kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 11,126
- 24,424
Sasa hivi UAE wanalipa gharama kubwa sana
UAE ni adui namba moja wa Waafrika na bara la Africa
Wanachukua twiga na wanyama wetu wote, wanachukua mapori,airport kupitia viongozi wajinga na wapuuzi
Vita ya Somalia, Sudan,DRC, Libya ina mkono wa UAE even kule Yemen
Jamaa kila mahali anatia pesa ili damu zimwagike
Hawa hawa wamechukua bandari kupitia mikataba ya kiboya na kibwege.
Na bado wanazidi kujaa nchini wanapewa uraia kinyemela...Wameigeuza hii nchi kuwa shamba la bibi, juzi meli imekamatwa kule ikiwa na ngada ni waowao
Boss wao yupo kwenye Epstein...Anafurahia torturing kwa watoto na wakilawitiwa....Imagine ni watoto wa kitz wanafanyiwa hayo mambo na hawa waovu wa Sodoma na Gomola kutoka Dubai
Sasa Iran maliza kazi tandika na huo uwekezaji wa DP world huko Dubai na HQ zao...
Ninapenda Iran jinsi anaitandika Dubai na UAE hawa waovu wanapaswa kurudi zama za mawe waanze upya
Update:Utadhani Iran wameskia wazo langu ofisi za DP world na maslah yake yameshambuliwa makombora ya Iran
View attachment 3550637