Iran Economy on the Verge of Collapse

Iran Economy on the Verge of Collapse

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
photo.jpg

Iran Economy on the Verge of Collapse

There seems to be somewhat of a consensus that sanctions against Iran are working. Exports are way down, revenues are suffering, and vital resources are drying up. However, most people ignore the fact that Iran's economy has been struggling to keep its head above water since the 1979 revolution.

Just days before new talks with the P5+1 on Iran's nuclear program, President Ahmadinejad recently stated, "We must say to them that we have that much saved that even if we didn't sell oil for two to three years, the country would manage easily." He suggests that Iran has enough reserve cash on hand to weather the effects of sanctions, but this simply isn't true.

Historically, Iran has used a series of five-year plans to manage its economy. Every plan thus far has been a failure. Recurring goals include the elimination of subsidies (finally accomplished in 2010), less state control, increasing foreign direct investment, reducing inflation, expanding non-oil sectors, and job creation. The inner circles of the Iranian government are rife with indecision based on a clash between those who favor a more progressive economic stance that would integrate more fully with world markets and a traditional, protectionist model that wants to maintain state dominance.

Due to this constant battle, economic reform moves slowly. Combine this with Iran's resource curse and the fact that the country continues to allow its energy sector to dictate its fate, and you have a recipe for imminent disaster.

Iran Economy on the Verge of Collapse
 
Ha ha ha ha halafu na umaskini ndio umejaa balaaa, sasa wanatengeza piacha duka kila kukicha
 
kuna waafghanistani walijazana kule kufanya day waka. Leo hii hakuna hata mmoja maana walishia kunywa mkate na machungwa kwa siku ili wasave pesa.

wao hawana demokrasi, halafu wanataka kutengeneza silaha za kuwapa Hisbollah na Hamas nani atakubali taifa la teule la mungu limpate mbabe pale mash ya kati.
 
Nimesoma a similar article yesterday on The Washington Post hapa . Tatizo kuna formal na informal economy na hatujui resilience ya informal economy ikoje. This may actually trigger a wave of economic independence in that Iranians may focus on locally produced goods and lessen the consumption of imported goods, which could prove a boost to local producers. Of course it is much more complex than that in that local producers may also need imports and the cash cow of oil is severely affected.

Halafu accounts za western media hazipo beyond nationalistic propaganda and exaggeration, even as it is obvious that Iran must suffer from the sanctions.

Huku wamewekewa vikwazo, huku kuna vimeli vya Tanzania vilikuwa vinatumiwa na Iran!
 
Wanasema tangu miaka ya 90 kuwa iran itaanguka , lakini naona kwa uchumi wetu wametupita sana na wanazidi kujiendeleza kiasi chao...
 
Kelele za wayahudi tu hizo afu mmeisha chunguza Israel na USA hawawezi kuingia vitani mpaa wafanyie nchi sunction, yani wao nguvu zao ni hivi ngojea tukufunge kamba afu tukupige, wakiona nchi iko huru wanajua hawamuezi kupigana naye hawa vita vyao siku zote kama za kishoga vile :biggrin:
 
Kuna faida gani watu wa Iran wakiteseka sababu ya watu wachache wanaochezea madaraka yao? Iraq imeharibiwa kwasababu hizo hizo
 
Nafurahia sana ninapoona nchi kama Iran ziki filisika
 
Kelele za wayahudi tu hizo afu mmeisha chunguza Israel na USA hawawezi kuingia vitani mpaa wafanyie nchi sunction, yani wao nguvu zao ni hivi ngojea tukufunge kamba afu tukupige, wakiona nchi iko huru wanajua hawamuezi kupigana naye hawa vita vyao siku zote kama za kishoga vile :biggrin:

Watakwambia kwamba wao hawataki vita mpaka iwe ni lazima.

Kwamba wanaanza na vikwazo vya kiuchumi kwa sababu wanatumaini kwamba vikwazo hivi vinaweza kuepusha vita, na wanaweza kufikiria vita pale tu vikwazo vitakaposhindwa.

Not a bad argument.

Marekani na Israel wangekuwa wanapiga mabomu tu bila vikwazo wala mazungumzo mngewalaumu pia kwamba ni wapenda vita wasio na subira wala kiasi.
 
Nafurahia sana ninapoona nchi kama Iran ziki filisika

Mimi sifurahi, kwa sababu wanaoumia ni wananchi wa kawaida wa Iran ambao sio wanaosababisha vikwazo hivi kwa kiwango kikubwa.

Iran kuna mgawanyiko mkubwa. Si kila mtu anaunga mkono utawala wa sasa. Utawala wa sasa wenyewe una mgawanyiko Kati ya Ayatollah, rais Ahmadinejad na Speaker of the Majlis Larijani etc.

Si haki kuifanya nchi nzima iwe monolithic.

Ulichosema ni sawa na kusema unafurahi kuona nchi kama Tanzania inafilisika kwa sababu ya makosa ya watu wachache walio katika NEC ya CCM.
 
Wanasema tangu miaka ya 90 kuwa iran itaanguka , lakini naona kwa uchumi wetu wametupita sana na wanazidi kujiendeleza kiasi chao...

Mkuu media za nchi za magharibi walitabiri tangu miaka ya late 1970s, kwamba kwa kuwa Shah M. Reza katolewa madarakani basi uchumi wa IRAN utahanguka within six months!! Wanawasema vibaya wa IRAN, lakini nchi hizo hizo za magharibi zinakwenda kuomba Wachina wawape tafu kidogo katika kurekebisha uchumi wao unaoyumba!!
 
Mkuu media za nchi za magharibi walitabiri tangu miaka ya late 1970s, kwamba kwa kuwa Shah M. Reza katolewa madarakani basi uchumi wa IRAN utahanguka within six months!! Wanawasema vibaya wa IRAN, lakini nchi hizo hizo za magharibi zinakwenda kuomba Wachina wawape tafu kidogo katika kurekebisha uchumi wao unaoyumba!!

Kila mtu ana justifications zake so its better kila mtu akaamini kile anachoona yy sawa!
 
On verge of collapse??? Acha propaganda za magharibi ni kweli fedha yao imeshuka thamani lakini sio kweli kwamba uchumi wao upo hoi...kwani bado anaexport different products ambazo sio mafuta..Na ktk bajeti ya mwaka huu wamepunguza utegemezi wa mafuta that means wataweza survive...LAITI UNGESEMA ULAYA NDO HOI KWA SASA UNGEELEWEKA KWANI TUNAONA Greece, Spain nasasa Italy na baadhi ya nchi km France, UK na nyinginezo mambo ya uchumi hayaendi vizuri hadi UK anataka ajiondoe ktk EU...iSRAEL yenyewe hoi na bado inapewa matrilion na inakiri kua sanctions against Iran is ineffective....Hawa jamaa wanamafuta na tech so haiwezi kua km North korea au quba
 
Back
Top Bottom