Iran holds 10 American sailors; U.S. expects their prompt return

Iran holds 10 American sailors; U.S. expects their prompt return

Unawazingira na wao Wanakili wamevuka baada ya GPS KUHARIBIKA after one hours unawaachia na kusema wameomba msamaha...
Vp ndugu ulitaka wachinjwe? 1979 kwny Mapinduzi ya Shah na kuingia utawala w ma Ayatollah Makomandoo wa kimarekan walijaribu kudhibiti Mapinduzi bt it was too late.
 
Vp ndugu ulitaka wachinjwe? 1979 kwny Mapinduzi ya Shah na kuingia utawala w ma Ayatollah Makomandoo wa kimarekan walijaribu kudhibiti Mapinduzi bt it was too late.
Wachinjwe hao Iran Wanajitaka ndio maana wamewashika kwa Lisaa Limoja tu pakee.. Kumtamata Raia na Mwanajeshi ni vitu viwili tofauti...
 
Unaweza ukawa mchezo wa kimarekani kuidukua Iran halafu nyie mnashangilia.
 
why isiweze..
Iran sio level za US ht siku moja....na km siku wakija kupgana nakuhakikishia Iran hatorusha ndege yke ht moja mpk kweny anga LA marekan....nakkumbuk 2013 km sikosei Iran alituma ndeg yke ya kijeshi(,advanced fightet jet wanavyoiita wenyew but nimesahau jina)kwny mpk wa US,US akatuma F22 raptor kwenda kuicounter,f22 ikaijam ile ndege ya Iran na ruban wa raptor akawa anaizunguka ile ndege ya Iran mpk chini kuangalia silaha ilizonazo bila pilot wa Iran kujua llote baadae pilot wa raptor alipomaliza yke akaiachia ikaondoka zake
 
hapo ndo utapima uelewa wa baadhi ya watu kwa comment zao tu, sasa iran yaweza pambana na marekani??????? watu 6 wangepambana vipi na jeshi lote?????
Kwanini wasiweze? Acha kuangalia sana movie za Hollywood zinakudanganya!
 
Iran sio level za US ht siku moja....na km siku wakija kupgana nakuhakikishia Iran hatorusha ndege yke ht moja mpk kweny anga LA marekan....nakkumbuk 2013 km sikosei Iran alituma ndeg yke ya kijeshi(,advanced fightet jet wanavyoiita wenyew but nimesahau jina)kwny mpk wa US,US akatuma F22 raptor kwenda kuicounter,f22 ikaijam ile ndege ya Iran na ruban wa raptor akawa anaizunguka ile ndege ya Iran mpk chini kuangalia silaha ilizonazo bila pilot wa Iran kujua llote baadae pilot wa raptor alipomaliza yke akaiachia ikaondoka zake
Pia unajua Iran miaka ya hivi karibuni aliishusha Drone ya Marekani "technical" bila kuipiga! Marekani kapiga kelele Drone irudishwe Mu Irani alisha goma,hapo ataitwa Mchina na Mrusi watu wanacopy na kuisoma tech iliyotumika.
 
mmarekani aliwahi kudungua ndege ya abiria ya iran ndani ya anga la iran tena meli iliodungua iyo ndege ilikua ndani ya bahari ya iran...na marekni hakuomba msamaha.

"I will never apologize for the united states — I don't care what the facts are...Im not an apologize-for-America kind of guy." - George Bush, Aug 2 1988

iran hakufanya chochote baada ya hapo
 
Iran na marekani ziliwahi kupigana vita vilichukua kama wiki moja kama sikosei,wairan walisababishia hasara marekani ndo kwa hasira wakaidungua ndege ya iran iliyokua na abiria
 
Irani walipiza kwa kuilipua ndege ya magharibi katika anga la lokhbee,kabla ya hapo iran wakiitumia hezbulah walilipua kambi ya jeshi la marekani kule lebanon na kuua karibu US marine 300
 
Pia unajua Iran miaka ya hivi karibuni aliishusha Drone ya Marekani "technical" bila kuipiga! Marekani kapiga kelele Drone irudishwe Mu Irani alisha goma,hapo ataitwa Mchina na Mrusi watu wanacopy na kuisoma tech iliyotumika.
Ila kumbuka US ana mamia ya drones tena zeny teknolojia tofaut tofaut ndo maana baada ya f117 stealth bomber kuangushwa akaja na B-2 stealth bomber(ambayo ina teknolojia tofaut na ile ya f117)...na ss hv kuna stealth drone mpya imetengenezwa na Northrop Grumman ipo kwny majarbio hy drone umbo lake lipo km b2 bomber I think itkua na uwezo wa kubeba nuclear
 
Back
Top Bottom