IPTL/PAP: Hatuna kesi na TANESCO

Kuna watu hawajielewi kabisa nawaambia,kubishana nao ni kupoteza nguvu yako bure

VIP ndio waliomba kufunguliwa kwa ESCROW, hivyo kusema kwamba TANESCO na IPTL kuna kesi ni upotoshaji unaopaswa
kukemewa kwa hali juu kabisa.upotoshaji huu si mzuri kwa jamii maana unaweza kuleta chuki na mwishowe kukawa na machafuko ya hapa na pale.
 
VIP ndio waliomba kufunguliwa kwa ESCROW, hivyo kusema kwamba TANESCO na IPTL kuna kesi ni upotoshaji unaopaswa
kukemewa kwa nguvu zote.
 

kikao gani mkuu?mbona mambo yote yapo wazi kuwa kafulila anatumika juu ya hili suala la IPTL/PAP?
 
Kafulila jasho litamtoka mwaka huu! watu hawacheki na kenge ni kuumbua tu kwa kwenda mbele, ktumika kubaya sana ametumika bila kujua anajimaliza kisiasa kama ndg yake zzk
umeona eeh....jasho lazima limtoke mwaka huu.karikoroga mwenyewe ni lazima alinywe.
 

Kafulila ni mpigaji nimesema hili mara nyingi tu
 

Huu utabaki kuwa ukweli
 

Ukweli milele, mtapiga kelele, mpaka mtachoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…