Logic but sizani kama CIA wanaweza kuwa 63 ndani ya ndege moja uo ni uongo labda walikuwepo watu kama 3 pengine mmoja.
Kama ni kweli kitengo cha usalama cha marekani kiliruhusu wasafiri wote pamoja basi kuna haja ya kuwafanyia uchunguzi waliowatuma.
Mambo ya usalama yamechange siku izi mashirika ya kijasusi yanawatumia adi, wanamitindo, wasanii hasa wa nyimbo za dini, wachezaji, wafanyabiashara, walimu wanafunzi, vilema hata wangonjwa
UK inasemekana timu yake ya taifa iliyoenda Urusi kwenye kombe la dunia 2018 ilijaa majasusi kibao na waliondoka Urusi na nyaraka kibao.
Angalia taifa la Marekani lilivyowekeza kwenye kila mchezo lengo waweze kufika popote duniani kwa kutumia mgongo wa michezo na kuchukua chochote au kufanya chochote.
Hakuna nchi duniani inayoweza kujizuia isifanyiwe ujasusi.