Iramba WAIZIKA CHADEMA na UKAWA

Kama ni huyo mr chin hakuna kitu.yeye yupo kila mahali kama upepo akipuliza -----.
 
Hapo ukifingua hizo kadi ndani hazina majina
r.i.p sisiem
 
CCM wasanii sana Yan aiseee

Wanahangaika bure tu huo usanii haubadilishi maamuzi
hizo kadi gani za wanachama hazina picha?
kuna siku mzee wa Kuwait pia alikua kashika kadi haijaandikwa kitu
 
Mr Chin lini unarudi jukwaa la dini na ile ID yako ya kawaida?....teh teh....kipindi cha election tunashuhudia mengi.
 

Kwa Mwendo Huu, Utabiri Wa TWAWEZA Unaweza Ukapitwa Kwa Mbali Zaidi. Kweli Uraisi Haununuliwi.
 

Huu ni Mtazamo finyu wako. Tumekusikia kalale baba
 
chadema imepata wanachama wengi mwaka huu tu na inakimbiwa mawaka huu na kufutwa tar 25 oct 2015

Chadema kama chadema itabakia kwa miaka mingi sana wala usijipe moyo eti itakwisha CCM inapotea kwenye Ramani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…