Iran and new Advanced Smart bombs

Iran and new Advanced Smart bombs

Hii issue ya Iran inabidi kuwekwa sawa. Inapozungumziwa Iran ni nchi yote kwa ujumla yaani jamii nzima ya wananchi waishio humo... sasa Iran kuna Parsi, Arabs,Jews na Ueropean waliokuwa Russia na wakurdi pia kibao ila katika jamii nzima mchanganyiko Parsi ndio idadi kubwa so Mtu akiwaita Iran waarab sio mjinga kwani Kiarab ni sehemu ya lugha ya Iran haswa maandishi yao. So Iran imemezwa haswa kuongea wanaongea Kiparsi kama lugha kuu na kule pande zenye waarab wengi wanataka kujitenga kabisa na Iran.

Iran Waarabu wapo ni nchi yenye mchanganyiko wa makabila mengi.
Kuwa na maandishi ya Kiarabu hakumaanishi ni Waarabu hata hapa kwetu basi utasema sisi wa Latin kwa kuwa tunatumia maandishi umya Kilatin. Au ulikuwa hulijuwi hilo?

Tanzania asilimia kubwa sana wanafahamu Kiarabu na maandishi ya Kiarabu kuanzia wadogo lakini haijawa mchi ya Kiarabu. Hata hapo maandishi ya Kilatin yalipokuwa hayajafika maandishi yaliyotumika hata kuandika Kiswahili yalikuwa Kiarabu lakini haijawa nchi ya Kiarabu.

Hiyo argument yako ni muflis. Kwani asilimia kubwa ya Wafaransa wana asili ya Kiarabu lakini haijawa nchi ya Kiarabu. Asilimia kubwa ya Wajerumani ni Waturuki lakini haijawa nchi ya Kituruki.

Pakistan wanatumia maandishi hayo hayo ya Kiarabu lakini siyo nchi ya Kiarabu.

Iran siyo Waarabu. Usitake kulazimisha.

Wewe Mtanzania una ustaarabu (Arabic influence) lakini si Mwarabu, ni vivyo hivyo kwa Wairan, wana ustaarabu (Arabic influence) lakini si Waarabu.
 
Nadhani kujibishana na wewe ni ngumu sababu ulichokipanga ndio maamuzi yako ila nakushauri chukua task ukapate somo kwa daktari wako kuhusu hao jamaa.
Mm mwenyewe nasomea hio kozi Kwahiyo huwezi nidanganya.
Sio kila mtu aliye shoga ana hormone za kike zimemzidia.
Wengine risk behaviours zinawafanya wawe vile mzee baba,generalizing yako ina makosa aisee.
 
Did algebra ishawahi kukusaidia kitu maishani mwako? Akili ya mtu mmoja katika nchi haifanyi jamii yake yote iwe na Akili sawa.. even Tanzania kuna mtu aligundua Mpemba effect but haifanyi Kuwa Watanzania ni wanasayansi bora... vitu vinavyowaweka watu juu ni mmoja mmoja haswa wagunduzi wanaopata support Tanzania list ya wagunduzi ni kubwa sema support ya government hatuna.. issue za mabomu silaha n.k vishagunduliwa kitambo kwa sasa vinaboreshwa tu.. issue ya Iran hana aligundua zaidi ya ku smuggling tu silaha from different countries na hilo lipo wazi Iran bought everything including risasi kama hujui... even reverse technology wanasaidiwa na Chinese sema wanaown project nzima.. if unahutaji knowledge just ask tutakuteach tu ubishi na upumbavu utakukondesha tu... Iran ni majigambo tu ndio maana nakuambieni hata Tanzania tunaweza sema tuna hiki na kile tunatengeneza wenyewe but behind ya ukweli ni copy and paste
Bro nimekugundua unaongea kiuhemko sanaaa mpk unasikitisha.
Halafu punguza ujuaji mwingi.
Wahajemi wana vipawa vya akili kutuzidi.
Sawa tuseme kuwa wana copy lakini wanacho copy hukiboresha wao kwa vipawa vyao.
Mfano angalia system ya ulinzi ya Khordak.
Na hyo mpya wanaoiita "Yasin" wanaoiunda sasa inasemekana kufanania na s-400 ya Russia.
Lakin wameiboresha kwa kipawa vya akili zao.
We hujiulizi kwann Israel inatuma majasusi kisiri kuua wanasayansi wa Iran???We wadhan kuwa wana vipawa vdogo wale???
Tanzania akili zetu za kukariri toka tunafundishwa mfumo wetu wa elimu kukaririshana usome ili ufaulu mtihani.Hatuna vipawa kama vya jamaa hawa wahajemi kwahyo acha kuleta mifano mfu.
Sabuni tu zinatushinda kutengeneza twachubuana mikono kwa mipuff mara family detergent tutaweza advancement of technology wanaoifanya Wahajemi???
Au ww unachukulia kitu simple kuki advance kitu???
Israel alinunua F-35 fighter jets 1st and 2nd generation na kuzi advance 4th generation kama sikosei.
We wadhani advancement aloifanya Israel ni ndogo???
Asa hvyo ndivyo Iran anavyofanya.
Punguza ujuaji mwingi.
 
Back
Top Bottom