Iran iba m

Iran iba m

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
13,641
Reaction score
29,918
Members Ritz na Webabu walituaminisha kuwa baada ya kile kipigo kule ndani Iran walikuwa wanajipanga kuja lipiza. Ni miezi mingi imepita wamejinyamazia tu. Toka wadhalilishwe na wanawake wa Kiyahudi.

Nashindwa elewa wanatumia miezi mingapi kujipanga katika suala hili. Mbona ni suala ambalo lingepaswa kuwa limemalizika kwa haraka sana?
 
Iran alifanya operation 2 ndani ya Israel, Israel wamefanya Moja na shoga Yao hapo nani anadaiwa?
 
USA analinda taifa la Mungu...Kwanza hata hizo habari hazina uzito tena ...kile kibabu mnakiohopa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom