Iran accuses US and Britain for links with Militants

Waanze wao..waliozoe kwenda kuvamia nchi za watu..waislamu hawaruhusiwi kupigana mpaka uwe umepigwa that is the principle..hakuna nchi ya kiislamu inavamia nchi nyingine zaidi ya hao mashetani wa kikristo wenye hamu ya kuona damu na vifo vya watoto wadogo, kina mama, waanzishe tuone mwisho wao..si wamezoea ..kazi za shetani nafikiri biblia ndio inawafunsisha hivyo ushetani...

Not so fast cowboy, Iraq iliivamia Iran mwaka 1980 miaka kumi baadaye wakaivamia Kuwait... Wakati mwingine najiuliza kwa nini tunafundisha historia, kama baadh ya watu wanaamua kupuuza kwa makusudi.
 
Back
Top Bottom