IPTL/PAP wamvaa David Kafulila

Nimekupata vizuri sana mkuu! ni mzembe wa kufikiri tu anayeweza kudanganywa na Kafulila na wafadhili wake kuwa fedha za Escrow siyo za Iptl/Pap. kwasisi tunaojisgughulisha kuutafuta ukweli tulishajua siku nyingi kuwa fedha za Escrow ni fedha halali za Iptl
 
tajiri akifika bei kila mmoja ananunulika wasomi njaa kali,nchi hii inamatatizo makubwa mko kushangilia wahuni kisa wanawalipa,haya endeleeni, mamatz subiri maendeleo kizazi kijacho ss tumeshindwa wahuni wengi mno.
 
Kitendo cha kafulila kuzungumzia utendaji kazi wa kampuniya IPTL(CHINI YA PAP) kwa kuihusisha na kampuni ya IPTL chini ya Mechmar na VIPni kuionea PAP na kuikosea kampuni ya PAP/IPTL,NinaaminiIPTL/PAP inaonewa na wanasiasa na wafanyabiashara uchwara wenye chuki dhidi yaIPTL/PAP eiza kwa ulafi walionao ama tamaa zao za fedha,mwa mfano mtu kama kafulila anaonekana kabisa yupo kimaslahi ktk suala hili na ameishahongwa sh.3.1bilion ili alishikie bango na kulisemea ndani ya bunge na ata bunge lijalo anataka aliletee hoja binafsi bungeni.
 
Manka mussa naona umekazana kuwatetea hawa jamaa ww huna uchungu na nchi hii tumbo lako na starehe ni muhimu sana, Madai kwamba kafulila kahongwa milioni 3100 ni ushahidi wa kutokuwa na hofu ya Mungu na kama humwogopi Mungu unawezasema au kufanya chochote mradi lengo lako litimie,wakati iptl inaanzishwa watz tuliambiwa kuwa baada ya miaka 20 iptl ingekuwa handled to tanesco leo tuinapomaliza miaka 20 iptl inauzwa kiajabu ajabu ww unasimama kutetea hali hiyo na uongo kuwa kafulila kahongwa mil 3100,mwogope Mungu duniani tunapita.
 
hakuna lolote wasubiri kuumbuka tu kafulila na washirika wake.
 
tajiri akifika bei kila mmoja ananunulika wasomi njaa kali,nchi hii inamatatizo makubwa mko kushangilia wahuni kisa wanawalipa,haya endeleeni, mamatz subiri maendeleo kizazi kijacho ss tumeshindwa wahuni wengi mno.
ni kweli kabisa mkuu naona ata kafulila ameweza kununuliwa hao mafisadi ili aichafue iptl/pap.
 
massange naona umejiunga jana lazima ni kwa jukumu maalum, ona unavyojaribu kupinda maana yangu ili kusave your purpose.
 
si kweli mkuu,huo ni mtazamo wako tu ila nipo kwaajili ya kuwekana sawa juu ya hili suala maana hata mimi nalifuatilia sana,nimesoma hoja za kafulila kuhusiana na ili jambo pamoja na hoja za iptl/pap kuhusiana na akaunti ya escrow,mikataba yao pamoja na hukumu ya kesi yao waliyoshinda.ni wazi kabisa baadhi yetu hatufahamu undani wa suala hili kwahiyo inatubidi tulifuatilie kwa undani sana ili tujue ukweli.
 
Kwahiyo wewe mtu kutofautiana na mawazo yako anatumika? Acha kujidhalilisha mkuu! Hili ni jukwaa huru kwa mtu kujadili hoja bila kuhofu na matusi ya wavivu wa kujenga hoja kama wewe.
 
tajiri akifika bei kila mmoja ananunulika wasomi njaa kali,nchi hii inamatatizo makubwa mko kushangilia wahuni kisa wanawalipa,haya endeleeni, mamatz subiri maendeleo kizazi kijacho ss tumeshindwa wahuni wengi mno.

Kwan mkuu humu watu wanashangili au wanaangalia hoja za kila upande then kila mtu anachagua sehemu ya kushabika!
Itakuwa mkuu umekalilishwa na ndo maana utaki ata kujishughulisha kwenye kutafuta ukweli
Pole sana mkuu
 
massange naona umejiunga jana lazima ni kwa jukumu maalum, ona unavyojaribu kupinda maana yangu ili kusave your purpose.

Mkuu mdaa wa mtuu kujiunga aimanishi ndo asichangie
Kinachotakiwa ni point zake ziwe za mashiko tu that is only
 
Mkuu kila mtu anauchungu na inch tena sana ila kwa hili kafulila kaboa sana na katu atutakuja kumsamehe maana iawezekan achukue pesa zen aje kupindisha ukweli kwa ajili ya maslai yake binafsi
 
Kumbe nguvu ya hoja ya mtu inapimwa na tarehe ya kujiunga?, kuna watu wako jf toka 2006 na hakuna anachopost cha maana
 
Kwahiyo wewe mtu kutofautiana na mawazo yako anatumika? Acha kujidhalilisha mkuu! Hili ni jukwaa huru kwa mtu kujadili hoja bila kuhofu na matusi ya wavivu wa kujenga hoja kama wewe.

Haina haja ya kubishana na watu wenye ufinyu wa fikra
 
Mkuu kila mtu anauchungu na inch tena sana ila kwa hili kafulila kaboa sana na katu atutakuja kumsamehe maana iawezekan achukue pesa zen aje kupindisha ukweli kwa ajili ya maslai yake binafsi

kafulila mchumia tumbo tu,anapotosha umma kwa tamaa zake za fedha,amelipwa mabilioni ya hela huko anakuja kutuletea porojo zake za kinafki hapa,apeleke utumbo wake huko yeye anadhani kila mtu mbulula humu.
 
siyo bure post nyingi hizi ni alama tosha kuwamko kazini kuwateteahawa wezi.

si kweli mkuu....huo utakuwa ni mtazamo wako tu na si kila jambo ama hoja kuipinga ama kuiunga mkono ina maslahi ama watu wapo kazini kama unavyodai mkuu.
 
Kwahiyo wewe mtu kutofautiana na mawazo yako anatumika? Acha kujidhalilisha mkuu! Hili ni jukwaa huru kwa mtu kujadili hoja bila kuhofu na matusi ya wavivu wa kujenga hoja kama wewe.

Kabisa Mkuu katumbili,huu ni upuuzi tu wa watu wachache kudhani kila mwenye mawazo huru anatumika,hatuwezi kuwa sawa kifikra bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…