Iran and new Advanced Smart bombs

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,991
17,888
Iran unveils three advanced smart bombs
Home / Iran/ Defence

Iranian Defense Minister Brigadier General Amir Hatami (C) speaks during the unveiling ceremony of three bombs, on August 6, 2019. (Photo by Mehr news agency)

Iran’s Armed Forces have unveiled three advanced precision-guided smart bombs, as the Islamic Republic moves to strengthen its defenses in the face of foreign threats.
The domestically-manufactured bombs named “Yasin,” “Balaban” and a new series of the Ghaem missiles were unveiled during a ceremony on Tuesday in the presence of Iranian Defense Minister Brigadier General Amir Hatami.

Speaking at the event, the Iranian defense chief said “Balaban” has folding wings designed to increase its range. It is guided by GPS and sensors and could be mounted under aircraft.
Hatami described Yasin as a long-range smart, guided bomb that can be fired from a range of 50 kilometers its target from manned or unmanned aircraft.

Ghaem is also a missile meant for precision strikes and could hit within 50 centimeters of a target, according to the minister.
This type, he added, is equipped with different visible, thermal and cylindrical seekers and can be installed on various drone, helicopters and fighter jets to annihilate their targets.

Hatami further said the latest defense achievements are yet another manifestation of Iran’s power and “showed that the Defense Ministry will never hesitate to defend the Islamic Republic and boost security despite the malice and conspiracies hatched by the Great Satan, America.”

Iran has recently made major breakthroughs in its defense sector and attained self-sufficiency in producing military equipment and hardware despite facing sanctions and Western economic pressure.

The Islamic Republic says its military power is solely for defensive purposes and does not pose any threat to other countries.
67df132d-3a9b-401b-86bc-3832a85a1207.jpeg
 
Irani hata akinunua kitu kimagendo anaibuka kwenye media na kudai katengeneza yeye... ingekuwa rahisi hivyo hata Tanzania tungesema silaha zote twatengeneza wenyewe.

Sasa hivi wameingia mkataba na hamas kuwa watawasaidia pesa kwa malipo ya kuwapa habari za Israel zozote zile za kijeshi pamoja na uchokozi ili Israel afyatue makombora guided so yale ambayo hayata lipuka wayabebe na kuwapa irani wayasome na wachina wao.. nadhani hata hayo waliyozindua yanafanana kabisa na yale ya Israel.
 
The Islamic Republic says its military power is solely for defensive purposes and does not pose any threat to other countries

What about the threat posed by the then president Ahmed Nejad when he said that Israel had to be wiped from the map of the world. are the remarks still hold to day??!
 
Irani hata akinunua kitu kimagendo anaibuka kwenye media na kudai katengeneza yeye... ingekuwa rahisi hivyo hata Tanzania tungesema silaha zote twatengeneza wenyewe.

Sasa hivi wameingia mkataba na hamas kuwa watawasaidia pesa kwa malipo ya kuwapa habari za Israel zozote zile za kijeshi pamoja na uchokozi ili Israel afyatue makombora guided so yale ambayo hayata lipuka wayabebe na kuwapa irani wayasome na wachina wao.. nadhani hata hayo waliyozindua yanafanana kabisa na yale ya Israel.
Maneno ya kwenye kanga weka link ya evidence

Ingekua wanacopy hata saudi arabia wangekua mbali au hata qatar au hata kuwait maana nao wangecopy

Irani ni level nyengine
 
Boya wewe
 
Level nyingine kivipi? Nchi isiyofuata sheria za kimataifa za rights utengenezaji wa vifaa ndio unataka uifananishe na Nchi zenye dini safi? Weka chochote unachikifahamu Iran kagundua yeye mwenyewe nami nitakufahamisha usilolijua boya wewe... unadhani why analilia vikwazo viondolewe?
 
hahhahahaaaaaaa hamna kitu mzee baba Iran mweupe sana sa saivi waarabu wenzake wamekaa pembeni hawataki kusikia kuhusu Israel wanamuangalia atakavyoumizwa, kutokana na mipaka ya kigiografia (Israe haipakani na Iran) vita tutategemea AIR SUPERIORITY in the middle east kuamua matokeo
 
hahhahahaaaaaaa hamna kitu mzee baba Iran mweupe sana sa saivi waarabu wenzakw wamekaa pembeni hawataki kusikia kuhusu Israel wanamuangalia atakavyoumizwa, kutokana na mipaka ya kigiografia (Israe haipakani na Iran) vita tutategemea AIR SUPERIORITY in the middle east kuamua matokeo
Kumbe wairan Ni waarabu nilikuwa sijui mkuu
 
What about the threat posed by the then president Ahmed Nejad when he said that Israel had to be wiped from the map of the world. are the remarks still hold to day??!
And what about threats of Israel when they said they will soon hit all nuclear plants and all major air defence bases of Iran, since 2012 till today did they do anything?
 
Level nyingine kivipi? Nchi isiyofuata sheria za kimataifa za rights utengenezaji wa vifaa ndio unataka uifananishe na Nchi zenye dini safi? Weka chochote unachikifahamu Iran kagundua yeye mwenyewe nami nitakufahamisha usilolijua boya wewe... unadhani why analilia vikwazo viondolewe?
Boya kwanza ni wewe punguwani wa mwendokasi

Pili ni rights gani iran isiyofuata au unataka wafate rights zile za ku.f.i.r.a.n.a wanazofata israel na usa?maana nyie mnaoshabikia haki dhidi ya iran mnashabikia ushoga tu
 
And what about threats of Israel when they said they will soon hit all nuclear plants and all major air defence bases of Iran, since 2012 till today did they do anything?

That's a counter reaction of Israel after Ahmed Nejad remarks of threat to Israel.--- it is tit for tat.
 
The domestically-manufactured bombs named “Yasin,” “Balaban” and a new series of the Ghaem missiles were unveiled during a ceremony on Tuesday in the presence of Iranian Defense Minister Brigadier General Amir Hatami.
imagine event kubwa kama hii rais hana hata pressure sasa ingekua nchi fulani hivi ungemsikia mkuu wa malaika na ving'ora juu kwenda kwenye uzinduzi
 
Irani hata akinunua kitu kimagendo anaibuka kwenye media na kudai katengeneza yeye... ingekuwa rahisi hivyo hata Tanzania tungesema silaha zote twatengeneza wenyewe.

Sasa hivi wameingia mkataba na hamas kuwa watawasaidia pesa kwa malipo ya kuwapa habari za Israel zozote zile za kijeshi pamoja na uchokozi ili Israel afyatue makombora guided so yale ambayo hayata lipuka wayabebe na kuwapa irani wayasome na wachina wao.. nadhani hata hayo waliyozindua yanafanana kabisa na yale ya Israel.

Mzee baba inaonekana upo front kabisa huki ukanda wa gaza mpaka unafahamu yote haya
 
Boya kwanza ni wewe punguwani wa mwendokasi

Pili ni rights gani iran isiyofuata au unataka wafate rights zile za ku.f.i.r.a.n.a wanazofata israel na usa?maana nyie mnaoshabikia haki dhidi ya iran mnashabikia ushoga tu
Utakuwa unabaashiwa wewe sio kwa kupenda hayo mambo maana huachi kuyataja taja... hata mada zisizohusiana... kwani wewe ungezaliwa na hormone za kike ungetaka utengwe au upingwe kwa kila utakalo? Mungu wako ndio aliyewaumba. . Kampige basi au mwambie kiongozi wako wa dini amtukane aliyewaumba hivyo wasenge na machoko... mnashabikia viongozi wenu wa dini walio wapumbavu
 
Back
Top Bottom