yao ni Jangwa..
Na pia mwezi 5-7 ni msimu joto Kali kumbukeni kombe la Dunia Qatar lilibidi ifanyike Mwezi 11-12 msimu barid(ilkuwa sio kwd tofauti na ilivyozoeleka mwezi6)..
So vita ikiendelea hii mwezi5/6 Iran na Israel na Marekani wakashambuliana kwenye hio mitambo ya umeme,gesi na mafuta Hilo joto lake na Hali ya hewa yake so poa, ripoti zinadai ikitokea hivyo hapakaliki.. Sasa huyo mtoa mada nae...
 
Kuandamana Ile si michongo ya Marekani na Israel Hadi bunduki baadhi yao viongozi maandamano waliopewa(Trump aliwahi ropoka hio) so Bado mtoto mdogo wewe au hujui na huna uelewa wa kuchanganua mambo...
Sasa mbona huyohuyo Mmarekani kwenye hiohio vita Kaua watoto wa shule,kalipua vyuo vya hao vijana wenu wanaondamana, hospitali na madaraja, mara anataka ailipue nchi nzima na nuclear bomb irudi stone age, sijui hata kama unajua maana stone age??
 
Kwani aliyeomba mazungumzo ni Iran au Marekani? Yani marekani ajue anashinda vita na bado asimamishe vita? Thubutu.

Mmarekani kakutana na kisiki cha mpingo. Muajemi kajiandaa kwa vita miaka 40+ ilikua suala la muda.

Mtaongeza hizo ceasire mpaka mtoke nduki...
 
Hahaaa Iran kajichokea? Wakati huohuo Marekani kapaki tumeli twake twa mwaka 1962 kuleeee karibia na Srilanka anavizia meli za mizigo kaungana na maharamia ya Somalia kuteka dadeki, sijui angekuwa Iran hajachoka ingekuwaje hahahhaa
 
Wasingeandamana vile na kuuwawa kama nzige. Tatizo watu mnasumbuliwa sana na ushabiki wa kidini.
Wameandamana sababu hela ya imeshuka thamani, Leo hii hata hapa Tanzania Dola ikiwa tsh 5000 ina maana overnight purchasing power ya MTU inashuka papo hapo. So watu wanaandamana kuongezewa hio purchasing power, ndio maana unaona Serikali ya Iran inaprint hela mpya na kuongeza mishahara kuendana na Hali mpya ya Maisha.
 
Sasa Burj Khalifa ndio itazalisha mahitaji maalum kama ya chakula!??
Jamaa amekusudia crucial needs ambazo nchi inahitaji mathalan chakula. Leo hii Iran na nchi washirika wakigoma kuuzia Qatar na UAE chakula na hizo pesa zao za artificial tourism watafanyia nini!? Au watakula hizo pesa!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…