LKn kuipata hiyo tsh 61 sasa!Iran lita ya mafuta sh 61 za Tanzania, Unit moja ya Umeme sh 10 ya Tanzania, unit moja ya maji (lita 1000 aka mapipa 10) sh 8 za Tanzania, vyakula, Nyama, maziwa etc vyote bei rahisi kuliko Tanzania na GDP per capita yao ni mara 4 ya Tanzania. Utaskia MTU anakwambia Iran Wana shida.
Hii dollar 80 umeitoa wapi? Minimum wage Iran dollar 182.LKn kuipata hiyo tsh 61 sasa!
Mishahara ya wairan wengi ni chini ya dollar 80 za kimarekani kwa mwezi.
Na umuulize kama kuna nchi iliwahi ingia vitani na iran na ikafanikiwa kuondoka na ushindiKama ni hivyo basi huu muda ndio marekani inatakiwa kuingiza majeshi ardhini
Au unasemaje zayuni mhadzabe
Na ongezea hapo nchi zote za kiarabu zinategemea vegetables kutoka iranIran lita ya mafuta sh 61 za Tanzania, Unit moja ya Umeme sh 10 ya Tanzania, unit moja ya maji (lita 1000 aka mapipa 10) sh 8 za Tanzania, vyakula, Nyama, maziwa etc vyote bei rahisi kuliko Tanzania na GDP per capita yao ni mara 4 ya Tanzania. Utaskia MTU anakwambia Iran Wana shida.
Wewe elezea yako lakini Mohamed Said humfikii hata 0.0%Heshima sana wanajamvi.
Si kawaida yangu kuchangia jukwaa hili lakini leo imenibidi nishiriki japo kwa uchache.
Iran ya Ayatollah ya mwaka 1979 hadi mwaka 2025 imeharibiwa vibaya mno.
Iran iliyoweza kumudu kuishi na vikwazo kwa muda mrefu sana kiasi miaka 47 sasa imefikia tamati.
Vita ya Iran na USA & Israel si vita vya kidini kama Watanganyika wengi wanavyofiki including Mohamed Said .
Vita vya Iran na USA & Israel unaweza kuviweka katika sehemu mbili kuu.
USA anaitazama vita hivi kiuchumi zaidi,hasa maslahi yake dhidi ya China inayotaka kuondoa ukuu USA.
Israel ni suala la usalama wake wa kuendelea kuwepo.
Uimara wa Iran kiuchumi,science & technology ni kitisho eneo lote la mashariki ya kati.Makundi mengi ya kigaidi kama Hizibullah & Hamas yalikuwa yakitegemea msaada ya kijeshi na fedha kutokea Tehran.Iran ikitetereka makundi yote ya kigaidi yatajifia taratibu kwakuwa hayatakuwa yakipata tena ufadhili kutokea Tehran.
Iran imara ni kitisho kwa mataifa yote ya middle east ndio maana mataifa yote ya mashariki yakati yakumbana na makombora ya Iran.Sasa hapo ukitia udini ni kijizima data na kuendeleza ushabiki wa kijinga.
Iran ya sasa imesambaratishwa vibaya mno.
Wananchi wa Iran walikuwa na uhaba wa maji kabla ya vita.
Ayatollah aliwekeza zaidi katika masula ya ulinzi na usalama.Badala ya kujenga miundombinu ya maji na umeme wa uhakika ilijikita zaidi kujenga makombora na mitambo ya nyuklia.
Iran inakwenda Islamabad ikiwa haina kadi ya maana labda mlango wa Hormuz ambayo pia USA kashauziba.
Iran ya Ayatollah 1979 imejifia kifo cha Mende.kauli mbiu yake kifo kwa Israel kifo kwa USA imegeuka kichekesho imewarejea wenyewe.
Mashabiki wa Iran ni wakati wa kukubali bila hiyana zama za kutamba na kufadhili makundi ya ugaidi umefika mwisho wa mwisho.
Iran ijayo itakuwa kama Iraq.
Ngongo kawasasa Tehran.
Mm niko hapa ngongo kwa mrombo, wewe umeshafika TehranHeshima sana wanajamvi.

Mwajuma ana hasara kubwa.Iran lita ya mafuta sh 61 za Tanzania, Unit moja ya Umeme sh 10 ya Tanzania, unit moja ya maji (lita 1000 aka mapipa 10) sh 8 za Tanzania, vyakula, Nyama, maziwa etc vyote bei rahisi kuliko Tanzania na GDP per capita yao ni mara 4 ya Tanzania. Utaskia MTU anakwambia Iran Wana shida.
Kufikia mwishoni mwa Aprili 2026, bei ya mafuta imepanda kwa kasi zaidi ya $100 kwa pipa, ikisababishwa na mshtuko mkubwa wa usambazaji kutokana na mzozo wa Marekani na Iran na kufungwa kwa Mlango-Bahari wa Hormuz. Mafuta ghafi ya Brent yalifikia zaidi ya $106 kwa pipa, ikiwakilisha ongezeko kubwa kutoka chini ya $70 mwanzoni mwa mwaka.Heshima sana wanajamvi.