Iran bado ina nguvu za kijeshi

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,136
Reaction score
96,161
Nimeangalia Al Jazeera TV, missile za Iran zilivyoipiga Israel, bado Iran wana nguvu za kijeshi. Kuna makazi ya watu yameharibiwa vibaya sana! Sikutegemea kuwa Iran bado ina uwezo huo!
Trump asijidanganye kuwa amevunja vunja arsenals za Iran!
Nothing has been obliterated! As claimed by Trump
Vita hii itakwenda mbali sana
 
Actualy i wont say that. Kuna battle ground nyingi bado hajapigana.

Kurusha makombora israel does not mean wana nguvu, us & israel wamekuwa wakifanya the same for very long time targeting viongoz .

The question hapa who will last long?
 
Actualy i wont say that. Kuna battle ground nyingi bado hajapigana.

Kurusha makombora israel does not mean wana nguvu, us & israel wamekuwa wakifanya the same for very long time targeting viongoz .

The question hapa who will last long?
sasahivi viongozi hakuna! marekani hajui anapigana na nani ila mikombora inaletwa tu! ISRAEL inaungua jamani sio MCHEZO! safi sana
 
Actualy i wont say that. Kuna battle ground nyingi bado hajapigana.

Kurusha makombora israel does not mean wana nguvu, us & israel wamekuwa wakifanya the same for very long time targeting viongoz .

The question hapa who will last long?
Uko sahihi! All in all , sikutegemea kama Iran bado ina uwezo wa kufanya uharibifu kama huo!
Swali lako zuri, definitely at the end of the day, most likely Iran will surrender. But kumbuka Vietnam war! Kuna la kujifunza?1
 
Yeah!..huenda ADs za Israel zimezidiwa.

zitto junior
 
Actualy i wont say that. Kuna battle ground nyingi bado hajapigana.

Kurusha makombora israel does not mean wana nguvu, us & israel wamekuwa wakifanya the same for very long time targeting viongoz .

The question hapa who will last long?
Anyway, USA amekuwa akisema military installations za Iran have been completely obliterated.......sasa haya anayorusha yanatoka wapi? .....
 
Kipigo kile alichokipata Iran mwakajana, lazima kilimpa funzo kubwa. Sidhani kama Iran itakuwa imeyahifadhi makombora yake eneo moja. Hivyo USA na Israel wanaweza kushambulia store ya makombora moja, kumbe kuna nyingine 500 hazijaguswa kabisa. Hivi ni vita vya muda mrefu, haviwezi kuwa vya wiki chache kama ilivyotarajiwa.

Advantage aliyo nayo USA, hakuna kinachoguswa kule Marekani. Inaendelea na shughuli za kiuchumi kama kawaida, inaendelea kutengeneza silaha kama kawaida, wakati Iran na Israel hazina nafasi hiyo. Israel in advantage kwa sababu mshirika wake USA anaweza kumletea silaha nyingine kukiwa na upungufu, na pia ina uhakika wa kuusimamisha uchumi wake kwa haraka kuliko Iran. Kwa Iran, hata kama vita ikiidha, madhara ya kiuchumi na kidiplomadia ni makubwa sana. Vita hii itaifanya Iran kuwa adui wa majirani zake wote, na italeta ukaribu wa Israel na mataifa jirani ya kiarabu.
 
Yeah!..huenda ADs za Israel zimezidiwa.

zitto junior
Strategy ya Iran iko efficient. Wameharibu Radar nyingi za THAAD huko middle east kama Jordan, Iraq na Qatar so interception zinakosa precision.

Pia alianza na kombora za kawaida ili kuoverload iron dome na sasa ameanza kutumia cluster missiles ambazo ni ngumu kuintercept na mfumo umeshachoka.

Na juzi umeona wamejaribu long range missile yenye capacity ya 4000 km kitu ambacho hakuna aliyedhani wana capacity hiyo!! Who knows what they have in store, a tactical nuke? Dirty bomb?
 
Marekani hana shida sana maana hamna kombora linapiga ardhi yake, israel in other side.

Us anajua anachokitana, israel nadhani ndio hawajui
Duh!

Vita ni zaidi ya kombora kupiga nchi.
Hata hapa Tanzania hiyo vita tayari inatuhusu.
Usifikiri kutumia mabilioni ya madola kwa wiki ni jambo dogo. Unajuwa hali ya uchumi hapo itakuwaje? Pamoja na kutoagiza mafuta toka eneo hilo la vita, raia nchini tayari analipia gharama za vita kwa kujaza tenki la gari lake.

Watakapoingia kwa miguu humo ndani na kuanza kurudisha maiti nyumbani hapo ndipo utakapojuwa kuwa wao pia wanadhurika.
Vita ni zaidi ya kupiga makombora.
 
Hapo hapo Centcom na Israel wanasema uwezo wa Iran kurusha makombora umepungua hata uwezo wao wa kuivuruga Hormuz pia umepungua.

wakati huo huo Utawala wa Trump unapeleka majeshi mengine kama 2500 huko mashariki ya kati wakati tayari wana askari wengine 50,000 eneo hilo hilo, labda wanataka kuvamia na kukamata baadhi ya maeneo ya Iran au kuchukua zile uranium.

Ngoja tuone.
 
Upo vizuri sana kuhusu ufuatiliaji huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…