Duduwasha
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 5,703
- 3,663
Mkuu tunapaswa kuwa makini na propaganda za nchi za magharibi, kwani kazi ya Astronomer ni hipi? Si kutumia telescope kuangalia Galaxy- hawana utaalamu wowote katika nyanja za sayansi ya rocket, sasa hapa anawezaje kuongelea vitu vya kubuni tu, kwani telescope zake zinaweza kumonyesha kilicho ndani ya roketi za IRAN? Amekazania eti nyani wa kwanza ana mole na wa pili hana, anayasema hayo wakati picha inaonyesha waziwazi kwamba Nyani wa kwanza manyoya yake ya usoni yamevutwa mbele na wa pili yamevutwa nyuma, sasa hapo unawezaje kusema kwa uhakika kwamba hao ni nyani wawili tofauti? Wamekazania kuwasema vibaya wenzao lakini awasemi Merikani ilivyo hadaa Dunia kuhusu binadamu wa kwanza kutua mwezini, walifikia hatua ya kumdhibiti Niel Amstrong asizungumze chochote na wahandishi wa habari kuhusu kutua kwake mwezini mpaka imeingia kuburini yuko bubu katika hilo.
Wewe Umeshindikana hebu nipe jibu hizo picha iran wamekosea au wamepatia... ushageuka kama zombe ukizungumzia ccm na yeye analeta CDM Ukizungumzia JK na yeye analeta ya Slaa.... Wachana na Marekani JF tukizungumzia kitu tujaribu kustic na hicho hicho.... Jibu fasta Fake Monkey au lah.... ukijibu ndio tuendelee