IPTL Saga: Serikali yamtaka Balozi wa Uingereza kuripoti Wizara ya Mambo ya Nje, Yatishia kumtimua

si uingereza hii ndio ilikomalia change ya rada ilpokuja watu wakaanza kushangilia HII NCHI IMELAANIWA SI BURE! WAZUNGU SI WAJINGA KIASI HICHO LAZIMAKUNA JAMBO.....ETI ANASEMA TZ NI NCHI HURU ,HUKU TUKIWATEGEMEA WAZUNGU KWA KILA KTU ,KUNA SIKU WATATUINAMISHA ....HAKIAKA INAKUJA!

Wazungu hawakurupuki tu. Ngoja tuone mwisho wake!
 
katika hali isiyo ya kawaida naibu waziri wa nishati na madini bwana stephen masele amemtaka balozi wa uingereza nchini kujipima na kisha afike wizara ya mambo ya nje kujibu tuhuma zinazomkabili. Balozi huyo anakabiliwa na tuhuma za kuingilia mambo yasiyo mhusu(kidiplomasia). Ametuhumiwa pia kuishawishi serikali kukopa standard chatered ili kuilipa IPTL jambo ambalo ni kinyume na ethics za diplomats. Hii ni baada ya mbunge david kafulila kuamsha upya suala la iptl.

Huyu balozi si ndiye aliyenukuliwa na magazeti kuwa amemweka kitimoto waziri Muhongo
 

Yaani kuliko kuchukua hatua dhidi ya ufisadi na uozo mkubwa ulioko chini ya zulia la IPTL (take the whole saga from 1994), Serikali ya CCM imeamua kuingiza nchi kwenye mgogoro wa kidiplomasia na Uingereza. This is very very very serious wakuu.

CCM itafanya jambo lolote, ikiwemo kuwamaliza watu, almuradi kulinda uozo ambao ukifumuliwa, CCM inaanguka asubuhi kesho.
 
kinachotia hasira ni kuwa professar MUHONGO
ANADAI kuwa yeye ni geologist mkubwa afrika na duniani eti wizara aijamshinda
bali analeta hekaya za abunuwasi kuwa kuna wabunge wa upinzani wamepewa pesa na CCTV mitambo imewanasa sasa kazi ipo OLESENDEKA ANSEMA KUNA UFISADI WAZIRI ANAKATAA KUSEMA KUWA KUNA UFISADI ccm ni wezi na waongo
mshukuru watanzanbia wengi hawajielewi wala hawajitambui
 
Hili ni tamko limetolewa hivi punde na Naibu waziri wa nishati na madini ndugu Maselle kuwa serikali inamtaka balozi wa Uingereza nchini kujipima kama bado Ana hadhi ya kuendelea kubaki nchini , na pia imeitaka serikali ya Uingereza kumwondoa nchini mara moja.

Vile vile , imeitaka balozi huyu kwenda wizara ya mambo ya nje kujibu tuhuma za kuihujumu nchi , na hii ni kutokana na yeye balozi kulivalia njuga suala la pesa za IPTL escrow account,

Hii ni twist mpya , ya suala la ufisadi nchini.

its serious , IPTL kuna jambo kubwa sana ambalo hawataki serikali lihojiwe na mtu yeyote yule .

unaiba pesa ya mfadhili halafu unampiga mkwara

only in Tanzania
 
Hili ni tamko limetolewa hivi punde na Naibu waziri wa nishati na madini ndugu Maselle kuwa serikali inamtaka balozi wa Uingereza nchini kujipima kama bado Ana hadhi ya kuendelea kubaki nchini , na pia imeitaka serikali ya Uingereza kumwondoa nchini mara moja.

Vile vile , imeitaka balozi huyu kwenda wizara ya mambo ya nje kujibu tuhuma za kuihujumu nchi , na hii ni kutokana na yeye balozi kulivalia njuga suala la pesa za IPTL escrow account,

Hii ni twist mpya , ya suala la ufisadi nchini.

its serious , IPTL kuna jambo kubwa sana ambalo hawataki serikali lihojiwe na mtu yeyote yule .
Duh... Sasa hiyo ni kali kuliko!!

Yaani kuhoji account ya Escrow/IPTL iliyohusu ufisadi wa shilibgi bilioni 200 ni kosa la jinai linaloweza hata kukufanya balozi ung'olewe nchini?!!

Sasa ni dhahiri chama kikongwe cha CCM kinaelekea ukingoni wa kutawala nchi hii!!!
 
muhongo unajisifu na uongo wako wa kupeleka umeme vijijini huku tulipo umeme unakatika kila siku na ni mjini kwa siku unakatika mara sita sasa tuambie huo umeme vijijini utawakaje?
 
Huyu Naibu Waziri anataka kuiingiza nchi katika matatizo ya kujitakia tena......he has no right whatsover kumuongelea balozi wa nchi nyingine hivyo...ni breach of diplomatic procedures....actually ni amemuongeleshea Cameron kwa sababu ni mwakilishi wake.....
 
Kama Serikali hii inataka kutafuta uhalali wa kwamba si 'bed fellows' kwa mataifa makubwa ambayo yanashiriki kwenye uporaji mkubwa wa rasilimali zetu unaoendelea nchini kwa sababu ya udhaifu wa serikali hii, ubovu wa CCM na upuuzi wa bunge, basi wangeanza kumfukuza mara moja Balozi wa China aliyeshiriki shughuli za kisiasa za CCM. Kinyume kabisa na Vienna Convention.
 
uhuru wa tanzania unatoka wapi wakati tunaongoza kwa ombaomba kama nchi?na anayesifika kwa kuomba ni JK
 
STEVENE MASELE mbunge wa shinyanga mjini
alimshinda mgombea wa chadema kwa kura 1 kwenye uchaguzi wa mwaka 2010
na mgombea wa chadema kwa sasa ni mwendazake(marehemu)
 
Naamini sisi sote tu wasafiri hapa duniani, hakuna atakayeishi milele, tulikuja kwa udongo tutarudi.kuwa udongo, watawala walioaminiwa hawataki kukosolewa maana wao wanajiona ni zaidi ya Muumba wao,ukitaka kuhoji madudu wanakuona ww ni adui yao, watatenda maovu mengi sana gizani lakini mbele za Mungu watamulikwa, hawataki kukosolewa, wanachokiandika hawataki kibadirishwe na maneno yao wanaamini ni sawa na vitabu vitakatifu, watu wanahitaji majibu juu ya mambo yanayohusu matumizi haramu ya utajiri wa Taifa letu lakini wanapewa majipu,wanahitaji maelezo ya kina lakini wanapewa maelezo ya kima, wanaambiwa ushahidi upo wao wanaamini ni ushudu. Tunaomba watu tujadili kwa mapana na si kwa papara kwani nchi hii ni yetu sote na tukumbuke hata miamba hugeuka na kuwa udongo sembuse sisi wanadamu? Mungu Ibariki Tanzania wabariki watenda haki wote.
 
IPTL , is a nightmare ! Goldernberg scandal iliwaondoa KANU madarakani kule Kenya , ni Singasinga huyu huyu wa IPTL alikuwa shiriki mkuu wa kuiba dola milioni 600 ambazo leo serikali ya uhuru I natakiwa kuzilipa......
 
Waziri,kasema wahisani wanna mikono yao iptl,tukifuatilia sana wahisani watakata mirija.
Me Simon kumbee.
 
Back
Top Bottom