Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 21,834
- 38,717
- Thread starter
- #21
Naona upo Google unaokoteza taarifa kutoka viunga vya Tehran.
Naona upo Google unaokoteza taarifa kutoka viunga vya Tehran.
Haya ndio wanayoyapata kwa kujaribu kuhack Israel's water supply.Kipindi hiki naona Netanyahu kaamua kuwashikia bango mpaka amesimamisha kwanza ule mpango wa West Bank ili amalizane nao hawa Waajemi.
Tukio ni lile lililotokea week iliopita tu, hio habari ilitoka leo Iran wemesema hakukua na mripuko wowote ambao uliripotiwa jana Alhamis, vyombo vya habari vya nje vimeripoti habari ambazo hazinauhakikaHahahaha propaganda ipi hiyo,kwani hiyo habari niliyoleta hakuna sehemu Viongozi wa Iran wakikanusha hilo tukio?
Battle of wits??
Mm sipo goggle mkuu sifungui ata google si rahisi kutafuta habari huko, mm nina vyombo vyangu vya uhakika vya habari, nilikua na shughuli zangu binafsi tu apa mjengoni kwangu leo Ijumaa naweka sawaNaona upo Google unaokoteza taarifa kutoka viunga vya Tehran.
Mripuko uliotokea mara ya mwisho ni week iliopita, huko marekani saivi ni zaidi ya Iraq kwa kuuwawa kwa watu mbona hamyasemi? Au tuzilete habari apa?Battle of wits??
Hahahaha umepaniki Mkuu,usihamishe mada hilo la Marekani fungulia Uzi wake tuje kuchangia.Mripuko uliotokea mara ya mwisho ni week iliopita, huko marekani saivi ni zaidi ya Iraq kwa kuuwawa kwa watu mbona hamyasemi? Au tuzilete habari apa?
Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
Hii milipuko yote ni coincidence?Mripuko uliotokea mara ya mwisho ni week iliopita, huko marekani saivi ni zaidi ya Iraq kwa kuuwawa kwa watu mbona hamyasemi? Au tuzilete habari apa?
Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
Mbona sjauwona mripuko wa jana uliodai, hio habari inaongea miripuko ya majuma yaliopita, mm ninachopinga kuwa jana hakukutokea mripuko kama unavyodai, ata hio habari yko inajielezaHii milipuko yote ni coincidence?View attachment 1503056
PoaHaya basi maliza kunya na kujitawadha ukaswali
Hahahaha umepaniki Mkuu,usihamishe mada hilo la Marekani fungulia Uzi wake tuje kuchangia.
This is inappropriate STRUGGLE MAN, isn't it?Mripuko uliotokea mara ya mwisho ni week iliopita, huko marekani saivi ni zaidi ya Iraq kwa kuuwawa kwa watu mbona hamyasemi? Au tuzilete habari apa?
Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
Ah strugglman utadhani unalipwa kuitetea iran
This is inappropriate STRUGGLE MAN, isn't it?
Kwasababu marakani watu wanakufa haizuii kujadili mada.
Tuingie wapi tupate huo unaosema ukweli?Msishabikie habari za urongo, ingieni wenyewe mjionee
Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
Naona upo Google unaokoteza taarifa kutoka viunga vya Tehran.
Wewe Ayatolla hebu kuul down first mbona umepanic sana na hilo turubai kichwan? Wacha Tehran wapate dawa sawa sawa mbona hio ngoma ni ya bwana mdogo tu toka Jerussalem bado mkono wa Washington hapoMkuu mm silipwi ila tunaongea ukweli, mti wenye matunda ndio unaongoza kwa kurushiwa mawe, mm ukileta habari za uongo lazima nikuambie ukweli haijaalishi za nyumbani ama nje ya nyumbani, kuna watu watakuchukia coz unaongea ukweli mifano mingi ipo tunaona ata kwenye nchi zetu za kiafrica
Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
Kweli ni aibu kwa Iran. Wanashambuliwa na mashoga!!!Wewe Ayatolla hebu kuul down first mbona umepanic sana na hilo turubai kichwan? Wacha Tehran wapate dawa sawa sawa mbona hio ngoma ni ya bwana mdogo tu toka Jerussalem bado mkono wa Washington hapo
Naona clandestine operation zidi ya Iran imeshika kasi na wao hawajui la kufanya. Hii mpya imetokea jana Alhamis ukiachana na za wiki iliyopitaView attachment 1502883View attachment 1502884View attachment 1502885View attachment 1502886