kamati ya ufundi
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 416
- 441
Kafulila anazungumziaje tuhuma za yeye kupokea
milioni tisini kutoka kwa wafanyabiashara wakubwa
walioathirika na kitendo cha waziri mpya wa nishati na
madini sospeter muhongo kufunga mirija ya kifisadi
waliyokuwa wanatumia kujinufaisha na kuifilisi nchi
(rostam,mengi,mkono) ili awachafue na kuwakomoa muhongo
na katibu wake maswi?
Si kweli kwamba ESCROW akaunti ilifunguliwa
kutokana na maombi ya TANESCO kuhusiana na
mgogoro wa capacity charge, Kesi ya TANESCO
iliisha 2001, na akaunti ya ESCROW
ilifunguliwa kwa hukumu ya 2006,alisema.
Aliongeza; VIP ndio waliomba kufunguliwa kwa
ESCROW, hivyo kusema kwamba TANESCO na IPTL
kuna kesi ni upotoshaji unaopaswa
kukemewa,.
Makandege, alisema kesi iliokuwepo kwa sasa
ni ya mgogoro wa umiliki kati PAP/IPTL na
benki ya Standard Chartered ya Hongkong
inayodai kununua deni la Kampuni ya Mechmar
ya Malaysia.
Kesi kati ya Standard Chartered na IPTL/PAP
haihusiani na TANESCO na wawaache TANESCO
watimize wajibu wao na sisi tuyatimiza wajibu
wetu kwa Watanzania na tutapambana
mahakamani,alisema Makandege kwa kujiamini.
Hivyo, alisema wanaolalamika kwamba PAP/IPTL
imelipwa kwa makosa wao ndio wanafanya makosa
ya kupotosha ukweli wa suala hilo au labda
waeleze kwamba Standard Chartered ni Shirika
la Umma.
Wabunge kama kina Kafulila wanaonyesha jinsi gani walivyofilisika kisiasa kwa kushindwa kutatua kero za wananchi kwenye majimbo yao na kubeba ajenda zenye maslahi binafsi kwa kujadiri uendeshaji wa kampuni binafsi. Wameshindwa kujadir mashirika ya umma mpaka leo yapo taabani na hakuna hata kesi moja mahakamani inayohusiana na mshirika hayo mfano ATC, TRL, TTCL ipo taabani inajikongoja na mengineyo mengi. Midomo yao wakilala IPTL, wakiamka IPTL. Hawana kazi nyingine hawa wabunge??? zaidi ya hii ya upotoshaji!
View attachment 191030
jamani inayosemwa inaidai IPTL imeshatoa kauli kuwa hawaida IPTl,kafulila anadanganya sana ndugu zetu,IPTL iko safi kabisa
Kafulila ni mchumia tumbo tu then anataka kuwaaminishaWabunge kama kina Kafulila wanaonyesha jinsi gani walivyofilisika kisiasa kwa kushindwa kutatua kero za wananchi kwenye majimbo yao na kubeba ajenda zenye maslahi binafsi kwa kujadiri uendeshaji wa kampuni binafsi. Wameshindwa kujadir mashirika ya umma mpaka leo yapo taabani na hakuna hata kesi moja mahakamani inayohusiana na mshirika hayo mfano ATC, TRL, TTCL ipo taabani inajikongoja na mengineyo mengi. Midomo yao wakilala IPTL, wakiamka IPTL. Hawana kazi nyingine hawa wabunge??? zaidi ya hii ya upotoshaji!
View attachment 191030
kampuni ya kufua umeme iptl/pap sasa imezidi kufahamika kuwa haina kesi au mgogoro wowote mahakamani baina yake na shirika la umeme tanzania(tanesco), imefahamika.
hali hiyo imekuja wakati kukiwepo na habari katika mitandao na baadhi ya vyombo vya habari(isipokuwa gazeti hili) kuwa iptl/pap haikustahili kulipwa malipo ya escrow kwa kuwa kuna kesi mahakamani.
taarifa zaidi zinaeleza kesi hiyo inadaiwa imefunguliwa na tanesco kuhusiana na ukubwa wa gharama za uendeshaji capacity charge unaofanywa na kampuni ya iptl.
hata hivyo, taarifa zaidi kuhusiana na suala hilo, zinasema kwamba kesi hiyo ilishatolewa hukumu yake tangu 2001, ambapo mahakama ya kimataifa ya usuluhishi wa kibiashara icsid iliagiza iptl ishushe gharama zake kutoka dola milioni 4.2 hadi dola milioni 2.6 kwa mwezi.
taarifa zilisema baada ya kumalizika kwa kesi hiyo, ndipo kukazuka mgogoro mwingine wa kimaslahi baina ya waliokuwa wabia wa iptl, ambao ni kampuni ya vip na mechmar ya nchini malaysia uliopelekea vip kuomba kampuni ifilisiwe na isilipwe hata thumni na tanesco.
kutokana na maombi hayo ya kampuni ya vip, mahakama kuu iliamriwa kufunguliwa kwa akaunti maalumu itakayokuwa inatunza fedha zinazolipwa na tanesco kwa ajili ya huduma ya umeme inayotumia.
katibu na mwanasheria wa kampuni ya iptl, pap, joseph makandege alisema hawana kesi na tanesco na anashangazwa na taarifa zinazotolewa.
si kweli kwamba escrow akaunti ilifunguliwa kutokana na maombi ya tanesco kuhusiana na mgogoro wa capacity charge, kesi ya tanesco iliisha 2001, na akaunti ya escrow ilifunguliwa kwa hukumu ya 2006,alisema.
aliongeza; vip ndio waliomba kufunguliwa kwa escrow, hivyo kusema kwamba tanesco na iptl kuna kesi ni upotoshaji unaopaswa kukemewa,.
makandege, alisema kesi iliokuwepo kwa sasa ni ya mgogoro wa umiliki kati pap/iptl na benki ya standard chartered ya hongkong inayodai kununua deni la kampuni ya mechmar ya malaysia.
kesi kati ya standard chartered na iptl/pap haihusiani na tanesco na wawaache tanesco watimize wajibu wao na sisi tuyatimiza wajibu wetu kwa watanzania na tutapambana mahakamani,alisema makandege kwa kujiamini.
hivyo, alisema wanaolalamika kwamba pap/iptl imelipwa kwa makosa wao ndio wanafanya makosa ya kupotosha ukweli wa suala hilo au labda waeleze kwamba standard chartered ni shirika la umma.
chanzo: majira
bravo kabisa kabisa. Tuikomeshe hii tabia ya kuwafanya watanzania watu wa kubebesha mizigo ya ujinga kila leo.
bravo kabisa kabisa. Tuikomeshe hii tabia ya kuwafanya watanzania watu wa kubebesha mizigo ya ujinga kila leo.
kaka shadow, sijasahau ahadi yako ya kumkimbiza huyu mpotoshaji Kigoma kusini 2015, tumkoseshe hicho kiropokeo akaendeshe shule yake aliyofadhiriwa na wakina MKONO,MENGI na ROSTAM.
Embu huko! usinipake tongotongo mie. Umekuwa kama jiwe uelezwe nini uelewe. mbwi mbwi mbwi mbwi!! toa uchafu wako.
Kumbe ESCROW akaunti ilifunguliwa kutokana na maombi ya TANESCO kuhusiana na mgogoro wa capacity charge, Kesi ya TANESCO iliisha 2001, na akaunti ya ESCROW ilifunguliwa kwa hukumu ya 2006, na VIP ndio waliomba kufunguliwa kwa ESCROW, hivyo kusema kwamba TANESCO na IPTL kuna kesi ni upotoshaji unaopaswa kukemewa, Na kesi iliokuwepo kwa sasa ni ya mgogoro wa umiliki kati PAP/IPTL na benki ya Standard Chartered ya Hongkong inayodai kununua deni la Kampuni ya Mechmar ya malaysia?sasa nadhani kitakuwa kimeeleweka kwa ufafanuzi huu,kazi kwenu sasa msioelewa.
kesi kati ya standard chartered na iptl/pap haihusiani na tanesco na wawaache tanesco watimize wajibu wao na sisi tuyatimiza wajibu wetu kwa watanzania na tutapambana mahakamani,alisema makandege kwa kujiamini
KAMPUNI ya kufua umeme IPTL/PAP sasa imezidi kufahamika kuwa haina kesi au mgogoro wowote mahakamani baina yake na Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO), imefahamika.
Hali hiyo imekuja wakati kukiwepo na habari katika mitandao na baadhi ya vyombo vya habari(isipokuwa gazeti hili) kuwa IPTL/PAP haikustahili kulipwa malipo ya ESCROW kwa kuwa kuna kesi mahakamani.
Taarifa zaidi zinaeleza kesi hiyo inadaiwa imefunguliwa na TANESCO kuhusiana na ukubwa wa gharama za uendeshaji Capacity charge unaofanywa na Kampuni ya IPTL.
tumefika mahali watanzania tumekuwa kama wale watu
wanaogombania bakuli za supu kwa ng'ombe ambaye
hajachinjwa na pengine hajatolewa hata zizini,fikiri kama
ng'ombe atakata kamba au kutoroka zizini itakuaje?
Watanzania inatubidi tuwe makini sana na viongozi wetu
hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu 2015,kuna
viongozi watazuka tu na migogoro ya hapa na pale ili watafute
jina lake kusikika kwa jamii(kick) kwa vitu vya kweli au
uongo ilimradi tu asikike kwenye vyombo vya habari na
kwenye mitandao ya kijamii.
Umegusa nnapopataka mkuu, na hiki ndio kinachotokea leo Kafulila kajitoa ufahamu kabisa kila siku anaibuka na dudu jipya mara CAG kastaafishwa, mara ripoti inachakachuliwa, mara kuna mpango wa kuzuia ripoti isijadiriwe bungeni na maneno mengine mengi. Hizi ni dalili kuwa Kafulila analazisha mjadala usio na maslahi kwa taifa. Nandio maana kwenye hili sakata anapigana peke yake hana sapoti kutoka kokote kule, hana sapoti ya umma, civil society zimekaa kimya hata vyama vya upinzani vimekaa kimya. Tunajua kama kungekuwa hoja yenye mashiko vyama vya upinzani visingekaa kimya lazima vingeichukua hii hoja kuelekea 2015.
Kesi kati ya Standard Chartered na IPTL/PAP haihusiani na TANESCO na wawaache TANESCO watimize wajibu wao na sisi tuyatimiza wajibu wetu kwa Watanzania na tutapambana mahakamani,alisema Makandege kwa kujiamini
tumefika mahali watanzania tumekuwa kama wale watu
wanaogombania bakuli za supu kwa ng'ombe ambaye
hajachinjwa na pengine hajatolewa hata zizini,fikiri kama
ng'ombe atakata kamba au kutoroka zizini itakuaje?
Watanzania inatubidi tuwe makini sana na viongozi wetu
hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu 2015,kuna
viongozi watazuka tu na migogoro ya hapa na pale ili watafute
jina lake kusikika kwa jamii(kick) kwa vitu vya kweli au
uongo ilimradi tu asikike kwenye vyombo vya habari na
kwenye mitandao ya kijamii.