Iran holds 10 American sailors; U.S. expects their prompt return

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
Boti mbili za doria za Marekani zikiwa na wafanyakazi 10 zimekamatwa nchini Iran.

Maafisa wa Marekani wamesema boti hizo zilikuwa katika mazoezi kati ya Kuwait na Bahrain kwenye eneo la Ghuba, baada ya moja wapo kupata matatizo ya kiufundi na kupoteza mwelekeo hadi katika maji ya Iran.

Waziri wa Mambo ya Nje ya Marekani John Kery amewasiliana na mwenziye wa Iran Mohammad Javad Zarif, ambaye amemhakikishia kwamba wanamaji wa boti hiyo watarudishwa mara moja.

Shirika la Habari la Iran limesema boti hizo zimeingia katika maji ya Iran kinyume cha sheria.

s4.reutersmedia.net.jpeg

Iran detained 10 U.S. sailors aboard two U.S. Navy boats in the Gulf on Tuesday in an incident that rattled nerves days ahead of the expected implementation of a landmark nuclear accord with Tehran.

Late on Tuesday, a U.S. defense official said plans were in place for Iran to return the sailors to a U.S. Navy vessel in international waters early on Wednesday.

Both U.S. and Iranian officials described the sailors, whose boats may have inadvertently drifted into Iranian waters, as safe and well-treated. U.S. defense officials said nine men and one woman were aboard the two vessels seized. (tmsnrt.rs/1Q3Zb4n)

White House spokesman Josh Earnest told CNN that "We have received assurances from the Iranians that our sailors are safe and that they will be allowed to continue their journey promptly."

Official Iranian news outlets confirmed the detention of the 10 Americans. "The Revolutionary Guards naval forces seized the American boats two kilometers inside Iranian territorial waters while they were snooping around," Iran's semi-official Fars news agency said.

Officials from Iran and the United States were negotiating to free the crew, Fars reported.

News of the incident came hours before President Barack Obama made his final State of the Union address to the U.S. Congress prior to leaving office in January 2017.

Obama did not mention the crew's detention in the hour-long speech, but he did tout the nuclear deal with Tehran, saying "the world has avoided another war."

The White House expects the situation to be resolved quickly.

Washington and Tehran, which have pursued a partial detente in recent years, both appeared eager not to let the boat incident escalate further.

Obama, a Democrat, has made the Iran nuclear accord a centerpiece of his foreign policy, and Republicans vying to succeed him have assailed him over the deal.

Iran, meanwhile, is eager for relief from punishing economic sanctions under the landmark nuclear accord it forged with six world powers last July. Formal implementation of the accord could begin in days, following steps Iran agreed to take to curb its nuclear activities.

Iranian Foreign Minister Mohammad Javad Zarif assured U.S. Secretary of State John Kerry that the U.S. sailors would be allowed to continue their journey promptly, another U.S. official said.

The seizure of the 10 sailors nonetheless underscored the potential for clashes that could derail diplomacy, especially in the Gulf's tense and crowded shipping lanes.

Precisely what happened to the two U.S. boats remained unclear.

A senior U.S. defense official said the United States had lost contact earlier in the day with two small craft en route from Kuwait to Bahrain.

Another U.S. official said mechanical issues may have disabled one of the boats, leading to a situation in which both ships drifted inadvertently into Iranian waters.

SAILORS SAID TO BE SAFE

In a statement, Iran's powerful Islamic Revolutionary Guard Corps confirmed it seized the boats and said the sailors were safe and well. It said France's Charles de Gaulle aircraft carrier was near the seized U.S. boats.

They were on board two riverine patrol boats, one of the U.S. officials said. Riverine boats are 38-foot (12-meter) long, high-speed patrol boats used by the U.S. Navy and Marines to patrol rivers and littoral waters.

Republican officials and presidential candidates, who opposed the Iran nuclear accord, used the incident to criticize Obama.

"It's just an indication of where the hell we're going. I mean hopefully they get released and fast," businessman Donald Trump, who leads the Republican field in the race for U.S. president, said at a rally in Iowa. The election is Nov. 8.

The seizure of the sailors and their craft was the latest reported incident between U.S. and Iranian forces in the Gulf in recent weeks.

The U.S. Navy said late last month that an Iranian Revolutionary Guards vessel fired unguided rockets on Dec. 26 near warships including the aircraft carrier USS Harry S Truman in the Strait of Hormuz. Iran denied the vessel had done so.

Previous Iranian seizures involved British sailors and marines.

In June 2004, Iran arrested six Royal Marines and two naval personnel - part of a U.S.-led force in Iraq - for straying into its waters, stirring diplomatic tensions between the two. Following negotiations the eight were freed three days later.

In March 2007, Iranian forces seized 15 British servicemen - eight Royal Navy sailors and seven marines - in the mouth of the Shatt al-Arab waterway that separates Iran and Iraq, triggering a diplomatic crisis at a time of heightened tensions over Tehran's nuclear ambitions. They were held for 13 days.

In November 2009, Iranian naval vessels detained five Britons on a racing yacht en route from Bahrain to Dubai. They were released a week later.

Source: Reuters

==================

UPDATE

Marekani ‘yaiomba radhi’ Iran kuhusu boti

Boti ya Marekani aina ya Riverline, ambayo ni sawa na mbili zilizokamatwa na Iran
Marekani imeomba radhi kutoka kwa Iran baada ya mabaharia 10 wa Marekani kuingia maeneo ya bahari ya Iran, kamanda wa kikosi cha jeshi la Iran amesema.

Jenerali Ali Fadavi, anayeongoza kitengo cha wanamaji cha jeshi la Revolutionary Guards, amesema mabaharia hao wanaozuilia walitenda vitendo “visivyo vya kitaalamu”.

Lakini amedokeza kwamba wanamaji hao, wanaozuiliwa na wanajeshi wa Revolutionary Guards, wataachiliwa huru hivi karibuni.

Wanajeshi wa Revolutionary Guards hulinda serikali ya Kiislamu ya Iran pamoja na kuzuia uingiliaji kutoka kwa mataifa ya kigeni na kuzuia mapinduzi ya kijeshi na maasi.

Taifa hilo huwa pia na wanajeshi wa kawaida ambao hulinda mipaka na kudumisha Amani na utulivu ndani ya nchi. accused those Licha ya mafanikio makubwa mwaka jana kuhusu mkataba wa nyuklia, uhasama bado umeendelea baina ya Marekani na Iran.

Waziri wa mashauri ya kigeni wa Marekani John Kerry amewasiliana na mwenzake wa Iran Javad Zarif kuhusu kisa hicho.

Akitoa tathmini yake kuhusu mazungumzo hayo, Jenerali Fadavi amesema "Bw Zarif alikuwa na msimamo mkali, akisema mabaharia hao waiingia maeneo yetu baharini na hawakufaa, na akasema Marekani wanafaa kuomba radhi”.

"Hili limefanyika na haitachukua muda mrefu, na jeshi la wanamaji, kwa mujibu wa uongozini jeshini, litachuku hatua mara moja likipokea maagizo,” ameongeza.

Marekani awali ilikuwa imesema wanamaji hao walikuwa kwenye mazoezi kati ya Kuwait na Bahrain boti zao mbili zilipopata hitilafu za kimitambo na wakaingia maeneo ya bahari ya Iran.
 
Last edited by a moderator:
160113081154_us_naval_iran_512x288_reuters.jpg

Chanzo: BBC
 
Last edited by a moderator:
Iran na Marekani ni mahasimu wa miaka yote wakati Saudi Arabia na Bahrain ni marafiki wa kudumu wa Marafiki.
Kwa wakati huu ambapo uhususiano wa diplomasi baina ya Iran na Saudi Arabia siyo mzuri basi ni haki kabisa Iran kuitazama Marekani kwa jicho la pili maana huwezi kuelewa adui yako anaweza kutumia mbinu zipi za kukupeleleza na hata kukushambulia.
 
Hawa ni mateka wa Kimarekani waliokamatwa hivi juzi na nchi Irani wakiwa wamepigishwa magoti huku mikono ikiwa kichwani, lkn wamekwisha achiwa baada ya nchi ya Marekani kuomba msahama kwa Irani kwa kirento chao cha kuingia kwenye Himaya ya Irani bila ruhusa!

hbwv8183.jpg
 
Hawa ni mateka wa Kimarekani waliokamatwa hivi juzi na nchi Irani wakiwa wamepigishwa magoti huku mikono ikiwa kichwani, lkn wamekwisha achiwa baada ya nchi ya Marekani kuomba msamaha kwa Irani kwa kitendo chao cha kuingia kwenye Himaya ya Irani bila ruhusa!

hbwv8183.jpg
 
Last edited:
Hawa ni mateka wa Kimarekani waliokamatwa hivi juzi na nchi Irani wakiwa wamepigishwa magoti huku mikono ikiwa kichwani, lkn wamekwisha achiwa baada ya nchi ya Marekani kuomba msahama kwa Irani kwa kirento chao cha kuingia kwenye Himaya ya Irani bila ruhusa!

hbwv8183.jpg

wamebeep wakapigiwa fasta
 
hapo ndo utapima uelewa wa baadhi ya watu kwa comment zao tu, sasa iran yaweza pambana na marekani??????? watu 6 wangepambana vipi na jeshi lote?????
 
Unawazingira na wao Wanakili wamevuka baada ya GPS KUHARIBIKA after one hours unawaachia na kusema wameomba msamaha...
 
Back
Top Bottom