optimus prime
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 401
- 287
Mpumbavu ana tabia ya kushupaa na Mjinga ana tabiakafulila mnasema ni mla rushwa nyie mnaowatetea haowahuni mko sawa?,tuliambiwa baada ya miaka 20 iptl ingekuwa mali ya tanesco hilo mbona leo halisemwi?Itakuwaje mali yenye thamani kubwa kama iptl iuzwe kwa bei hiyo?,wakati pesa zake zilizoko benki zinazidi hiyo bei yake? nchi imejaa wahuni kila sekta leo mnajiorganise kumsakama kafulila iliwanaoibiwa wasije amshwa.
Ni vyema basi watafiti wa masuala ya kisiasa, kiuchumikafulila mnasema ni mla rushwa nyie mnaowatetea haowahuni mko sawa?,tuliambiwa baada ya miaka 20 iptl ingekuwa mali ya tanesco hilo mbona leo halisemwi?Itakuwaje mali yenye thamani kubwa kama iptl iuzwe kwa bei hiyo?,wakati pesa zake zilizoko benki zinazidi hiyo bei yake? nchi imejaa wahuni kila sekta leo mnajiorganise kumsakama kafulila iliwanaoibiwa wasije amshwa.
PAP/IPTL ina dhamira kubwa kwa watanzania na inasononeka kwa kiasi kikubwa na kauli za wanasiasa uchwara wanazotoa dhidi yao kwa lengo la kuichafua heshima iliyojijengea kampuni hiyo mbele ya watanzania kwa umma kuwa ni ovu na hazina tija kwa taifa letu na kuwaomba watanzania kuzipuuza kauli hizo kwa kuwa hazina msingi wowote,kwa kuwa kauli hizo zinatolewa na wanasiasa wanaotumiwa na kampuni pinzani na IPTL ili kuwachafua.
Ni kweli iptl imejitahidi kupunguza machungu ya watanzania wanaoumia na gharama za umeme
Kafulila mpigaji tu hana issue,mchumia tumbo tu kama kwelikafulila mnasema ni mla rushwa nyie mnaowatetea haowahuni mko sawa?,tuliambiwa baada ya miaka 20 iptl ingekuwa mali ya tanesco hilo mbona leo halisemwi?Itakuwaje mali yenye thamani kubwa kama iptl iuzwe kwa bei hiyo?,wakati pesa zake zilizoko benki zinazidi hiyo bei yake? nchi imejaa wahuni kila sekta leo mnajiorganise kumsakama kafulila iliwanaoibiwa wasije amshwa.
Kafulilainabi di afahamu kuwa sio kila mtu ni lazima awe na mawazo na maoni sawa juu yakitu Fulani, kupishana mawazo ndio uhai wa fikra huru, sio kila anayeteteauonevu dhidi ya kampuuni ya IPTL/PAP amejitoa ufahamu kama anavyodai kila mtuana haki ya kuamini na kuunga mkono kile anachokiamini ni sahihi, mimi ninaaminiIPTL/PAP inaonewa na wanasiasa na wafanyabiashara uchwara wenye chuki dhidi yaIPTL/PAP.
kafulila mnasema ni mla rushwa nyie mnaowatetea haowahuni mko sawa?,tuliambiwa baada ya miaka 20 iptl ingekuwa mali ya tanesco hilo mbona leo halisemwi?Itakuwaje mali yenye thamani kubwa kama iptl iuzwe kwa bei hiyo?,wakati pesa zake zilizoko benki zinazidi hiyo bei yake? nchi imejaa wahuni kila sekta leo mnajiorganise kumsakama kafulila iliwanaoibiwa wasije amshwa.
wataumbuka safar hii mpaka bas
Kafulila atakoma kuingilia mambo ya kampuni binafsi, hivi kwani hawezi kupigania viwanda vya mawese vinavyoendela kufilisika kila siku huko kigoma badala ya kuingilia kampuni ambayo iko pale kisheria
Something is really doggy here,its either kafulila alipga hela za symbion kuichafua iptl au kafulila amepata hasira baada ya iptl kugoma kumpa hongo aliyotaka eti asiiharibie iptl,jamaa wakamtosa
Kama kafulila kaisingizia iptl,wamfikishe mahakamani.nami nasema iptl lazima iwajibike kwa dhuma yake kwa wtz.
Kama kafulila kaisingizia iptl,wamfikishe mahakamani.nami nasema iptl lazima iwajibike kwa dhuma yake kwa wtz.
Mwaka 2006 serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Chanzo: GAZETI LA MAJIRA 8th October 2014
http://habarihuru.blogspot.com/2014/10/iptlpap-yamvaa-kafulila.html