Iran Explosions: Officially deny reports of fresh blast

Basi Iran iko majivu
, ndio mahubiri ya leo hayo
Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Hawawezi kukubali wataonekana wadhaifu huku wao wanataka waonekane imara.
Sikama ambavyo trump alivyokana kwamba hakuna wanajeshi wa amerca waliokufa baada ya kushambuliwa na iran katika ile base yao iliyopo iraq

Baada ya USA kumuua general Qaseem

Trump alikana - kwa sababu alikuwa na lengo la kuficha ukweli ili na wao wasionekane dhaifu
 
Pole kwao.... Chamoto hawa waajemi huwa unawaamini sana ila naona wanateswa sana kwa kukosa uwezo wa kujilinda, hawajui namna ya usalama, wamejianika tu hovyoo.
 
Exactly!
 
Wamarekani huwa sensitive sana kwa watu wao, yaani ufiche kitu kama hicho ndugu na jamii za hao wanajeshi wanaweza wakavuruga amani kwenye vyombo vya habari, kule sio kama hizi shitholes ambapo unaweza ukaficha hata maafa ya maelfu ya watu
 
Hahaa double standard nyingine bwana
 
Shughuli ndio kwanza imeanza!🤣🤣🤣
 
Mods naomba mrekebishe heading hapo juu,sio officially ni Officials

Iran officials wanasema hapakuwepo tukio kama hilo, nyie mnagangaia kwamba Iran hasemi ukweli, mkoje - nyinyi mnanufahika nini Iran inapo shambuliwa kwani Iran iliwahi kuwakwaza nini katika maisha yenu ya kila siku - kila siku mnatuletea mabandiko ya propaganda za Reuters dhidi ya Iran, Syria, Huawei na North Korea - mambo ya ajabu sana.
 
Udini unawasumbua
Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo na Iran amekana tu ila ni kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…