PendoLyimo
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 1,059
- 1,133
yan wewe mkaka ndoo hapo unaponichanganya mbona utuli kwenye hoja moja !!!!!!!!!!!!Mkuu Mani Hizo pesa ni bora tu wasizitoe maana kuna wizi mtakatifu utakaofanywa 2015 mkubwa kuliko hata wa EPA na ESCROW combined ili kufinance kampeni za MACCM na wengine kujichukulia pensheni yao mapema na wale vilaza watatu pale wizara ya fedha wizi huo utafanyika kirahisi sana.
kwani wew mkaka mani unalipwa bei gani maana unanyo paniki mpaka unanitishaMkuu Mani Hizo pesa ni bora tu wasizitoe maana kuna wizi mtakatifu utakaofanywa 2015 mkubwa kuliko hata wa EPA na ESCROW combined ili kufinance kampeni za MACCM na wengine kujichukulia pensheni yao mapema na wale vilaza watatu pale wizara ya fedha wizi huo utafanyika kirahisi sana.
Asante mkuu kwa ushauri wako kwanza nimefurai ujanitukana maana uchelewi wewe
Labda nikujuze tu kwa faida yako kiraza ni mtu mbulula that is the meaning na sio kama nimekosea
ila mkuu huo ndo ukweli ukubali ukatae
yan wewe mkaka ndoo hapo unaponichanganya mbona utuli kwenye hoja moja !!!!!!!!!!!!
Ona sasa ushaamisha hoja kwenye chaguzi za 2015
Kweli wewe mbulula tena kirambati usiyejua ata lugha yako mimi nakuomba uje arusha then ujifunze kichugaRudi shule ukajiendeleze kielimu ili uelewe kwenye kiswahili hakuna neno "kiraza" wala neno "jazima" badala ya kupoteza muda hapa kutaka kuwapotosha Watanzania.
Kweli wewe mbulula tena kirambati usiyejua ata lugha yako mimi nakuomba uje arusha then ujifunze kichuga
maana hapa utanichosha bure
Ila nimeamini pia wewe ni mbayuwayu wa kwanza tz
Ila kumbaka kwenye kutype kuna typng error sasa unajifanya kama ujawai kukosea vile
Acha ujuha wewe mbulula wa porini
jua wazi mi ni binadamu na co mashine
Even if u do not care is up to wewe
Cha msingi ukweli umeupata
Ntaanza kujifunza kiswahili kama ulivyo nishauri
Typo twice within few minutes!!!! Division 5 elimu MULUGO unaambiwa kabisa hili neno kwenye Kiswahili hakuna unarudia kosa lile lile!! Wacha uokotwe na hao mafisi na mapanya ili uje uvuruge mjadala. Haya wewe mpumbavu chonga IDs bado hujafikisha 10,000 pumbaf mkubwa wee.
Kwi kwi kwi kwi kwi lol!!! Division 5 elimu MULUGO....kuandika ni mgogoro mkubwa maskini!
Naona uko na mdogo wako BAK mnaendeleza mjadala
Mkuu Mani Hizo pesa ni bora tu wasizitoe maana kuna wizi mtakatifu utakaofanywa 2015 mkubwa kuliko hata wa EPA na ESCROW combined ili kufinance kampeni za MACCM na wengine kujichukulia pensheni yao mapema na wale vilaza watatu pale wizara ya fedha wizi huo utafanyika kirahisi sana.
Acha matusi wewe, weka hoja na sio kuvamia watu ovyo, Mod si partner wako mwambie azifungie eboo!
Kwi kwi kwi lo!!!! sina undugu na mamburula mie watetezi wa mafisadi. Kwa ujira mdogo unaosababishwa na ulafi wenu mkubwa mko tayari kufanya lolote kusaliti nhi yenu na Watanzania wenzenu. Wafadhili wamelivalia njuga hili lazima mtaumbuka tu.
Always kichwa chako kimetawaliwa na negative thoughts,hakuna kiongozi wa ccm hata mmoja mjinga eti achukue pensheni kutoka fedha za umma, labda chadema ni msingi ambako slaa alipga 200 mil.
Rudi shule ukajiendeleze kielimu ili uelewe kwenye kiswahili hakuna neno "kiraza" wala neno "jazima" badala ya kupoteza muda hapa kutaka kuwapotosha Watanzania.
Hatuongozwi na fikra tegemezi kama wewe, na mtu wa kwanza kuumbuka ni wewe ni suala la muda tu
Mafisadi na mimi mbali mbali kamwe siwezi kuwa na positive thoughts inapokuja kwenye swala la mafisadi. Wewe mlafi na walafi wenzio ndio walambeni mpaka viatu vyao ili wawatumie mifupa mtafune.
Umekuwa mwalimu wa lugha kweli ni shida
Yaani useless kabisa!, walafi hao wenzako wa kigoma waliogawana bil 1.3 na hawajakupa hata kumi, na unashnda hapa kuwatetea, pole sana mjomba
Utajiju mpumbavu wewe uliyeamua kukimbia umande sasa unatumika kama ndom kutetea wezi huku ukiisaliti nchi yako. Mwenyewe unajiona mjuaji sana kumbe taahira tu mchumia tumbo. Mxciuuuuuuuu.