Kaziambie pia na nchi za Wafadhili kwamba hizo bilioni 200 hazikuibiwa ili watoe hizo shilingi Trilioni moja. Kamwambie pia Hosea wa TAKUKURU aliyetamka hadharani kwamba waliohusika na huo wizi wote watapandishwa kizimbani na wale waliopokea mgao ikiwemo mama fisadi Tibaijuka watatakiwa warudishe pesa hizo mara moja. Na kwa taarifa yako bank account ya mwizi Rugemarila kule Netherlands yenye $65 millioni imekuwa frozen. Bado ushahidi wote huu mnakuja hapa kutaka kupotosha ukweli kuhusu wizi huu kwa umma wa Watanzania.
KAMPUNI ya kufua umeme IPTL/PAP sasa imezidi kufahamika kuwa haina kesi au mgogoro wowote mahakamani baina yake na Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO), imefahamika.
Hali hiyo imekuja wakati kukiwepo na habari katika mitandao na baadhi ya vyombo vya habari(isipokuwa gazeti hili) kuwa IPTL/PAP haikustahili kulipwa malipo ya ESCROW kwa kuwa kuna kesi mahakamani.
Taarifa zaidi zinaeleza kesi hiyo inadaiwa imefunguliwa na TANESCO kuhusiana na ukubwa wa gharama za uendeshaji Capacity charge unaofanywa na Kampuni ya IPTL.
Hata hivyo, taarifa zaidi kuhusiana na suala hilo, zinasema kwamba kesi hiyo ilishatolewa hukumu yake tangu 2001, ambapo Mahakama ya Kimataifa ya usuluhishi wa kibiashara ICSID iliagiza IPTL ishushe gharama zake kutoka dola milioni 4.2 hadi dola milioni 2.6 kwa mwezi.
Taarifa zilisema baada ya kumalizika kwa kesi hiyo, ndipo kukazuka mgogoro mwingine wa kimaslahi baina ya waliokuwa wabia wa IPTL, ambao ni Kampuni ya VIP na Mechmar ya nchini Malaysia uliopelekea VIP kuomba kampuni ifilisiwe na isilipwe hata thumni na TANESCO.
Kutokana na maombi hayo ya kampuni ya VIP, Mahakama Kuu iliamriwa kufunguliwa kwa akaunti maalumu itakayokuwa inatunza fedha zinazolipwa na TANESCO kwa ajili ya huduma ya umeme inayotumia.
Katibu na Mwanasheria wa Kampuni ya IPTL, PAP, Joseph Makandege alisema hawana kesi na TANESCO na anashangazwa na taarifa zinazotolewa.
Si kweli kwamba ESCROW akaunti ilifunguliwa kutokana na maombi ya TANESCO kuhusiana na mgogoro wa capacity charge, Kesi ya TANESCO iliisha 2001, na akaunti ya ESCROW ilifunguliwa kwa hukumu ya 2006,alisema.
Aliongeza; VIP ndio waliomba kufunguliwa kwa ESCROW, hivyo kusema kwamba TANESCO na IPTL kuna kesi ni upotoshaji unaopaswa kukemewa,.
Makandege, alisema kesi iliokuwepo kwa sasa ni ya mgogoro wa umiliki kati PAP/IPTL na benki ya Standard Chartered ya Hongkong inayodai kununua deni la Kampuni ya Mechmar ya Malaysia.
Kesi kati ya Standard Chartered na IPTL/PAP haihusiani na TANESCO na wawaache TANESCO watimize wajibu wao na sisi tuyatimiza wajibu wetu kwa Watanzania na tutapambana mahakamani,alisema Makandege kwa kujiamini.
Hivyo, alisema wanaolalamika kwamba PAP/IPTL imelipwa kwa makosa wao ndio wanafanya makosa ya kupotosha ukweli wa suala hilo au labda waeleze kwamba Standard Chartered ni Shirika la Umma.
CHANZO: Majira
Huna uwezo wa kumpa somo yeyote hapa wewe mchumia tumbo. Ungekuwa si mpumbavu basi siku zote ungejali maslahi ya nchi yako badala ya yale ya mafisi na mapanya. Naona umeshahamia kwenye ID nyingine!!! Halafu unadai wewe si mpumbavu lol!!
Kaziambie pia na nchi za Wafadhili kwamba hizo bilioni 200 hazikuibiwa ili watoe hizo shilingi Trilioni moja. Kamwambie pia Hosea wa TAKUKURU aliyetamka hadharani kwamba waliohusika na huo wizi wote watapandishwa kizimbani na wale waliopokea mgao ikiwemo mama fisadi Tibaijuka watatakiwa warudishe pesa hizo mara moja. Na kwa taarifa yako bank account ya mwizi Rugemarila kule Netherlands yenye $65 millioni imekuwa frozen. Bado ushahidi wote huu mnakuja hapa kutaka kupotosha ukweli kuhusu wizi huu kwa umma wa Watanzania.
Acha upumbavu wewe!!!! Kulala kwangu hakukuhusu lolote. Wafadhili wamekataa kutoa almost $600 million mpaka wajue kinaga ubaga cha wizi huu wa shilingi 200 bilioni na wewe mchumia tumbo uko busy kutaka kuvuruga ukweli wa mambo. Hujitambui kabisa mpumbavu wewe!!! Mxciuuuuu haya kabadilishe utumie ID nyingine na huo upumbavu wako wa kuandika kwa kutumia capital letters achana nao. Pumbaf mkubwa wewe. Kama mlidhani mtachonga IDs 10,000 na kuja hapa kutukana watu, kudhalilisha watu ili mpotoshe ukweli kuhusu wizi huu mkubwa basi imekula kwenu. Haya kakojoe ukalale sasa.
yani huyu mtu haelewiki ata kidogo yani mtu ukiwa makin kufatilia hii isue unatajua kama jamaa anatumika na baadhi ya watuMATUSI YAKO HAYAWEZI KUTUKATISHA TAMAA KUUPELEKA UKWELI HUU MBELE YA UMMA;
mkuu wewe ni mgumu kuelewa, embu soma hapo chini;
(i)which was meant to support the country's 2014/15 general budget, has been suspended pending the release of the IPTL probe reports.
(ii)The donors, said the Finland ambassador, would for the time being wait for the final CAG report before making any categorical commitment to support the national budget.
(iii) "Development partners are now awaiting the CAG report and information about its key findings, as well as a response from government, which will determine our decisions on further disbursements," said the envoy.
Ni sahihi kabisa kwa baadhi ya DONORS kukataa kuchangia bajeti yetu, hata ningekuwa mimi ningefanya hivyo. Donors wamefanya kama serikali ilivyofanya KAFULILA kapiga kelele wakarespond kwa kuanzisha uchunguzi kupitia vyombo vyao vya CAG na PCCB, na ndio DONORS walivyofanya Kwakuwa kunauchunguzi wa ufisadi kwanini walete fedha zao wameamua kusubili uchunguzi wa CAG, simple and clear tatizo mnataka kupotosha umma kuwa kusimishwa hiyo misaada kuna maana kuwa kuna ufisadi hapana ukisoma hizo point tatu hapo juu utaelewa vizuri, Donors wanataka kwanza kujilizisha je kweli hakuna ufisadi hapa, wala Donors hawaconclude kuwa kuna ufisadi ndio maana hatutoi fedha zetu. Tatizo umeamua kwa makusudi kupotosha umma kwa kubeba ajenda ya Kafulila, kumbuka tunazungumzia escrow account, labda kama hujui chochote kuhusu escrow agreement ndio unaweza sema hizo fedha ni za umma, lakini kama unajua escrow agreement huwezi kuja na kusema fedha ni za umma. Tafuta taarifa sahihi za escrow agreement, wadau wa escrow agreement, nini chanzo cha escrow agreement alfu unganisha na kauli ya IPTL/PAP kuwa hawana kesi na TANESCO, kitu ambacho pia Kafulila anapotosha mpaka leo anadai kuwa IPTL na TANESCO wanakesi mahakamani. Niuongo mtupu kusema TANESCO wana kesi na IPTL. msome kafulila hapo chini, rejea Gaeti la Rai Mwema oktoba 1-oktoba 7,2014
Mwenzako kafulila anadai fedha hizo ni za standard chartered-Hong kong, kashaama kule alikokuwa anasema fedha hizo ni za umma, anasema ni za standard chartered sababu walinunua deni la wabia wa IPTL ambao ni Mechmar. Kafulila anacomment mpaka kuchukua mali za nIPTL kama fedha ya escrow account isingetosha kuwalipa standard chartered. Ukimsoma vizuri kwenye hilo gazeti bado kafulila atakuchanganya zaid kwa kusema kuwa Prof. Muhongo alisema uongo kwakudai kuwa fedha za escrow ni za VIP na Mechmar, yeye Kafulila amasema fedha za escrow account ni za IPTL na TANESCO. Sasa we mkuu umemsikia nani akisema fedha za escrow ni za umma?? Tusijadiri kwa misingi ya kisiasa eti kwa kuwa Kafulila kasema ni scandal ndio na sisi tuibebe hapana na ndio maana waelevu wamekaa kimya wanamwacha Kafulila aropoke tu.
Tatizo unakuja na evidence za raia mwema wakati habari yenye imeandikwa na mwandishi wetu wakati ww mwenye upendagi hizo habari
Acha nikukumbushe kidogo
Sasa hii habari mbona magazeti yote imeandaliwa na mwandishi wetu ? Ndio matumizi ya mabilioni yetu yanafanya kazi ....
Kwa taarifa yako sijawahi kuweka ushahidi wa Raia mwema hapa, tangu lini Raia mwema limekuwa gazeti linaloandikwa kwa Kiingereza? Na Wafadhili kukataa kutoa trilioni moja pamoja na Edward Hosea kutamka hadharani kwamba wahusika wa mgao wa pesa za wizi wote warudishe pesa mara moja na watapandishwa kizimbani huo nao haukotoshi? Na Serikali kuamua kufreeze bank account ya Rugemarila kule Netherlands yenye $65 million bado tu huridhiki?
Tatizo mkuu unakuja na evidence za raia mwema ndo tatizo lako!
katika mabaloz wa inchi wahisan wanasema kama unaufisadi ila hawana uwakika na accordng to raia mwema wanasema kabisa kwamba wanavyofahamu wao ni wahisan awatatoa msaada wa ml 125 za kimarekani na vilevile habali yenyewe imeletwa na mwandishi wetu ambayo kwa mtazamo wangu itakuwa aina uwakika na sio mimi tu ata accordng to HAKI SAWA huwa huyu jamaa aminigi kabisa habari za mwandishi wetu ata wewe mwenyewe BAK uwaminigi habari za mwandishi wetu lakin leo hii unakuja hapa na evidence za mwandishi wetu mbona mkuu uwaminiki sasa
Mkuu mbona unajisema mwenye sasa na wakati watu wanajua mchezo wako humu ndani na wale walio kutuma tunawaju
Ila labda nikufumbue macho tu kwenye hili swala japo kuwa wewe bishi kwa hapa amna ufisad wowote ulifanyika bali ni ugomvi wa maslai baina ya wafanya biashara waliogombania hii tenda iliyotangazwa na tanesco
Ila kingine kwani kwenye hii issue ni kama ya kitaifa kwann awe kafulila tu ndo anapamba ebu jaribu kufikilia mkuu kunakitu gani nyuma ya pazia
Kaa chini tafakali
ushahidi ni ushahidi tu, BAK hua anaokoteza ushahidi wa makala za Shujaa Zitto, wala sio raia mwema
Jamani msimpanikishe huyu BAK/man
By Antmatter
Dar es Salaam. It is now official. Development partners (DPs) have not released even a single dollar out of the $558 million (Sh937 billion), that had been pledged to boost Tanzania's 2014/15 Budget. They will only give it out upon seeing-and being satisfied with-the outcome of the investigations into the controversial payments of Independent Power Tanzania Limited (IPTL) escrow monies to Pan Africa Power Solutions Tanzania Limited (PAP).
The DPs chairperson, Finnish Ambassador to Tanzania Sinikka Antila, yesterday confirmed to The Citizen that the nearly Sh1 trillion, which was meant to support the country's 2014/15 general budget, has been suspended pending the release of the IPTL probe reports.
Ms Antila told this paper that the donor community was concerned over how the escrow monies were paid to the company that claims to have bought 70 per cent shares of IPTL, which were held by a Malaysian firm, Mechmar Berhad Corporation.
The donors, said the Finland ambassador, would for the time being wait for the final CAG report before making any categorical commitment to support the national budget.
"Budget support development partners in Tanzania take the emerging IPTL case with the utmost seriousness and are carefully monitoring its development as the case involves large amounts of public funds," she said.
"We meet with the government regularly to discuss budget support issues," said Ms Antila.
According to Ms Antila, in March 2014, firm commitments for budget support in the financial year 2014/15, worth $558 million, were communicated to the government with the caveat that releases would be informed by developments in relation to the IPTL case.
She said the DPs' contribution to the budget finances stands at approximately five per cent of the national public expenditure programme.
"Development partners are now awaiting the CAG report and information about its key findings, as well as a response from government, which will determine our decisions on further disbursements," said the envoy.
On Sunday, the Kigoma South MP, Mr David Kafulila (NCCR-Mageuzi), told reporters that donors, especially those in EU countries, were withholding funds meant to support the 2014/15 Budget pending the release of the two probe reports on the $250 million in escrow monies, part of which was paid directly to Pan Africa Power Solutions Tanzania Ltd (PAP) after the company claimed it has bought 70 per cent shares in Independent Power Tanzania Limited (IPTL). "If the government fails to take serious measures against the culprits, its obvious donors will not release funds," he said,
Earlier this year, Mr Kafulila took the matter to Parliament following an expose of the multibillion scandal by The Citizen newspaper.
The MP further threatened that if the government fails to release the two reports, he would move a motion of no-confidence against either Prime Minister Mizengo Pinda-who also defended the deal before the House-or the President.
The Citizen 8/10/14
Hii ni habari njema lakini hatuweza kubeba hii habari na kuipotosha kwa umma kwamba kwa sababu donors wanataka uthibitisho wa matumizi mazuri ya pesa zao ndio iwe uthibitisho kuwa kuna wizi au ufisadi hapana maana hii ndio theory kafulila anayojaribu kuijenga, hapana huo ni upotoshaji mkubwa. Donors kama ilivyofanya serikali imemsikilza Kafulila na imefanyia kazi kwa kuanzisha uchunguzi kwa kutumia vyombo vyake ambavyo ni PCCB na CAG. Na DONORS wanasubiri findings za hiyo ripoti na hatua zitazo chukuliwa. TUSIPOTOSHE UMMA, DONORS KUSUBILI RIPOTI HAKUMAANISHI KUWA KUNA UNAUFISADI LAKINI KWA KUWA KUNA KELELE ZA KAFULILA BASI LAZIMA WAFANYIE KAZI KAMA ILIVYOFANYA SERIKALI. TUMSHUKURU KAFULILA KWA HILI ILA TUKUMBUKE MWISHO WA SIKU HUU UCHELEWESHAJI WA UTEKELEZAJI UMELETWA NA KAFULILA KWAHYO WANACHI TUJIANDAE ADHABU YA KUMPA KAFULILA KWA KUTUCHELEWESHEA UTEKELEZAJI WA BAJETI.
pendolyimo and pitapiti like this.