kichwa cha habari tu unajua ni nani alieandika uzi ...inakua haina mvuto tena kueni creative basii dah..
alafu vepee mbn kadi zote mpyaa kwikwiikwii
Muulize Lowassa aliye mwaga kadi 16,000 za CCM kwenye kijiji chenye wanachama ELFU 10 wa CCM.Hivi kadi ya chama huwa inawekwa kwenye walet au inahifadhiwa??
Thanks Iramba
Mr Emmy bora umesema ukweliiii na ukweli umuweka mtu huruuuu.Singida walishazika ccm kitambo huku
Muwanunulie na viatu basi hao viongozi wenu wa Iramba.
Sasa kama ccm ilishazikwa kitambo huyo magufuli anafuata nini huko?Singida walishazika ccm kitambo huku ni Dr Magafuli kwa kwenda mbele hakuna cha lowasa
[h=3]Mwigulu asishangae Ukawa wakachukua jimbo.
Atajuta kuwafahamu.
Naona kijana wa makamba uko shift ya mchana leo. 7000 KWA SIKU THEN UNAACHWA KWENYE MATAA BAADA YA KAMPENI KUISHA
Hali imekuwa tete kule Iramba. Habari tulizo zipokea hivi punde zinasema kuwa, Iramba hawataki tena UKAWA wao ni CCM tu wakiongonzwa na katibu mwenezi. Hii ni ishara tosha kuwa CCM inaendelea kung'ara kila kona hapa Tanzania.
Picha hizo juu ni Iramba Magharibi. Magufuli tisha mbaya. UKAWA wamesha agwa na wakazi wa Iramba.
Acha upya kwani unaona picha kwenye hizo kadi mkuuMbona card zote ni mpya? Au ni mwendelezo wa ule usanii wa ku print card bandia zisizo na majina wala picha.