IPTL/PAP: Hatuna kesi na TANESCO


Kitendo cha kafulila kuzungumzia utendaji kazi wa kampuniya IPTL(CHINI YA PAP) kwa kuihusisha na kampuni ya IPTL chini ya Mechmar na VIP ni kuionea PAP na kuikosea kampuni ya PAP/IPTL,Ninaamini IPTL/PAP inaonewa na wanasiasa na wafanyabiashara uchwara wenye chuki dhidi yaIPTL/PAP either kwa ulafi walionao ama tamaa zao za fedha,kwamfano mtu kama kafulila anaonekana kabisa yupo kimaslahi ktk suala hili na ameishahongwa sh.3.1bilion ili alishikie bango na kulisema ndani ya bunge na ata bunge lijalo anataka aliletee hoja binafsi bungeni.
 
mkuu mbona kafulila kashapotea zaman
 

Msidanganye umma wahisani wanasubiri ripoti kujua kama Kuna ufisadi kwenye malipo ya escrow au la!,msiwalishe maneno wahisani ili kupotosha umma
 

Kweli mkuu hatuhitaji siasa uchwara
 
Na kweli ameamua kukimbia kabisa labda ameenda kujipanga upya na washirika wake(matumbili wenzake).watutolee upuuzi wao huo...wameramba mabilion huko wanataka kutulisha uongo wao wa kutunga,wapeleke uongo wao uko uko.

We umemsikia tena kafulila toka agomewe na wanavyuo kuunganishwa kwenye kesi yake
 
Tanesco wawe na kesi vipi tena?.wakati kesi yenyewe ilishatolewa hukumu yake tangu 2001, ambapo Mahakama ya Kimataifa ya usuluhishi wa kibiashara ICSID iliagiza IPTL ishushe gharama zake kutoka dola milioni 4.2 hadi dola milioni 2.6 kwa mwezi.
 
hakuna kesi hapo kinachofanyika ni majungu tu ya wafanyabiasha uchwara wakisaidiwa na wanasiasa uchwara kama kafulila.
 
naona kuna watu washapata ripot!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
du kweli bongo nomaa sana
 
naona kuna watu washapata ripot!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
du kweli bongo nomaa sana

umeona eeh.....kuna watu wanayo tayari ripot ndio maana wanajidai,sasa si watuwekee humu na sisi tuione na kuisoma.
 

Mnaolalamika kwamba PAP/IPTL imelipwa kwa makosa nyie ndio mnaofanya makosa ya kupotosha ukweli wa suala hilo au labda waeleze kwamba Standard Chartered ni Shirika la Umma.
 
Mnaolalamika kwamba PAP/IPTL imelipwa kwa makosa nyie ndio mnaofanya makosa ya kupotosha ukweli wa suala hilo au labda waeleze kwamba Standard Chartered ni Shirika la Umma.

tanesco inakuaje wanakuwa na kesi na iptl?naomba kujuzwa wakuu.
 
Mnaolalamika kwamba PAP/IPTL imelipwa kwa makosa nyie ndio mnaofanya makosa ya kupotosha ukweli wa suala hilo au labda waeleze kwamba Standard Chartered ni Shirika la Umma.

Kuna watu wamelipwa na wanasiasa uchwara ili kuchafua taswira nzuri ya iptl
 
Huo ni uzushi unaosambazwa na wanasiasa uchwara,ripoti haijakamilika na haijatoka

Nilichokuja kugundua,siasa za upinzani kibongobongo ni kama vibweka..Mtu anatafuta umaarufu kwa lazima,hujafanya uchunguzi una conclude, haya ripoti kama mnayo si iwekwe humu,mbona hyo ni kazi rahs sana...Wanasiasa wanafiki kama hawa sio wa kuwaa dhamana kabisa
 
Hivi MODS wa jukwaa hili ndiyo nani vile!
Maana naona mwelekeo mbaya !



[h=4]19th October 2014
[/h]
  • 17:10 - Deleted Posts
  • 15:05 - Deleted Posts
  • 15:01 - Deleted Posts
  • 14:59 - Deleted Posts
  • 14:43 - Deleted Posts
  • 13:09 - Deleted Posts

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…