IPTL/PAP: Hatuna kesi na TANESCO



pigo lingine kwa wafadhiri wa KAFULILA,

Kafulila mpigaji tu hana issue,mchumia tumbo tu kama kweli
si mchumia tumbo akanushe hapa kuhusu tuhuma za yeye
kupokea milioni tisini kutoka kwa wafanyabiashara wakubwa
walioathirika na kitendo cha waziri mpya wa nishati na
madini sospeter muhongo kufunga mirija ya kifisadi
waliyokuwa wanatumia kujinufaisha na kuifilisi nchi
(rostam,mengi,mkono) ili awachafue na kuwakomoa muhongo
na katibu wake maswi?
 
i)which was meant to support the country's 2014/15 general budget, has been suspended pending the release of the IPTL probe reports.

(ii)The donors, said the Finland ambassador, would for the time being wait for the final CAG report before making any categorical commitment to support the national budget.

(iii) "Development partners are now awaiting the CAG report and information about its key findings, as well as a response from government, which will determine our decisions on further disbursements," said the envoy.

USIPOTOSHE UMMA , DONORS WANASUBIRI RIPOTI YA CAG, THIS DOES NOT MEAN WAMECONCLUDE KUWA KUNA UFISADI. DONORS WANASUBIRI FINDS ZA CAG NA KAMA KUNA UFISADI KWELI NI HATUA GANI ZITACHUKULIWA. HIKI NDIO KAFULILA ALICHOFAULU KUKIFANYA, UJINGA WAKE YEYE WA MASLAHI YAKE UNALIUMIZA TAIFA. KAFULILA TUTAMUHUKUMU WATANZANIA KWA KUTUCHELEWESHEA WATANZANIA UTEKELEZAJI WA BAJETI YETU. UPUUZI WA KAFULILA UNAWAGHARIMU MPAKA SHANGAZI ZAKE KAKONKO KULE.
 
Hujitambui wewe mtoto wa vichochoroni kamtafute kwanza mama yako aliyekutelekeza na uachane na huu upumbavu wako wa kuisaliti nchi rudi vichochobi karikaoo ukauze unga paka mweusi kibaraka na masaliti mkubwa.
yani siku hizi umekuwa kama shost wangu flani anapenda umbeambea tu
 
Mkatafute kick nyingine ziwabusti kisiasa mkome kujadiriIPTL/PAP, siyo mali ya umma hii ni kampuni binafsi. Mmeshindwa kuhoji mashirikayetu ya umma mengi yamekufa mengine yapo taabani mnakomaa na IPTL/PAP.Wanasiasa uchwara nyie. Rudini kwenye majimbo yenu mkawaongoze wapiga kulawenu.
 
Ni lazima tufike mahali tujenge mazoea ya kuwa na uvumilivu wa kisiasa tunapojadili masuala ya msingi kama haya, na si ushindani wa kishabiki
 
Kati ya mleta mada hii,na kafulila ni nani anatumika?

Wewe huwezi kujiuliza ni kwa nini nchi wahisani wamegomea kutokea michango yao ambayo ilikuwa ikifikiwa kama bilioni 900,hadi pale serikali itakapotoa maelezo kuhusiana na sakata hili.

Na kwa hali halisi serikali imepata kigugumizi kulingana hali ilivyo tete na wahisani wanaelewa kwa undani kuliko mimi na wewe
 

Huwa wanaelewa sana sema wanajidai hawaelewi
 

 

 

Hahahahahaaaa....mnafurahisha kweli! kwahiyo leo misaada ya wazungu ni jambo jema kwa wapinzani wetu kama nyie msiye kuwa na kumbukumbu? kisa tu mmelamba fedha zao kupitia benki yao ya standard charterd kuikosa IPTL? kwenye hili mtaumbuka na watu wenu. IPTL ina kazi moja tu ya kuhakikisha inawashushia umeme wananchi wa taifa letu. hongera sana mkurugenzi wa PAP kuichukua IPTL na kujikita kuimaarisha sekta ya nishati hapa nchini, watanzania hatuna cha kukulipa ila tunakuombea maisha marefu ili ufikie adhima yako ya kuhakikisha bei ya umeme hapa nchini unashuka lkn pia huduma ya umeme inakuwa ya uhakika kwa maslahi mapana ya nchi yetu na uchumi wake.
 

kafulila siku zake zinahesabika siku si nyingi atakuja aumbuke mbaya kwa tamaa zake za kijinga hizo.
 

Tena huku uvinza kulikuwa na machimbo ya chumvi na kiwanda chake lakini vimekufa na huyu huyu Kafulila ndio kick alioingilia kwenye ubunge! lakini mpaka sasa hakuna chochote alichokifanya, na watu wameendelea kuteseka bila hata kulipwa mafao yao. sisi watu kigoma kusini tunashangaa huyu jamaa anapata wapi muda wa kufanya kazi ya uadalali kwa mafisadi dhidi ya Iptl, huku wananchi wake tukiwa na maisha nagumu na mbunge wetu hatumuoni kabisa jimboni..
 

Kitendo cha kafulila kuzungumzia utendaji kazi wa kampuniya IPTL(CHINI YA PAP) kwa kuihusisha na kampuni ya IPTL chini ya Mechmar na VIP ni kuionea PAP na kuikosea kampuni ya PAP/IPTL,Ninaamini IPTL/PAP inaonewa na wanasiasa na wafanyabiashara uchwara wenye chuki dhidi yaIPTL/PAP either kwa ulafi walionao ama tamaa zao za fedha,kwamfano mtu kama kafulila anaonekana kabisa yupo kimaslahi ktk suala hili na ameishahongwa sh.3.1bilion ili alishikie bango na kulisema ndani ya bunge na ata bunge lijalo anataka aliletee hoja binafsi bungeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…