Jimbo la mtama lina wanachama elufu 10?
kama ni hivyo inakuwaje nape apata kura zaidi ya elufu kumina moja alafu anayemfuata elufu nne na na wa tatu elufu +?
Kama kuna mzazi au mlezi ana mtoto au jamaa katika hawa, kura yake mara ifikapo octoba 25, hatasita kumchagua Lowassa na wabunge pamoja na madiwani wanaotokana na UKAWA