Iran has killed all spies

Nasikitika sana kuona avatar ya Vendetta afu akili kisoda.

sasa unajibu nini na hiyo picha uliyo weka kichwa vitabu.
kweli nchi kufika mpaka pale ni ngumu


Sent from my iPhone using JamiiForums

dodge
 
63 American spies with Canadian Passport waliwatambua baada ya ndege kupaa? Yaani intelligence yao ilishindwa kutambua all 63 Spies before??

Okey, let say walishindwa, so after being informed kwamba katika ile ndege kuna spies the only option ilikua kuitungua ndege, not even asking the pilot for emergency landing ili wawatie nguvuni hao so called spies??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao Canadians ni Iranians pia. Walikuwa na Duo nationality. Hii sijui ma spy ni pumba kama pumba zingine tu.
Hujui mambo ya Intelligence, watu wenye uraia pacha waogope sana wengi wao ni agents wa mashirika ya ujasusi ya huko Duniani, inawezekana hawakuwa wote 176 lakini inawezekana walikuwa wengi
 

Mkuu hakuna ukweli wowote ni propaganda za kipumbavu na kijinga.

Kuwakamata kungekuwa na faida maradufu kwa Tehran badala ya kuwauwa. Ni uzushi

Wameuwa raia wasio na hatia sasa ni uzushi tu.
 
"I say gentlemen,i do believe we are in a quite spot of bother"
 
Mkuu hakuna ukweli wowote ni propaganda za kipumbavu na kijinga.

Kuwakamata kungekuwa na faida maradufu kwa Tehran badala ya kuwauwa. Ni uzushi

Wameuwa raia wasio na hatia sasa ni uzushi tu.
Wamarekani hawawezi kutuma jasusi kijinga hivyo watu 63 wote wanachunguza nini ?? Halafu unadhani wao wajinga waondoke wote kama kondoo??

Tena kwenye ndege moja??
Iran wote tumeiunga mkono kwa kitendo cha kuuwawa Gen wao kienyeji, nae mzembe anapanda gari kama la abiria wengine halina hata mtambo wa kumsaidia kudetect hatari yeyote....
Hasira zao wamezimalizia kwa abiria hawajaua hata mende kwenye kambi ya US...aibu kiwewe tu alipouwawa Mwamba Soleiman wakiona ndege wanajua sasa ni bomu lingine limeelekezwa kwa ayatollah..

Ayatollah mwenyewe analia wa maulai wamaulai ila ndio hivyo Soleiman kapigwa..wao wangepiga huko Huko sio abiria..ndege ilikua na watoto na akinamama.
 
Us: kaua =qasim Suleiman Mmoja
Iran: kaua =watu 50 Kwenye mazishi + watu 0 Kwenye makambi ya US pale Iraq + watu 176 Kwenye ndege ....total ya watu 226 na HAKUNA hata mmoja kati yao ni mmarekani......smh
 
Hivi wale raia wa Marekani waliopewa tahadhali na ubalozi wao, waliondoka kwa usafiri upi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Source

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…