IRA AUTO SERVICE Ltd: Tunatoa huduma za kutengeneza magari aina zote, ushauri na tunauza vifaa pia

MADABACHU

JF-Expert Member
Nov 24, 2020
325
379
Tupo Mbezi Beach Jogoo, Dar es Salaam.

Tunatoa huduma za kutengeneza Gari Aina zote, ushauri na tunauza vifaa pia.
Hii idea imetokana kuwa wauzaji wa spares za magari kwa Jina tunajulikana kama KISANGANI kwa zaidi ya miaka 40,tukaona ni vizuri kuweka na Garage ili kutoa huduma za uhakika zaidi kuepusha usumbufu wa wewe kutafuta garage baada ya sisi kukuuzia spare KISANGANI.
Kwa hiyo Sasa hivi unapata spare na service tunakufanyia.

Gari yako tunaicheki kwanza kama Ina Tatizo lolote unaambiwa na ni Bure hiyo tunaifanya.
Baada ya hapo ndio utasema kama itengenezwe .

Tunafanya pia Wheel alignment, Tyre Fitting and Oil Change.

Karibuni sana

0784292222

IMG_20230120_102857_351.jpg
JPEG_20230124_134745_4928916328790471606.jpg

View attachment 2494248
View attachment 2567406View attachment 2567407
 
Karibuni wakuu unapewa ushauri Bure na kujua kipi kimeharibika Bure kabisa.
IMG_20230125_081510_924.jpg
 
Tunatoa huduma za kutengeneza Gari Aina zote, ushauri na tunauza vifaa pia.
Hii idea imetokana kuwa wauzaji wa spares za magari kwa Jina tunajulikana kama KISANGANI kwa zaidi ya miaka 40,tukaona ni vizuri kuweka na Garage ili kutoa huduma za uhakika zaidi kuepusha usumbufu wa wewe kutafuta garage baada ya sisi kukuuzia spare KISANGANI.
Kwa hiyo Sasa hivi unapata spare na service tunakufanyia.

Gari yako tunaicheki kwanza kama Ina Tatizo lolote unaambiwa na ni Bure hiyo tunaifanya.
Baada ya hapo ndio utasema kama itengenezwe .

Tunafanya pia Wheel alignment, Tyre Fitting and Oil Change.

Karibuni sana

0784292222
Jambo zuri ila Kisangani mna shida moja, ni kama mnabweteka fulani hivi, customer care yenu pale dukani Kariakoo ni 0, binafsi nawashauri kama mpo serious kwenye hili la ufundi basi mjitazame vizuri na kujipanga vilivyo, narudia tena management yenu ilione suala la customer care kama first priority
 
Asante Mkuu tunalifanyia kazi Hilo.
huku lakini customer care ipo vizuri kwa sababu tumeanza na mikakati madhubuti zaidi karibu ujionee.
 
Tupo Mbezi Beach Jogoo, Dar es Salaam.

Tunatoa huduma za kutengeneza Gari Aina zote, ushauri na tunauza vifaa pia.
Hii idea imetokana kuwa wauzaji wa spares za magari kwa Jina tunajulikana kama KISANGANI kwa zaidi ya miaka 40,tukaona ni vizuri kuweka na Garage ili kutoa huduma za uhakika zaidi kuepusha usumbufu wa wewe kutafuta garage baada ya sisi kukuuzia spare KISANGANI.
Kwa hiyo Sasa hivi unapata spare na service tunakufanyia.

Gari yako tunaicheki kwanza kama Ina Tatizo lolote unaambiwa na ni Bure hiyo tunaifanya.
Baada ya hapo ndio utasema kama itengenezwe .

Tunafanya pia Wheel alignment, Tyre Fitting and Oil Change.

Karibuni sana

0784292222

View attachment 2493894View attachment 2493897
View attachment 2494248
View attachment 2567406View attachment 2567407
Natafuta control box ya pajero min
 
Back
Top Bottom