MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 33,476
- 53,335
Baadhi ya wafanyakazi wameelekezwa kuondoka katika kambi ya kijeshi ya Marekani ya Al Udeid nchini Qatar ifikapo jioni ya Jumatano, kwa mujibu wa ripoti ya shirika la habari la Reuters lililonukuu wanadiplomasia watatu.
Ripoti hiyo inakuja wakati Marekani ikitoa onyo kuwa inaweza kuingilia kati maandamano yanayoendelea nchini Iran. Hakujatolewa tamko rasmi kutoka ubalozi wa Marekani mjini Doha. Al Jazeera imeliandikia Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar kuomba maoni yao.
Al Udeid ni kambi kubwa zaidi ya kijeshi ya Marekani katika Mashariki ya Kati na inahifadhi takribani wanajeshi 10,000.
Kambi hiyo yenye kubwa wa hekta 24 iliyopo jangwani nje ya mji mkuu Doha, ni makao makuu ya mbele ya Jeshi la Marekani la Central Command, linalosimamia operesheni za kijeshi za Marekani katika eneo kubwa linaloanzia Misri upande wa magharibi hadi Kazakhstan upande wa mashariki.
===================================
Some personnel have been advised to leave the US military's Al Udeid Air Base in Qatar by Wednesday evening, three diplomats told Reuters, amid warnings from Washington that it could intervene to protect protesters in Iran.
The US embassy in Doha had no immediate comment, and Qatar's Foreign Affairs Ministry did not immediately respond to a Reuters request for confirmation or comment.
Al Udeid is the Middle East's largest US base, housing around 10,000 troops.
Source: Al Jazeera